Ujue ili iweje? Kwani umeona nini cha ajabu kwa Mh. Arfi kiutendaji?
Ukiweza kueleza CV ya Zuma yule rais wa nchi yenyeuchumi imara zaidi kusini mwa jangwa la sahara au ukiweza kuandika CV ya WC waziri mkuu maarufu kuliko wote walowahitokea uingereza ndipo umuhimu wa CV za viongozi wa CHADEMA UTAPOONEKANA. usiandike kujidhalilisha kuwa nawe ni kilaza kwa kutojua historia ya siasa na wansiasa mahili duniani au kujionyesha tu kuwa nawe umepata kaelimu ka chuo kikuu majuzi hivyo unaanza kujipma na watu! Kama elimu ni muhimu kuliko kila kitu kwenye siasa kati ya Lowasa na Kawawa nani atakumbukwa kuwa waziri mkuu aliyetumikia nchi yake kwa uwezo mkubwa? Kwa upeo wako utasema Lowasa! Kasome
Tueleze unataka ujue ili iweje? What's the motive behind? Just be open!
JF siku hizi imekuwa kijiwe cha kahawa, si jukwaa la watu wenye fikra pevu tena.
Arfi ni mmoja kati ya viongozi waandamizi WAISLAM wa CHADEMA, viongozi wengine waislam ni Zitto na Makamu mwenyekiti wa Bara.