Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

CHA KUCHEKESHA NI WHAT WILL LATER BE A TEST ON HIS FAITHFULNESS KWENYE MAMBO YA FAMILIA...INASEMEKANA KUWA BAADA YA MKEWE KUFA ALIMUOA MDOGO WAKE NA MAREHEMU MKEWE ..AMABAYE NDIYE MKE ALIYE NAYE SASA....KAMA KUNA MWANA JF ANAJUA ZAIDI KUHUSU HAYA NA AJE ILI TUWEKE RECORD YA HUYU JAMAA VIZURI.....

Hii ya kuoa mdogo wa marehemu mke wake inatatizo gani kwa mtazamo wako? Inampuguziaje faithfulness kwenye mambo ya familia?
 
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.

Ahsanteeni

Mullah
 
Na bado! Bado dini yake!!!!! Hivi kabila lake litatusaidia nini? Ndiyo maana hatupendi kuulizana kabila. Sisi sio wakenya.
 
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.

Ahsanteeni

Mullah

Unauliza kabila ili kiwe nini? Unataka kwenda kutambika? Ni Mtanzania yule, haya makabila ya nini jamani? Kama hata wewe hupendi, assume ni kabila lolote tu la Tanzania na uridhike.
 
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.

Ahsanteen

Mullah

Ni MHUTU wa Chumbageni Tanga
 
Mwenyezi Mungu na amjalie MP moyo wa upendo kwa watanzania. Ni kwa hilo ataweza kuongoza kwa haki.
 
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.

Ahsanteeni

Mullah

Mkuu Mullah,

Awali ya yote hongera kwa kufikisha post 1

Pili mkuu kabila la MP hatuna haja nalo tunataka utendaji tu, hii dhambi Mwalimu alikuwa anaipigia kelele sana, sasa ukishajua kabila lake what next? utataka ukoo, dini, ubin nk
 
Mullah,
Si dhani kama kabila litatusaidie kwa umaskini wetu huu.kama walivyosema wengine, utendaji mzuri ni wa muhimu zaidi!.Je unataka ujue kama ni kabila lako ili upate upendeleo?.
 
Hii ya kuoa mdogo wa marehemu mke wake inatatizo gani kwa mtazamo wako? Inampuguziaje faithfulness kwenye mambo ya familia?

Hii ni mila kwa makabila mengi, the logic ni kuwa dada mdogo anaweza kuwalea watoto wa dada mkubwa vizuri kuliko mtu wa nje.

Sasa redio mbao zinavyosema mambo ya migonjwa ya muda mrefu hapo soo.
 
Wanabodi naona sasa tumekosa cha kuchambua hapa . Kila siku tunalalamika kuhusu mambo viongozi wanavyoisaliti nchi yetu , sasa leo tunamjadili huyu based kwenye vigezo vile vile vilivyowafanya wale wengine watumbukie kwenye ufisadi. Nadhani watu wengi humu wamekaa sana abroad to a point kwamba wanataka kutumia vigezo vya magharibi katika kumscrutinize huyu bwana.

Hivi kweli suala la suti aliovyaa lina nafasi kweli hapa ,trust me hiyo ndio kazi ya Secret Service utaona suti atakazovaa kuanzia leo na kuendelea. Pili suala la mke wake, jamani mwacheni huyu baba hakuna kosa lililofanyika hapo the matter of fact hizo ni mila za makabila kuoa ndugu za wafiwa wao.

Mtanzania wa kawaida aliyepo pale Nangurukuru angetucheka kama angepata kuona yale yanayosemwa kuhusu huyu waziri katika hii forum ! Swali ambalo angejiuliza majadiliano haya yatanisaidia vipi mimi katika kupata maji, huduma za afya, shule bora kwa watoto wake ....
 
Wanabodi naona sasa tumekosa cha kuchambua hapa . Kila siku tunalalamika kuhsu mambo viongozi wanavyoisali nchi yetu , sasa leo tunamjadili huyu based kwenye vigezo vile vile vilivyowafanya wale wengine watumbukie kwenye ufisadi. Nadhani watu wengi humu wamekaa sana abroad to a point kwamba wanataka kutumia vigezo vya magharibi katika kumscrutinize huyu bwana.

