sijakubali ila poa tu
Nimesoma psychology ya macho, huyu B anaonekana ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, ametulia sana and she is also a wife material
Heehhee hivi ushawahi kusikia tu sauti ya Nicki?yaani huwa napenda sana sauti yake hasa pale akisema "wow"
utamu uliotukuka wa kumfanya alieoa asahau familia.Kwa kujifanya mnawajua wanawake hamjambo.
Haya na mimi macho na midomo yangu inaashiria picha gani?
utamu uliotukuka wa kumfanya alieoa asahau familia.