Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,729
- 10,811
Sioni tena misafara yake siku hizi,bado yupo kwenye game?Kha!! Ngoja nijaribu kuufufua huu uzi! Na mimi naweza kuitwa nabii eti!! Ila huyo mnyeramba anaonekana mpigaji aisee, Nabii mjanja mjanja!!hahahaaa