Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

Mimi wala sibabaiki na Bakharesa mwendo wangu ni uleule kaka nala vitu fresh, kama chapati natengeneza nyumbani, nynya na matunda nanunua na kusaga juice mimi mwenyewe. who is bhakhresa to me? Aisklimu hata za wachina zipo

hahaha mkuu ... kwani huo unga unaotumia kutengeneza chapati ni wa NEMBO GANI.... hahaha huwezi kumkimbia baharesa wewe.....kubali tu
 
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.

Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na

picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.

Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.

Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,

je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??

Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?

Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.

Mkuu unaonekana kukerwa sana na jinsi azzam inavyofanya biashara tz. Ila pia inaonyesha una maudhui lukuki ya hii topic yako, kwani umeonyesha vitu vingi, kama yeye kutoonekana kwenye picha mahala popote, lakini ukasahau ulichokiandika sekunde chache ukaandika tena kuna picha kwenye mazishi ya mtoto wake, pia ukakumbuka tena kwamba kuna picha yake nyingine kwenye website yake. Hapa umejkana mwenyewe kwamba si mtu wa kujificha.
Una wasiwasi kwamba jamaa anawezekana akawa ni Gaidi kama Osama bin laden, pia ukawa una wasiwasi na hatma ya wauza magenge ya nazi na nyanya kwa sababu ya Bakhresa! Ukaenda mbali zaidi na kuwaonea huruma mama zetu wapika chapati, Dah, pole sana kwa mawazo nitakusaidia hapo chini!
 
Kwa kuheshimu mipaka ya uhuru wa kutoa maoni,sitawezi kutoa thamani ya hii compuni kwa sasa lakini kwa faida ya wasiofahamu,SSB kwa sasa ni moja ya makampuni makubwa Africa Mashariki na Kati.

Ni kweli maamuzi makubwa yanatawaliwa na wanafamilia lakini hii ndiyo kawaida ya biashara zote ambazo ukuaji wake umetokana na wazungu wanaita "organic Growth".Ni kampuni ambayo ilianza chini na imekuwa taratibu.
sasa suala la kuwa DSE au kutokuwepo halina uhusiano na kama kampuni inaendeshwa kizamani au la! Kibiashara,kuna faida na hasara za kuwa "Public Listed company".

Ukiangalia makampuni mengi ambayo yanafakia hatua ya kuuza “share” kwenye masoko mara nyingi,utakuta yamefikia kikomo cha kukopeshwa kwenye mabenki,jina linakubalika sana kwenye “public” kwa hiyo “shareholders” wanaona ni wakati muafaka wa kupata fedha kwa unafuu ukilinganisha na wakopeshaji wengine,na kubwa ambalo ndiyo gumu kwa makapuni mengi wanaamini hakuna cha kuficha kwenye biashara wanayofanya.

sasa hivi,SSB wanaviwanda/Milling factories Uganda,Malawi etc.wanaexport bidhaa zao kwenda Rwanda,Burundi,Zambia, Congo,Kenya(ingawa jivi karibuni jamaa walizuia magari yake yasiingie kwao kwa kile kilichoitwa hawana imani na ubora) na nchi zingine.

Hawa jamaa wamethibitishwa na ISO.Shughuli kwa asilimia kubwa zinafanya na watoto,baba(CEO) ni msimamizi tu.As TZ we should be pround
 
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.

Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na

picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.

Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.

Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,

je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??

Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?

Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.

Hao wote uliowataja asili zao ni tofauti kabisa na Bakhresa. Huyu ana asili ya Yemen, Rostam-Iran, Dewji na Manji-India.
 
Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu

Naomba nitofautiane nawe katika hayo, S. S. Bakhresa amejaaliwa watoto wema na wote wana elimu zuri kiasi chao, Mwanae mmoja Abubakar ndiie anaendesha division yote ya Ngano Tanzania na nchi ya kusini mwa Tanzania, mwanawe mwingine Omar anaendesha Transport Division pamoja na viwanda vya packing and packaging, Mwanawe mwingine anaendesha kiwanda cha ngano cha Uganda na Biashara za Kenya. Licha ya hao, Bakhresa ameajiri wataalam wengi waliobobea na wanaojaribu ku modernize biashara zake kwa kiwango juu, kwa mfanokiwanda cha ngano cha Tazara ni moja kati ya viwanda vya kisasa kabisa vya ngano Afrika. Licha ya hao, Bakhresa ana wafanyakazi wake loyal alioanza nao toka zamani sana na wapo nae bega kwa bega.

Ni mmoja kati ya matajiri anaejali sana wafanya kazi wake.
 
Eti majini na wewe kama unaona mwenzio majini yanampa chapaa tena unadai unapajua c uende na wewe? Au tujuze na cc twende tupate mshiko
 
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.
 
Teh teh ... that's really funny aisee...
 
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.

mkuu
ile ngano ilikuwa nzima
walijaribu kumkomesha kwa sababu za siasa
walidai alikuwa anawafadhili cuf
sasa alichokifanya ni kwenda mahakama za kimataifa
kumbuka ile ngano aliinunua canada nafikiri
wacanada walishtaki na walilipwa,na bakhresa alilipwa pia
 
hahaha mkuu ... kwani huo unga unaotumia kutengeneza chapati ni wa NEMBO GANI.... hahaha huwezi kumkimbia baharesa wewe.....kubali tu

Acha kuhadaa watu bana. Jee, Bahkresa bidhaa zake zinauzwa kwenye supermarket chains kama Shoprite, Shoppers Plaza, Imalaseko, etc? Binafsi sijawahi kuona. Huo unga wa ngano utakuwa ule wa kupima na mizani kwenye maduka ya Wapemba, ambapo Mohammed Enterprises naye anauza unga kama huo.
 
Bussiness and socialogy are two different profenals which however depend on each other.So a bussinessmen must interact with society to so as to enhance market.
jamani kama hamuwezi lugha za watu, please andikeni comments zenu kwa kiswahili tu basi. This isn't english at all.
 
Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu

Fanya utafiti ndugu yangu.Bakhresa unayemzungumzia wewe hapa ni wa ki-tambo sana.Biashaya ya huyu bwana ime-evolve sana na ninavyokueleza sasa si kweli kama akifa yeye leo biashara yake itakufa.Kama alivyochangia mmoja wetu hapo juu watoto huyu jamaa wameenda shule ya maana.In fact kaajili watu wa maana sana ambao wamesaidia katika maamuzi na kufikisha makampuni yake hapa yalipo.
 
labda sikueleweka
sikusema akifa biashara itakufa
nimesema inaweza kuyumba
what if watoto wasipoelewana?
what if hao wataalam wasielewane na watoto????
hivi unajua why apple ilibidi wamrudishe steve jobs as a ceo?
nguvu ya anaeanzisha kampuni siku zote sio sawa na warithi

kuhusu kuwa modern,unaweza ajiri wazungu na still usiwe modern
nimeuliza.. je azam inaendeshwa as modern as vodacom mfano??????
 
wanachotakiwa kufanya hawa matajiri wetu nikuwekeza katika infrastructure za nchi eg Treni kama alivyosema mkubwa mmoja hapo juu zitusaidie wote wananchi pamoja na yeye kusafirisha bidhaa zake,these guys they got billions of money they can manage easily
 
Acha kuhadaa watu bana. Jee, Bahkresa bidhaa zake zinauzwa kwenye supermarket chains kama Shoprite, Shoppers Plaza, Imalaseko, etc? Binafsi sijawahi kuona. Huo unga wa ngano utakuwa ule wa kupima na mizani kwenye maduka ya Wapemba, ambapo Mohammed Enterprises naye anauza unga kama huo.

watanzania wengi walio wengi wananunua ngano katika maduka yalio mtaani, ya maduka yalio karibu nayo ni wachaga na ya wapemba na haya yoote yamejaa bidhaa za kina baharesa .. kwa wewe unayekwenda Shoprite, Shoppers Plaza, Imalaseko, utakuwa na exception pole kama nimekukwaza mkuu...
 
