aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,577
Huku ikifahamika wazi kiwanda cha Azam Cola ni cha mheshimiwa mkuu aliyepita kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka mpaka uzinduzi alienda mwenyewe.
Habari mpya ni kwamba utajiri wa bwana Bakhressa ni wa mh Salim Ahmeid Salim yasemekana wakati jamaa yupo au alipiga pesa mingi sana kuhofia kuonekana fisadi akamkabidhi bakhressa aendeshe kwa makubaliano maalumu
Waduvi wanadai bakhressa anamiliki Ice Cream Azam Tv vingne,yeye ni mshika pembe