Who is IGP Mwema? CV Please!

Shhhhhh!
Who is IGP Mwema? CV Please!

Umeshaambiwa wahi darasa kama hata kubrowse internet huwezi.

Wewe ndio wale wanaomba kazi na cv mfu mwaka uliozaliwa, mwaka na jina la shule uliyosoma na anwani. Usipopata kazi ndio unaleta zile za pale bila hongo hupati kazi au azima umjue mtu. Zumbukuku mzungu wa reli kalaga bao, wenzio wanaitwa kwenye interview na kupata kazi ndani na nje ya nchi kwa kutumia cv zinazouzika sio cv mfu.
 
Hapana jamani, anaudini gani. Mimi ni mkrsto lakini sijaona kama IGP anaudini. Let us be objective. Tuachane na mambo ya emotions hayo yataunguza nchi.

Who can prove that IGP ana udini?
 
Umeshaambiwa wahi darasa kama hata kubrowse internet huwezi.

Wewe ndio wale wanaomba kazi na cv mfu mwaka uliozaliwa, mwaka na jina la shule uliyosoma na anwani. Usipopata kazi ndio unaleta zile za pale bila hongo hupati kazi au azima umjue mtu. Zumbukuku mzungu wa reli kalaga bao, wenzio wanaitwa kwenye interview na kupata kazi ndani na nje ya nchi kwa kutumia cv zinazouzika sio cv mfu.
Duh! Hicho ndio kipengele kipi cha CV ya Mwema? Birth date au place of domicile?
Haya "great thinker" :whoo:
 
CV Yake sina but i believe ni mtu makini. Utendaji wake unaonekana. Just like his name.
 
Igp s. Mwema ni msomi mwenye degree ya kwanza ya sheria kutoka chuo kikuu cha dar es salaam ni mtu asiyekuwa mbinafsi wala upendeleo wa chama chochote ndo maana aliandika kitabu cha haki ya mpiga kura ktk uchaguzi wa 2010. Nadhani utashuhudia mwenyewe ktk uchaguzi huu matumizi ya nguvu yamekuwa ni kidogo kupita chaguzi zingine zilizohusisha vyama vingi.
 
Hapana jamani, anaudini gani. Mimi ni mkrsto lakini sijaona kama IGP anaudini. Let us be objective. Tuachane na mambo ya emotions hayo yataunguza nchi.

Who can prove that IGP ana udini?
Liko wazi usuikatae, jaribu kuwafuatilia wahasibu waliokuwepo kabla, na waliopo sasa, utajua na utajiridhisha mwenyewe.
 
mchapa kazi
msikivu
siyo mdini
amepanga wachaga na watu wa mkoa wa kilimanjaro ktk post nyeti(ila wote wana sifa za hizo post so huwezi kumkosoa ktk hilo)
ana wake wawili - suna
sio muuza sura ktk TV yetu kama waliomtangulia
kwa kifupi ni IGP wa standard za kimataifa
Liko wazi usuikatae, jaribu kuwafuatilia wahasibu waliokuwepo kabla, na waliopo sasa, utajua na utajiridhisha mwenyewe.
 
Ni msanii mwingine katika jumba la sanaa.Hathamini na hataki askari vijana wasomi kwani ameweka vikwazo vingi kwa ajili ya vijana kujiendeleza kielimu na hao wanaojiendeleza wakirudi kazini kawawekea masharti yasiyotekelezeka ili walipwe kulingana na elimu yao yaani anawa discourage sana vijana wasomi kwenye jeshi .ANAUKABILA KWA MAANA YA POST NYINGI KATOA KWA WAPARE NA WACHAGA NA SWAHIBA.
 
You need CV for the past, it is ok. Currently he is perfoming than any one in the past. This is evidenced in the past election.
 
INTERPOL media release
02 March 2006

flagUK2.gif;pvbd898495e517dd13


INTERPOL regional bureau head assumes top post at Tanzanian police
LYON, France – The head of the INTERPOL Sub-Regional Bureau in Nairobi, Saidi A. Mwema, has been appointed to lead the Tanzania Police Force.
As head of the INTERPOL Sub-Regional Bureau (SRB) in Nairobi, Mr Mwema provided support and direction for all INTERPOL activities in the region and oversaw the implementation of initiatives to address specific crimes in eastern Africa, including human trafficking, small arms and light weapons, cattle rustling and wildlife crime.
Mr Mwema was instrumental in the success of the first INTERPOL-sponsored training course for bomb-sniffing dogs and their handlers in eastern Africa in July 2005.
Mr Mwema, formerly Tanzania's assistant commissioner of police, said his position as head of SRB Nairobi, which works closely with the 10 member countries of the Eastern African Police Chiefs Co-operation Organization (EAPCCO) and also serves as its secretariat, would help him in his new role of Inspector General.
'I undertake to uphold police co-operation in the eastern Africa region as well as internationally, since I have the experience and knowledge acquired while working with the INTERPOL Sub-Regional Bureau in Nairobi,' he said.
INTERPOL Secretary General Ronald K. Noble said: 'Mr Mwema did a fantastic job heading SRB Nairobi, and I expect his promotion will guarantee continued co-operation between SRB Nairobi and Tanzania and other INTERPOL member countries in the region.'
Mr Mwema replaces Tanzania's retiring Inspector General Omari Iddi Mahita. Mr Mwema resigned his post at INTERPOL on 1 March.
During his tenure, Mr Mwema oversaw the relocation of SRB Nairobi to an improved site, facilitated the signing of various regional agreements and enhanced co-operation with international bodies.
INTERPOL has other regional bureaus in Africa in Abidjan, Côte d'Ivoire, and Harare, Zimbabwe, and is in the process of opening a fourth one to serve the central part of the continent in Yaoundé, Cameroon.
 
Huo ni uongo uliokolea chumvi! Jee alipokuwa anaserve kwenye interpol alipendelewa na huyo mkuu wa kaya?

Huyu naye sijui kakurupuka kutoka pango gani. Hakuna sehemu hiyo post uliyonukuu imetaja mahusiano ya kazi na kupendelewa. Acha hijabu nyumbani wakati mwingine ili uone vema
 
Back
Top Bottom