Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Said Salim Bakhresa
Basic details. With a turnover exceeding US$250 million per annum, the Bakhresa group of companies is one of the largest private firms in sub- Saharan Africa, employing over 2,000 people. Its activities span three of the industries survey edinlat flour milling and bakeries( bottled water and fruit juice and polypropylene woven sacks


History. In 1968, Said Salim Awadh Bakhresa opened a shoe repair shop in Dar es Salaam. He went on to open a restaurant in 1973 and by 1975 he had added a bakery and an ice cream parlour, all managed and controlled by his family. In 1983, in response to problems he faced in obtaining flour supplies for his bakery business, he set up his own wheat flour milling business. In 1988, the government decided to sell a flour mill (National Milling Corporation) as part of its privatization programme, and Bakhresa acquired the premises, replaced its outdated machinery, and raised the mill's capacity from 50 mt per day to 240. The firm entered the bottled water industry in 1988, expanding into fruit juices in 2006 (initially using imported concentrate but, from 2008, using fruit directly).
The Azam PP Bags division was established in 2001 to supply polypro- pylene woven sacks to the firm's milling operations.


Current activities and products.
Flour milling. The flour milling operation has a capacity of 1,750 mt of wheat flour and buns, 50 mt of maize flour and 50 mt of rice per day. Average capacity utilization is 85%, with utilization varying between 50% and 100% depending on the season. Under the Azam brand it accounts for 70% of Tanzania's wheat flour production, and 80% of the turnover
of the Bakhresa group. The flour business has formed the basis for the group's expansion in to Malawi,Uganda,Rwanda,the Democratic Republic ofthe Congo,Mozambique and Burundi I thas three grain millingp plants in Tanzania: namely, Mzizima Milling, Buguruni Milling and Kipawa Milling. All these are along Pugu Road and they process wheat, rice and maize. The firm also retains aline of business in baked goods(bread and biscuits).The second of the group's three core businesses is a shipping line that links Dar es Salaam to Zanzibar. The third and most recent of its core businesses is soft drinks: an operation established in 1998.


Bakhresa Food Products Ltd is based in Dar es Salaam and is part of the Bakhresa group of companies. It produces food products including ice cream, fruit juice, frozen chapattis and drinking water. The ice cream business was the first processing activity in the group. Juice processing and water bottling came much later. Bakhresa Food Products has three divisions: one that deals with ice cream, one with juice and the third with drinking water. The ice cream division produces Azam brand ice cream. The juice division deals with the production of fruit juices with technical assistance from Tetra Pak, Sweden. The existing plant is capable of processing tropical fruits, e.g. mango, orange, pineapple, passion fruit and guava.

The Bakhresa Food Products fruit juice processing plant was Tanzania's first aseptic packing facility for fruit juices. The plant has a current capacity of 41 million litres per annum. Bakhresa Food Products has a fully automated plant for producing non- carbonated fruit-flavoured beverages.The products it produces are packed in 300m polyethyleneterephthalate(PET)bottles that are shrink-wrapped in packs of 12. The product is fortified with ascorbic acid (vitamin C). The company sells its products in various countries,mostly in Kenya and Zambia. There is a plan in place to expand their market in other countries, especially Uganda, Rwanda, Burundi and Mozambique.


Polypropylene woven sacks. The Azam PP Bags division, with a plant capacity of 4,000 mt per annum, is one of the leading manufacturers of polypropylene/high-density polyethylene (HDPE) woven sacks in East Africa. It produces woven sacks in various sizes and grades, both printed and plain, for food, grain and other industrial and agriculture products.

Other activities.
The transport division was established to serve the in- house needs of the group. However, it now also operates as a haulage business serving other companies. The company has over 150 vehicles, including semi-trailers, 10 tonne trucks, covered trailers, low loaders, WIDELY DIVERSIFIED FIRMS 13 heavy-duty recovery and tow trucks, and expandable trailers, as well as storage and warehousing facilities.

Azam Marine Company Ltd operates passenger ferries between the islands of Zanzibar and Pemba and mainland Tanzania. It has four speed- boats, built by Sea Bus of Australia, with a total carrying capacity of over 800 passengers. SatAfrik Tanzania Limited, incorporated in May 2002, is an autho- rized service provider for the Thuraya Satellite Communications Com- pany of the United Arab Emirates (UAE). (Thuraya is a mobile satellite telecommunication operator based in the UAE and operating in over 100 countries.) The Azam Inland Container Depot is the most recently added division of the group. The services that it offers include receipt of import containers under custom bond, provision of container storage, facilitation of dispatch and the overall clearance of containerized cargo, as well as LCL (‘less than a container load') shipments under its custody to designated consignees.

Organization and management.
Said Salim Awadh Bakhresa is the founder and current chairman of the Bakhresa group of companies. His four sons occupy key positions. Each group company/division is professionally managed by a team of local and expatriate managers.


Firm capabilities.
The milling operation uses German milling technol- ogy, which is state of the art in sub-Saharan Africa. The company is ISO 22000:2005 food safety standards compliant. The group encourages feedback from customers by allowing the sampling of test products and by making telephone and email access straightforward.

Supply and marketing chain.
For its core (milling) business, Bakhresa sources maize and rice locally while it imports over 98% of its wheat requirements. The company buys maize and rice from distributors mainly from Ruvuma, Rukwa, Iringa and Uyole. Bakhresa uses its own vehicles and network of distributors to distribute its products.

Exports.
The Bakhresa group exports 20% of its output o fwheat flour.The company's approach is to initially enter foreign markets through exports and later to undertake local production.

Recent developments.
The factories in Dar es Salaam have undergone several major upgrades in recent years to increase efficiency and reduce waste. New initiatives include the establishment of a PET plastic recycling plant for its bottling business.


Development agenda.
Bakhresa plans to strengthen its operations in East and Central Africa, and in particular it plans to build factories in the Democratic Republic of the Congo and Zambia. It is exploring investment opportunities in Kenya and elsewhere

Source:


Book: AN ENTERPRISE MAP OF TANZANIA
Authors: John Sutton and Donath Olomi
Copyright © 2012 International Growth Centre
Published by the International Growth Centre
Published in association with the London Publishing Partnership
www.london publishing partnership.co.uk
All Rights Reserved
ISBN 978-1-907994-07-4 (pbk.)
 
Kampuni kusajiliwa DSE sio kipimo cha kuonekana ya 'kisasa' au 'kimataifa'..inategemea tu na aina ya kampuni na malengo yake. Private company haiwezi kusajiliwa kwenye stock exchange unlike public company
 
Umjue ili nn?ukamvamie au?tatizo umezoea kuona maajiri wauza sura kutowa msaada sio lazima utangaze

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Abubakar said salim bKhrrsa hold MBA george town university na yeye kamuajiri rafiki yake mmarekani kama advisor wake so mleta mada fanya uchunguzi kabla ya kuongea
 
Sioni ubaya wowote huyu bwana mkubwa kufanya yote hayo na hata zaidi. tatizo kubwa na la hatari kabisa ni kwamba mosi, hayupo hata kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa hapa nchini, pili ni kuwa msamaha wa kodi anaopata serikalini ni mkubwa mno na msamaha huo haushuki chini kwa walaji wa bidhaa zake kwa njia ya bei nafuu, zaidi sana naye ni miongoni mwa wahujumu ambao wamewahi kukamatwa kwa kuiba umeme wa tanesco. inasikitisha sana.
 
Utajiri wa kizamani! Wabongo bwana,mbona wewe huna? Pesa ya bando tuu unawaza dakika kadhaa.
Wewe wa kisasa mbona huna kitu.
 
Sioni ubaya wowote huyu bwana mkubwa kufanya yote hayo na hata zaidi. tatizo kubwa na la hatari kabisa ni kwamba mosi, hayupo hata kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa hapa nchini, pili ni kuwa msamaha wa kodi anaopata serikalini ni mkubwa mno na msamaha huo haushuki chini kwa walaji wa bidhaa zake kwa njia ya bei nafuu, zaidi sana naye ni miongoni mwa wahujumu ambao wamewahi kukamatwa kwa kuiba umeme wa tanesco. inasikitisha sana.

Ha ha ha ha wewe kweli mburula,unajua azam cola zilivyoka zilikuwa zinauzwa shiling ngapi...!? na kwanini zilipandishwa.........??
 
Inaonekana elimu yako ya biashara ni ndogo sana. Ana faida kubwa sana anapoanzisha biashara nyingi sababu anapunguza risk
 
Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu

As I kept on reading line after line,i could do nothing but nodding along the way..
Well said brother!
 
Hujajibu swali. Kama unafahamu mradi wowote wa kijamii alioutekeleza tuambie sijasema yeye atuambie.

Azam Football Club, Azam Football Academy, Uwanja wa Michezo Chamazi, Ni mdhamini wa ligi ya vijana U20 kupitia maji ya Uhai hizo ni baadhi ya shughuli/miradi ya kijamii SSB co.
 
Hujajibu swali. Kama unafahamu mradi wowote wa kijamii alioutekeleza tuambie sijasema yeye atuambie.

Alitoa pesa za kujenga jengo la madarasa pa le Benjamin Mkapa sekondari, wajanja wakazichapa na jengo mpaka leo halijamalizika vizuri ila linasomewa hivyo hivyo.
Linaitwa jengo la Bakhresa.
 
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.

Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na

picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.

Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.

Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,

je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??

Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?

Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.

Ungekuwa umesoma mambo ya business au entrepreneurship au uchumi ungekutana na swali " why small scale business entrepreneurs survive in presence of large scale entrepreneurs"...

Hata Bakhresa angeuza hadi chumvi small business entrepreneurs wataendelea ku survive... Sio kila sehemu chapati za azam au nyanya zinafika.
 
Jamaa hana makuu ya sifa za kijinga ila n muelewa na kwa kuwa yy hajasoma ila watoto wake wamesoma vizuri sana na kaajiri wasomi wazuri sana ambao wanaenda sambamba na kampuni kama coca cola
 
Kampuni kusajiliwa DSE sio kipimo cha kuonekana ya 'kisasa' au 'kimataifa'..inategemea tu na aina ya kampuni na malengo yake. Private company haiwezi kusajiliwa kwenye stock exchange unlike public company

Una uhakika private company haiwez listiwa DSE unlike public company?!
 
Jamaa hana makuu ya sifa za kijinga ila n muelewa na kwa kuwa yy hajasoma ila watoto wake wamesoma vizuri sana na kaajiri wasomi wazuri sana ambao wanaenda sambamba na kampuni kama coca cola

Duuuh'watu mnaongea pumba umu yaan leo unacompare coca cola company na azam cola
 
Jaman mbona mnamuandama sana bakhresa wa watu? Hivi kwa hali ya kawaida hapa nchin kweli wakitajwa matajiri ambao mali zao zinaonekana je humu ndani nani atatoka. Tusiwe na wivu wa kurudishana nyuma,tuwe na wivu wa maendeleo
 
Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
sikuwahi kujua kama una ile chuki binafsi banza stone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom