Who is next?

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo.
1. PAUL CHIZI-ATCL
2. WILLIAM MHANDO-Tanesco
3. CHARLES EKEREGE-TBS
4. EPHRAIM MGAWE-TPA
5. Who's next?
 
Haiwezekani kwani jina lake la kwanza ni Ramadhani!! Angalia majina ya kwanza ya hao wahanga ,they follow a particular pattern!!
aking'oka huyu pengine malalamiko ya upendeleo wa kidini yataisha NSSF. wengi wanamlalamikia Dau kuwa ni mdini anapendelea waislam kuliko wenye dini zingine.
 
Haiwezekani kwani jina lake la kwanza ni Ramadhani!! Angalia majina ya kwanza ya hao wahanga ,they follow a particular pattern!!

tuache imani potofu jmn, kwani hao waliong'olewa si wanachunguzwa kwanza?
Kwahiyo hatakama hawatakua na makosa watafukuzwa?
Wenyewe tunataka mafisadi washuhulikiwe na wanapo shuhulikiwa tunaanza kuingiza fitna za udini, hii sio sawa wala haina manufaa kwa taifa letu.
 
aking'oka huyu pengine malalamiko ya upendeleo wa kidini yataisha NSSF. wengi wanamlalamikia Dau kuwa ni mdini anapendelea waislam kuliko wenye dini zingine.

mbona tangu wakati wa mkapa hayo malalamiko yapo na mkapa aliyapuuza baada ya kuona ni majungu yasiyo na msingi?
Mi nadhani kama kuna mtu anaushahidi angeuweka hapa jamvini kwa manufaa ya wengine, hii itasaidia kupata ukweli kwa kiac fulani.
 
Mwakyembe anhusika kwa Atcl na TPA ila ekelege ni Mzee kigoda na Tanesco ni Prof mwenyewe
Ila kwa upande wangu next KOVA
 
Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo.
1. PAUL CHIZI-ATCL
2. WILLIAM MHANDO-Tanesco
3. CHARLES EKEREGE-TBS
4. EPHRAIM MGAWE-TPA
5. Who's next?

All CEOs should be next, wote ni wezi!!!
 
Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo.
1. PAUL CHIZI-ATCL
2. WILLIAM MHANDO-Tanesco
3. CHARLES EKEREGE-TBS
4. EPHRAIM MGAWE-TPA
5. Who's next?
the next one why not to be:-
WEREMA
 
...Charles Kimei/CRDB - Benki anayosimamia imehusika mno katika kukwapuliwa kwa Pesa zetu.
 
Back
Top Bottom