Naomba nitofautiane nawe katika hayo, S. S. Bakhresa amejaaliwa watoto wema na wote wana elimu zuri kiasi chao, Mwanae mmoja Abubakar ndiie anaendesha division yote ya Ngano Tanzania na nchi ya kusini mwa Tanzania, mwanawe mwingine Omar anaendesha Transport Division pamoja na viwanda vya packing and packaging, Mwanawe mwingine anaendesha kiwanda cha ngano cha Uganda na Biashara za Kenya. Licha ya hao, Bakhresa ameajiri wataalam wengi waliobobea na wanaojaribu ku modernize biashara zake kwa kiwango juu, kwa mfanokiwanda cha ngano cha Tazara ni moja kati ya viwanda vya kisasa kabisa vya ngano Afrika. Licha ya hao, Bakhresa ana wafanyakazi wake loyal alioanza nao toka zamani sana na wapo nae bega kwa bega.

Ni mmoja kati ya matajiri anaejali sana wafanya kazi wake.
UKWELI BAKHRESA ANABAKI KUWA NI MMOJA KATI YA WAFANYABIASHARA WAKUBWA TANZANIA WALIOWEZA KUPENYA NJE YA SOKO LA TANZANIA. nakubaliana na wewe Bakhresa na timu nzuri sana ya Utawala. na anawalipa vizuri sana. Kama mabepari wengine duniani kote wataalamu wake wenye mishahara mikubwa wanabebwa na wafanyakazi wa chini walio wengi wanaobanwa katika malipo.. Na hizo ndizo sifa za bepari yeyote.
 
SS Bakressa yupo kwenye ramani ya dunia kama mfanyabiashara mkubwa chakula cha nafaka. Binafsi nimemuona kwenye journals za kimataifa kama importer mkubwa wa machinery za kusaga na kusindika nafaka. Kwa hiyo jina lake ni familiar kule kwa kuwa multinationals yanatanya naye kazi
 
wanachotakiwa kufanya hawa matajiri wetu nikuwekeza katika infrastructure za nchi eg Treni kama alivyosema mkubwa mmoja hapo juu zitusaidie wote wananchi pamoja na yeye kusafirisha bidhaa zake,these guys they got billions of money they can manage easily

Hakuna nchi hata zile zenye matajiri wakubwa ambapo hao matajiri wanawekeza kwenye miundombuni ya usafiri. shirika kama linalipa matajiri wananunua hisa.

Kazi ya kuwekeza kwenye mundombinu ni ya serikali. Anchoweza kufanya Azam ni eg kunazisha shule za michezo. Tofauti na shule nyingine yeye zake inaweza kufcus zaidi kwenye michezo kama mpira, riadha, kuogelea. etc Lakini na hili Pia anahitaji msaada wa serikali kutegenea mitaala.

Kuna watoto vichwa vyao ni vigumu wanalazimishwa kukariri physics, biology, geography wakati wangetumia huo muda kupiga danadana, kuogelea au kufanya mazoezi ya kukimbia basi tungekuwa mbali kimichezo. na Zama naye nembo yake ingepaa kimataifa.
 
Nakumbuka wakti mmoja ngano yake shena nzima ilimwagwa jalalani chini ya ulinzi mkali. Sijui he rubbed shoulders the wrong way au vipi. Anyway in his usual customary down to earth manner kashitaki kwa mwenyezi Mungu.

Ile ngano kweli ilimwagwa lakini ilikuwa ni majungu na kama "alishtaki kwa Mwenyeezi Mungu" kama usemavyo basi Mungu alimuitikia kwani alilipwa fedha nzuri tu na Bima ya SGS kwani Ngano ilikuwa approved kabla ya kupakiwa na meli iliyopakia ilikuwa approved, yeye alikuwa hana kosa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom