Who is Martine Shigella?

Martin shigela amelelewa na kukuzwa na muungwana kwani babake na muungwana longtime family friends......., muungwana alimbeba akiamini kijana atakuwa asset njema kwa taifa kumbe ngubi ni ngubi tu ..... Muungwana amedharirishwa na huyu kijana kwa kiwango ambacho hakipimiki, hata riz1 hawezi kuongea matembele mabovu kama ya shigela...... Naapa.
 
hana adabu. hana staha. anatumika vibaya. anajimaliza kisiasa. anaongeza idadi ya vijana wanaomchukia Tanzania.

who is this boy?

tunaomba CV jamani. maana kijana anaona raha kukaa mbele ya microphone kuzusha mambo yasiyo na ushahidi dhidi ya wazee.

... hata CV haina maana kwa mijitu ya aina hii. Ni mingi mno na mingine inasemekana ni Dr..., yaaani CV yao itaonyesha Ph D. Hebu angalia pale yule Mngoni waziri, naye ni Ph D holder (!!!!), alipokwenda kwao Songea akakusanya kina mama wakatoliki ambao walitoa tamko la ki-JINGA kabisa inyoashiria realm ya UTAAHIRA wa akili. Sasa naye CV yake ina Ph D na anafikiri anaweza zuga watu.

Pamoja na kina MARTINE au MARTINA na wote design hiyo, wale nilowasema kwao USWAHILI umekithiri akilini mwao (si kila mtu ana zake) waacheni waendelee kuota ndoto za mchana. Watanzania welishaamka. Kitaeleweka tu.

Nimemwona huyu Martina akiropoka jana. Naona hereni aliivua ila tobo linaonekana. Anamdanganya nani?
 
mimi mwenyewe nilimshnagaa, lakini nikiwashangaa zaidi waliokuwa wakimsikiliza maana niliona kwenye tv, niltegemea mmoja agetoka pale akamchape kofi kama ilivyokuwa kwa Mh. Mwinyi si mnakumbuka, (ingawa matukio hayafanani)

Pale kulikuwa na watu wazima kabisa wakimsikiliza waliwezaje kuvumilia pumba zile.
 
shigella alisoma chuo kikuu UDSM na kumaliza shahada ya sayansi ya jamii mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati huo akiwa na rafiki yake aitwae kapenjama,walikuwa hawatakiwi kabisa kuonekana kwenye madhabahu matakatifu ya chuo ''revolutiom square'' pindi migomo itokeapo na walikuwa wakifukuzwa km mbwa mwizi. Walikuwa wakipendelea sana kutembea pamoja na kuvaa suti km za baba wa taifa (rip).,baada ya kumaliza shahada yake alipata ufadhili (cjui wa fisadi gani) akajiunga kwa shahada ya uzamili ya sayansi za jamii hapo UDSM. Ni kweli kwao ni kishapu na aligombea ubunge lkn inasemekana alihongwa na Seleman Masoud Nchambi akaondoa jina lake! Alikuwa DC lindi!
 
Nafikiri huu ndio mwisho wa CCM
Vijana wamekosa adabu kabisa, kwa jinsi alivyoongea Shigella ni wazi kabisa kuna mtu nyuma yake ambaye ni kigogo ndani ya CCM.
Walichimba mashjimo sasa wanaingia wenyewe
 
Pole zake kwa mtindo huo wa kupaka rangi nywele na kuiondoa rangi yake ya asili usoni kwake. Anatuaibisha akina NGOSHA
 
... Pamoja na kina MARTINE au MARTINA na wote design hiyo, wale nilowasema kwao USWAHILI umekithiri akilini mwao (si kila mtu ana zake) waacheni waendelee kuota ndoto za mchana. Watanzania welishaamka. Kitaeleweka tu.

007, tafadhali usitutukane waswahili, huyo Shigella wenu asiyekuwa na adabu ni wa kutoka huko huko kwenu mabara siyo pwani.
 
Naomba mtupe cv zake hapa acheni kubwabwaja tu...

Minajua hajatangaza maslahi yake kwa mafisi-hadi kama mwenzake Bashe
 
Back
Top Bottom