Hivi kweli suala la suti aliovyaa lina nafasi kweli hapa ,trust me hiyo ndio kazi ya secret service utaona suti atakazovaa kuanzia leo na kuendelea. Pili suala la mke wake, jamani mwacheni huyu baba hakuna kosa lililofanyika hapo the matter of fact hizo ni mila za makabila kuoa ndugu za wafiwa wao.

Tatizo mijitu mingi humu inapenda kukosoa tu ili mradi na yenyewe imetoa maoni kuhusu jambo fulani. Kweli jambo la suti lina umuhimu gani hapa? Mijitu mingine bana...hata mtu afanye nini yenyewe hairidhiki. Kazi kutafuta vikasoro visivyo na kichwa wala miguu.
 
Wanabodi naona sasa tumekosa cha kuchambua hapa . Kila siku tunalalamika kuhsu mambo viongozi wanavyoisali nchi yetu , sasa leo tunamjadili huyu based kwenye vigezo vile vile vilivyowafanya wale wengine watumbukie kwenye ufisadi. Nadhani watu wengi humu wamekaa sana abroad to a point kwamba wanataka kutumia vigezo vya magharibi katika kumscrutinize huyu bwana.

Hivi kweli suala la suti aliovyaa lina nafasi kweli hapa ,trust me hiyo ndio kazi ya secret service utaona suti atakazovaa kuanzia leo na kuendelea. Pili suala la mke wake, jamani mwacheni huyu baba hakuna kosa lililofanyika hapo the matter of fact hizo ni mila za makabila kuoa ndugu za wafiwa wao.

Mtanzania wa kawaida aliyepo pale Nangurukuru angetucheka kama angepata kuona yale yanayosemwa kuhusu huyu waziri katika hii forum ! Swali ambalo angejiuliza majadiliano haya yatanisaidia vipi mimi katika kupata maji, huduma za afya, shule bora kwa watoto wake ....

Hili swala la kurithishana wake/waume ndiyo linaongeza kasi ya ukimwi, na zaidi ya kuongeza kasi ya ukimwi zinaua familia nzima, mume au mke anakufa kwa ukimwi, halafu anarithi/kurithiwa anayerithishwa naye anaondoka at the end of the day familia nzima inaondoka.

Rufiji wenyewe wanakwambia "The World is flat" kwa hiyo tofauti ya abroad na nyumbani ni ndogo, na PM anayeonyesha poor judgement katika prsentation (kuvaa) anaweza kuonyesha poor judgement hata katika presentation ya documents Paris Club na World Bank huko.
 
Pundit,
Maadam umeamua kuzungumzia hili, Je haiwezekani kuwa ndio kinga?..Mbali na Ukimwi maradhi yoyote yanabaki within the family... ama Familia haipati maradhi toka nje.
Tazama historia ya kuenea kwa Ukimwi ni pale watu toka nje walipokuja tembea na mabinti/kaka zetu.
Kwa Mapana zaidi kama Watanzania ama mataifa mengine yangekuwa hayatembei nje ya ndoa zao ama na watu toka nje Ukimwi ungebakia huko ulikotokea...
Mkuu hili la Prime minister na suti halina sura kabisa!.... hayo ni mambo ya Hollywood.
 
Mkandara,

As long as watu wasiokuwa na ukimwi wanaambukizwa ukimwi hamna kinga hapo.Wewe utajisikiaje tukikuambia kuwa tume-ration ukimwi kwenye ukoo wenu tu ili wengine wasipate ukimwi kwa hiyo ni zamu yako sasa?.Haijalishi kwamba wanatoka familia moja au la, maambukizo mapya ni maambukizo mapya tu.What makes this worse ni kuwa inaua familia nzima.

Actually feminist movements zinapiga vita sana hii tabia, it is up there with Female Genital Mutilation.Sasa sijui TAMWA na wale wengine waliokuwa Mabibo watasemaje PM wao naye amefanya hii kitu.
 
