who is godzilla??????????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
mnaofuatlia bongo fleva..

nauliza huyu msanii aneitwa godzilla ametokea wapi?
ana umri gani?????

kiusanii labda yuko kama nani au zaidi ya kina nani?

ana nyimbo ngapi?zipi na zipi?
 
Piga simu clouds watakuambia kila kitu.....maana wao ndio waliomvumbua kwenye freestyle ......mwaka juzi kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom