Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.

Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na

picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.

Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.

Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,

je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??

Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?

Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??

Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.

duh........kwa vile anawekeza hapa nchini sioni tatizo hata akiamuz kulima karanga au kuziuza mtaani.. Na je Chenge wanaoiba pesa na kwenda kuzificha huko nchi za nje utawaambiaje?au kina Lowassa watoto wao wananunua majumba huko UK. Let him invest in our soil.

Mmmh....na sasa kaja na soda.......tusubiri wanaofahamu watuelezee......

Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu

Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa

Hiyo assertion haina ukweli, ifute.

Una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama Bakhresa, duniani Bakhressa tajiri?

Kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........
Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu
Mkuu, unaposema tajiri wa kizamani unamahanisha nini?

The Boss, sidhani kama uko sahihi umem'underestimate' kwa kiwango kikubwa sana. Biashara za Bakhressa ziko mpaka Rwanda na Burundi na ameweza kupanua biashara zake pole pole.

Ni biashara ya kifamilia. Inawezekana yeye hakusoma sana lakini watoto wake wamesoma tena wengine wana Masters za Business Administration na ndiyo wanaoendesha hizo biashara.

Au lazima ajisifie na kujisifia kwenye matelevision ndiyo mumuone ni mfanya biashara mkubwa?

Na wewe Mr/Ms Not found, ingekuwa mzungu hapa kaanzisha kiwanda ndiyo mungechekelea lakini kwa kuwa wa hapa hapa roho inawauma, eti hupendi. Matunda yalikuwa yanaoza wakulima wanapiga kelele leo yeye ameanzisha kiwanda hapa hapa nchini imekuwa nongwa. Mbona hamueleweki?

Kwani wewe au mwengine alikatazwa na nani kuanzisha hizo business na kuchukuwa mikopo huko benki?

Kuna mtu leo kaniletea juice ya Azam, ile ya ujazo wa karibu litre moja. Nimeona juu pembeni mwa mfuniko pameandikwa HALAL na maandishi madogo ya kiarabu chini yake. Inamaanisha nini? Kwa mwingiliano wa lugha nimehisi wanamaanisha kwamba iko poa kwa kuliwa na nyingine zisizo na label hiyo bila shaka si HALAL.

kimsingi bakhresa ni tajiri wa kizamani
elimu yake iko limited.
Biashara zake bado hazijakuwa za kisasa sana

hajui wala hana interest ya ku inluence watu kama mengi mfano...

Sura yake inafahamika kwa viongozi wote na wadau wake
na wale wanao mjua toka zamani...
Anaishi maisha ya kawaida,ni rahisi kumuona kuliko mengi mfano......

Biashara zake ni kubwa sana,nyingi ya biashara amefungua kutokana na kuwa
zina relate na biashara za mwanzo

mfano chapati,inatokana na biashara ya ngano ambayo yeye ndo supplier
mkubwa africa........

Nyanya inatokana na yeye kununua matunda ya juice za box so
akinunua na nyanya,anaipack na kuiuza.....

But pamoja na yote hayo...
Biashara zake zipo kizamani bado....
Akifa yeye leo kampuni yake itayumba saana.....
Na kuwa na biashara nyingi kuna punguza ufanisi kwenye biashara kuu

lakini pia tuangalie hili lina athari gani kwa uchumi wa raia wa nchi.

Kama ni mfuatiliaji utakuwa unakumbuka kuwa kuna wakati microsoft walikuwa

wanataku ku produce computer zao, ambazo zitakuwa shipped pamoja na o.s yao

(japo isingezuia matumizi ya brand nyingine kama dell, hp n.k)

lakini alipigwa stop kwa sababu alionekana yeye ndo ametawala soko la operating systems duniani, na watengenezaji

wengine kama dell, hp, ibm etc wanategemea microsoft operating systems kwa asilimia kubwa.

Hiyo assertion haina ukweli, ifute.

Una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama Bakhresa, duniani Bakhressa tajiri?

Mkuu, unaweza kunitajia matajiri watatu wa Tanzania?

usiongee kwa chuki..

Bakhressa ni tajiri wa viwango vya kimataifa

Nami naamini ana pesa nyingi, ila siamini kama huyu mwana JF kaongea kwa chuki, maana katika list za akina Alhaj Aliko Dangote huyu Bakhressa hayupo. Ama kwa kuwa ana pesa kidogo ukilinganisha na matajiri wengine wakubwa Afrika au kwa sababu anaficha utajiri wake. Huu usiri wa mali za matajiri wetu unasababisha hata wakwepe kodi.

the boss, sidhani kama uko sahihi umem'underestimate' kwa kiwango kikubwa sana. Biashara za bakhressa ziko mpaka rwanda na burundi na ameweza kupanua biashara zake pole pole.

Ni biashara ya kifamilia. Inawezekana yeye hakusoma sana lakini watoto wake wamesoma tena wengine wana masters za business administration na ndiyo wanaoendesha hizo biashara.

Au lazima ajisifie na kujisifia kwenye matelevision ndiyo mumuone ni mfanya biashara mkubwa?

Na wewe mr/ms not found, ingekuwa mzungu hapa kaanzisha kiwanda ndiyo mungechekelea lakini kwa kuwa wa hapa hapa roho inawauma, eti hupendi. Matunda yalikuwa yanaoza wakulima wanapiga kelele leo yeye ameanzisha kiwanda hapa hapa nchini imekuwa nongwa. Mbona hamueleweki?

Kwani wewe au mwengine alikatazwa na nani kuanzisha hizo business na kuchukuwa mikopo huko benki?

bitimkongwe
labda hukunielewa
namheshimu na kumkubali bakhresa lakini
ninaposema biashara kizamani
namaanisha je azam inaendeshwa kisasa kama mfano
vodacom au benki za stanbinc na kadhalika???????
Wanauza share labda dse?
Je mtu kuwa ceo wa azam lazima awe mtoto wa bakhresa?????
Tazama makampuni mfano nmb hata wewe ukiwa na sifa utaweza kuwa ceo.....
Watoto hata kama wana master na wamesoma nje...
Je wako competent??????hakuna wengine wenye uwezo zaidi?????????

nami naamini ana pesa nyingi, ila siamini kama huyu mwana jf kaongea kwa chuki, maana katika list za akina alhaj aliko dangote huyu bakhressa hayupo. Ama kwa kuwa ana pesa kidogo ukilinganisha na matajiri wengine wakubwa afrika au kwa sababu anaficha utajiri wake. Huu usiri wa mali za matajiri wetu unasababisha hata wakwepe kodi.

kutokuwepo kwenye orodha ya mabilionea ya kina alhaji dangote
hakumfanyi bakhresa kuwa sio wa kimataifa..

Je dangote ameingia lini kwenye hiyo orodha?
Je forbes walikuja tanzania??????
Je orodha ya mwakani au miaka mitano ijayo akiwepo bakhresa utasemaje????????

• Thanks
Reactions: Sal
hiyo assertion haina ukweli, ifute.

una maana gani ni nadra kwa nchi kuwa na tajiri mkubwa kama bakhresa, duniani bakhressa tajiri?

acha kukurupuka, soma statement yote na uelewe, (statement inaendelea ..... Kuna lakini hapo)

lakini pia tuangalie hili lina athari gani kwa uchumi wa raia wa nchi.

Kama ni mfuatiliaji utakuwa unakumbuka kuwa kuna wakati microsoft walikuwa

wanataku ku produce computer zao, ambazo zitakuwa shipped pamoja na o.s yao

(japo isingezuia matumizi ya brand nyingine kama dell, hp n.k)

lakini alipigwa stop kwa sababu alionekana yeye ndo ametawala soko la operating systems duniani, na watengenezaji

wengine kama dell, hp, ibm etc wanategemea microsoft operating systems kwa asilimia kubwa.

mkuuu
nakuelewa unachozungumzia
hata mimi napinga sana bakhresa kuuza ubuyu na chapati
mtaji alionao angeweza hata kuwekeza kwenye treni za umeme hapa bongo
akawa ameisadia zaidi nchi na kupata pesa nzuri zaidi

tatizo hatuna sheria za ku regulate biashara
haya mambo bado mapya sana

Nadhani biashara nyingi hapa zinaendeshwa kizamani, hata hizo za akina Mengi kweli ziko kwenye DSE? Hata hao akina Voda na wenzake hawapo kwenye DSE wanajilia mafaida yao peke yao. Hebu soma the Citizen leo uone tu ni kwa kiasi gani makampuni ya simu yanaingiza kwa siku moja kwa wanafunzi tu mbali ya watu wengine. lakini keki wanakula peke yao.

Hayo mambo ya stock exchange ndiyo kwanza yameanza hapa Tz na yatachukuwa muda kidogo kwa wananchi pamoja na makampuni kuweza kuyachangamkia.

nami naamini ana pesa nyingi, ila siamini kama huyu mwana jf kaongea kwa chuki, maana katika list za akina alhaj aliko dangote huyu bakhressa hayupo. Ama kwa kuwa ana pesa kidogo ukilinganisha na matajiri wengine wakubwa afrika au kwa sababu anaficha utajiri wake. Huu usiri wa mali za matajiri wetu unasababisha hata wakwepe kodi.

mkuu kuhusu kodi
tazama rekodi za tra
bakhresa ndio mtanzania individual anaelipa kodi nyingi kuliko wote
na kampuni yake ni ya tatu
baada ya ttc na tbl

Similar Discussions

Back
Top Bottom