Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

Kuondoa hiki kiwingu- basi PM apime ngoma na matokeo yawekwe wazi!

Tusije ingia gharama siku za karibuni as a country kutafuta tena PM mwingine... our country is so poor and we can can not afford!

Ashauriwe apime ngoma na majibu watu wajue ili kuondoa duku duku!
 
Hapo mkuu tupo wote mia kwa mia, mimi nina wasiwasi hiyo....
Naomba Mungu, hiyo sifa yake ya Usalama wa Taifa iwe uwezo wa ku deal na matatizo haya sio kumlinda rais na vigogo waliotumaliza..
 
Mzalendohalisi,
Waliisha pimwa labda unataka matokeo ya viongozi ama wananchi wote yaanikwe wazi!
 
Kuondoa hiki kiwingu- basi PM apime ngoma na matokeo yawekwe wazi!

Tusije ingia gharama siku za karibuni as a country kutafuta tena PM mwingine... our country is so poor and we can can not afford!

Ashauriwe apime ngoma na majibu watu wajue ili kuondoa duku duku!

Kwani kupima ngoma tatizo? Mbona JK kapima ngoma kaonekana fresh? Kwangu mimi hiyo haimaanishi kitu kwani sitegemei kusikia anything different.Kuna ma miss wa miaka ya 90's walimkataa JK kwa sababu ilijulikana muathirika siku nyingi tu.

Mtu wa kawaida tu akitaka cheti kinachomuonyesha negative anapata, itakuwa PM au Presidaa? Unafikiri nani atathubutu kusema PM tumempima tumemkuta ana ngoma, kwanza haya mambo yanalindwa na privacy laws na professional ethics kichizi, halafu bongo being bongo, are you really expecting transparency in this?
 
Pundit,
Pinda hakuwa PM alipopima kwa hiyo unachotaka nini haswa? Je, una hakika ana ngoma, twambie hizi habari za kuzunguka mbona unatuzengua!
 
Pundit,

..you are 100% correct. tunahitaji confirmation process ya watumishi wa ngazi za juu kama PM, AG, CJ, Dir wa Intelligence.

..kipindi cha confirmation kitumike kuuliza maswali magumu ili kuelewa kama wateule wana uwezo na upeo wa kutekeleza majukumu watakayopangiwa.

Nina maswali yafuatayo kwa Waziri Mkuu:-

1.Nini msimamo wake kuhusu siasa ya Ujamaa na Kujitegemea?

2.Nini msimamo wake kuhusu azimio la arusha na azimio la zanzibar?

3.Nini msimamo wake sera na zoezi la ubinafsishaji?

4.Waziri Mkuu ataboresha vipi sera ya uwekezaji na kodi katika madini?

5.Waziri Mkuu ana maoni gani kuhusu ilani ya CCM? Inatekelezeka? Kwa kiwango gani na sababu zipi.

6.Je waziri mkuu anapendekeza Tanzania ijiunge na OIC? kwasababu zipi?

7.Je waziri mkuu ana maoni gani kuhusu hoja ya mahakama ya kadhi?

8.Ataondoa vipi matatizo ya UDINI na UKABILA yanayoinyemelea jamii yetu?

9.Katika kipindi chake ataboresha vipi shule za sekondari za Kata. Naibu Waziri Mwananzila ametoa kauli kwamba zoezi hilo limeharakishwa.

10.ana mali kiasi gani na amezipata vipi. je, atakuwa tayari kuweka mishahara na mapato ya watumishi wa ngazi za juu ktk public record?

11.kuna mambo gani mazuri ambayo amejifunza ktk awamu ya Juliasi,Ruksa,na Mkapa ambayo atayaleta ktk awamu ya JK. kuna mambo gani mabaya ktk awamu zote hizo ambayo tunapaswa kuachana nayo?

12.Wizara ya TAMISEMI inaongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma--they always get bad audit reports. Yeye alikuwa waziri ktk wizara hiyo. kwanini alishindwa kurekebisha kasoro hiyo? kwanini anadhani anastahili nafasi ya uwaziri mkuu.

..siyo wabunge tu waliotuangusha ktk zoezi hili. hata waandishi wa habari nao huuliza maswali ya kitoto na yanakera kwelikweli.
 
Hivi Pinda hakujua hata kwamba hapo Dar kuna Open University? Tokea mwaka
1974 yaani hata post graduate certificate hakuna?

Pamoja na experience lakini kujiendeleza hata kwa courses fupi fupi ni muhimu sana.

Wakati huo kulikuwa hata hakuna globalization, hakuna mafisadi toka nje, je bado LLB yake ya mlimani mwaka 1974 ina nguvu sasa?

Jamani tuwe tunajiendeleza hata kama ni kidogo kidogo. Inaelekea jamaa ni
type ya JK.

Labda amehudhuria courses zingine mbalimbali ila hajaandika tu.

I totally agree with you, jamani it is unbelievable zaidi ya miaka 30 mtu ujabrush kichwa kidogo na hiyo ndo inapelekea watu kufanya kazi kulingana na mazoea, no update na unaweza kukuta hata kutekenya PC keyboard ni mashikolo mageni. I wonder na globalization ya sasa ambapo kiongozi unatakiwa kuwa informed and knowledgeable kwa vitu vingi sasa PM wetu kama atatoa decision nzuri. Any way let's wait and see.
 
Pundit,
Pinda hakuwa PM alipopima kwa hiyo unachotaka nini haswa? Je, una hakika ana ngoma, twambie hizi habari za kuzunguka mbona unatuzengua!

Mkandara,

Point yangu ni kuwa huwezi kupata objective results.I pray he is negative, but if he is positive, do you really expect whichever institution will conduct the exercise will be able to provide the results to the public with all the rivacy and ethical issues?

Not to mention PM ni Putin type?
 
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!

Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...

Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...

Kumbuka wazazi wake toka Mpanda wamefika kwenye hiyo sherehe, sasa mke wake yuko nje ya nchi au.......
 
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.

Ahsanteeni

Mullah

Kabila hatuna interest nalo kwani utendaji wa kazi hauusiani na kabila kabisa. Cha msingi ni future ya nchi kwani waziri mkuu akiwa na utendaji fake basi kila kitu kinakuwa fake, we dont hopeless PM ambaye hawezi kudeliver.
 
I totally agree with you, jamani it is unbelievable zaidi ya miaka 30 mtu ujabrush kichwa kidogo na hiyo ndo inapelekea watu kufanya kazi kulingana na mazoea, no update na unaweza kukuta hata kutekenya PC keyboard ni mashikolo mageni. I wonder na globalization ya sasa ambapo kiongozi unatakiwa kuwa informed and knowledgeable kwa vitu vingi sasa PM wetu kama atatoa decision nzuri. Any way let's wait and see.
Jamaa alikuwa Usalama wa taifa na mpaka sasa ni afisa Mwandamizi tena Waziri mkuu .unatgememea angesoma saa ngapi?>kwani ukona alivyoongea jana.Yeyes siyo Mwanasiasa
 
Kuondoa hiki kiwingu- basi PM apime ngoma na matokeo yawekwe wazi!

Tusije ingia gharama siku za karibuni as a country kutafuta tena PM mwingine... our country is so poor and we can can not afford!

Ashauriwe apime ngoma na majibu watu wajue ili kuondoa duku duku!

Kwa hiyo wenye ngoma wasishike sehemu za uongozi? Kuna gharama gani katika kupata PM? Lowassa kaachia ngazi siku chache zilizopita na leo Pinda anapeta. Gharama gani uliyoingia? Masuala ya ngoma ni kati ya nafsi yake na waliomteua. Mimi nasubiri nimuone kazini. Awe kavaa singleti, awe na ngoma atapimwa na utendaji wake. Akibolonga avaliwe njuga lakini si kwa sababu hizi za kijinga, ngoma, suti, kingereza kibofu, hana Ph.D n.k. Tumpe nafasi amasivyo wote tutaonekana hatuna maana.
 
Mnamwona?

IMG_6596.JPG

Saource: issamichuzi.blogspot.com
 
Kwangu mimi ninaona atakuwa mtu safi, sijui labda huko jimboni kwakwe...Hata hivyo mhe. Rais hawezi akachagua uozo wakati tayari kuna scandal kali kama hiyo iliyo kwisha toke...
Sijui,... jamani chimbeni...Who is Mizeng/we/o Pinda?????
[/QUOTE
well mie kwa mtazamo wangu tusitegemee jipya kwa huyu panda,mie nashindwa kuelewa kwanini wabongo hatukati tamaa na serikali ya ccm.nikiaangalia cv ya huyu jamaa kama ilivyowekwa hapa ni kiongozi wa siku nyingi na alifanya kazi kipindi hicho hicho cha deal ya richmonduli kama Prime Minister’s Office - Regional Admin.& Local Governments(2006).sasa kama alikuwa regional administrator hakuona deal hii? kama alisukumwa na boss wake kwanini hakujiuzulu?.na ukitaka kujua hana la maana atakalo kuja nalo kasema yeye ataendela kuwa Panda kilichobadilika ni kuwa kuongezewa uwaziri mkuu. sasa kama angekuwa material person, speech yake fupi pale bungeni ingekuwa na walao na strategy ambazo angetoka nazo,mie nafikiri speech ya mtu pia huonesha tumaini kwa kugusa hisia za waliokata tamaa
 
Kumbuka wazazi wake toka Mpanda wamefika kwenye hiyo sherehe, sasa mke wake yuko nje ya nchi au.......

Semanao,

Hakuna aibu kubwa kama kuwa na Waziri Mkuu asiye na Mke -unajua ataanza kuparamia wake za watu na waschana wa ajabu2!

Hata mimi najiuliza- je Mke wake leo alikuwepo wapi ktk tukio kubwa la kuapishwa kwake?

Waziri Mkuu kuwa na mke anayejulikana ni Muhimu ktk Mustakabali wa Taifa letu!
 
Pundit,

Unabore na mambo yako ya suti. Mnafuatilia hata mambo yasiyo ya maana halafu mnataka tusiwe na mafisadi?

Kama unataka bingwa wa kuvaa si tunaye rais? Unataka kila mtu ashinde kwenye shopping Harrods?
....

So longer hatembei uchi mimi sina matatizo kabisa na anavaa nini.

Pinda%26Lowassa.jpg
 
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!

Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...

Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...
Tunu%26mlaki.jpg
Kushoto ni Bi Tunu, Mke wa Waziri Mkuu, Mhe. Pinda
 
Kibunango,

Shukrani mzee!!

Nimekiona Kitu cha Pinda- kumbe anaitwa Tunu!

No further comments!

Thanks
 
Sasa redio mbao zinavyosema mambo ya migonjwa ya muda mrefu hapo soo.

Yafuatayo ni magonjwa yanayompata na kuugua kwa muda mrefu...

1. Kisukari
2. Saratani.
3. Ukimwi.
4. Ini
5. Kifafa
6. ....

So please let leave magazeti ya udaku ya judge lipi ni lipi... ukiniuliza mimi haya maneno yamewahi ku-be-proved wrong na watu wengi kwa wakati tofauti... vipimo vimewahi kuonyesha negative kwa wapenzi wawili...

Kwa hiyo jadili mengine... kama mmekosa nendeni Kiteto..
 
Back
Top Bottom