Sawa mkuu tuachane na Pinda kidogo hapa.
Umesema na kunitolea mfano.. sawa je, sii kweli watu wenye ukimwi wanaruhusiwa kuoana wao wenyewe hata ktk nchi hizo zilizoendelea ambazo mnajaribu kuchukua tamaduni zao?...ain't we making them a family?
Ikiwa Ukimwi upo ktk jamii yangu ningekuwa na uamuzi mimi peke yangu na sio wale wasiokuwemo, na labda ikawapo sheria ya sisi kutotoka nje ingewakinga wengine kutopata vile vile wale wa nje kuwa salama kwao kwa kutotoka nje.... Kifupi nisingeoa kabisa na salama kwangu na wale wa nje!...
Utamaduni huu wa kuoa mdogo wa mke wako ni utaratibu wa baadhi makabila na wana kila sababu hna haki kama kabila kuendeleza wanaoyaamini, sii jukumu letu sisi kuwa judge kwani hata sisi ktk makabila yetu tuna mabaya. Hakuna utamaduni iliokuwa civilized ktk sura pana isipokuwa tunapojaribu kuchanganya tamaduni za mzungu kuwa ndio civilization...
Sasa nambie kuna mapungufu gani ktk familia ya Pinda kutokana na yeye kumwoa mdogo wake mkewe, na kama hakuna baya lililokwisha tokea, tuna base mjadala huu ktk vitu gani haswa.. Mbona wapo watu Tanzania wameoa first cousin. Waislaam kuoa wake wanne haya yote ukiyatazama kwa mtazamo wako yanaweza kuwa na madhara...hivyo, Nyerere, Mkapa, JK na Mwinyi hawakufaa kuwa marais kwa sababu tunaweza pata mapungufu yao ktk ngono ambazo tunazipa Ustaarabu wa kuchonga.
 
Hapa nimepotea Mkandara kuna zogo gani tena mkuu ?
 
Mkandara,

Ripoti zilizopatikana JF ni kuwa mke wa kwanza aliondoka na third rail, supposing the report is correct, which is not that implausible, hii habari inaondoka kwente abstracts za feminists wanaotaka kuiga wazungu na kuingia kwenye tangible cause and effect equations tunazoziona kabisa.

Hii ni picha ndogo tu ya jinsi tabia hizi zinavyoweza kuongeza maambukizo mapya,mengi yakiwa kwenye familia moja, ukizingatia vifo vya ngoma ni vingi.

You do the math.
 
Lunyungu,
Hapa mkuu wanajaribu ku dis Prime mpya kutoka chumbani kwake..unajua tena sisi Wadanganyika ngono mbele badala ya kujiuliza utendaji kazi wake na hasa record yake kama kiongozi.

Pundit,
I have done my math, it remains within discipline that studies a PM - centered on structure...
Laa sivyo mtakuja kumfufua marehemu mkewe kupata answers ambazo hazihusiani kabisa na uwezo wa Pinda kutuondolea sisi matatizo yaliyotukabiri. Swali kubwa labda naloweza jiuliza ni kuwa huyu mkuuu alikuwa wizara ya Waziri mkuu na alikuwa na post kubwa tu iweje leo awe hana hatia?.. na imekuwaje wabunge wengi wamshangilie hali ni hao wabunge ambao wameukumbatia UFISADI?...Wabunge wengi wa CCM kama sii wote walichaguliwa kwa TAKRIMA na wengi wao ni mawaziri ambao wamechota mabillioni - how come wanafurahia uchaguzi wa Pinda? Je, kwa sababu huu ndio mwisho wa Ufisadi ama ndio ngoma bila bila.
 
Mtu kashakwambia kafundishwa kazi na Lowassa, Ben Mkapa, Ngwilizi, Andy Chenge unategemea nini?

Frankly mimi ningekuwa comfortable na backbencher kua PM kuliko hawa tunaowajua.

Uliona confirmation speech alivyokuwa ana ji shoot himself in the foot bila hata kuulizwa? Je kama kungekuwa n some real confirmation process ingekuwaje?

Jamaa ni Sumaye wa Kikwete.Kikwete kashtuka kuweka mjanja kama Lowassa soo ngoja niweke mkalamba nimpeleke peleke.
 
Back
Top Bottom