Who is Deodorus Kamala?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huyu jamaa amejitapa kuwa gwiji wa uchumi. Lakini mi namfahamu kama mojawapo ya 'wasomi feki' ambaye inajulikana kuwa PhD yake ina utata mtupu. Najua kuwa alikuwa mhadhiri chuo cha Mzumbe, chuo ambacho wahadhiri wake kadhaa waligundulika wana taaluma feki, hali iliyopelekea aliyekuwa naibu makamu mkuu mmoja wa chuo hicho kuvuliwa PhD yake na kwenda kusoma upya!

Kwa sasa Kamala anaonekana sana maeneo ya Morogoro, baada ya kupigwa chini ubunge kule kwao anasimamia Lodge yake uchwara hapa mjini. Aliwahi tena kutoa kauli yenye utata kuwa maprofesa wa vyuo wanakosea wanapoanzisha biashara za baa. Hata hivyo kauli hiyo ilishutumiwa vibaya baada ya watu kumhoji, nae akiwa mhadhiri mbona amefungua Lodge?

Kwa wadau wanaomfahamu kwa 'undani' zaidi watumegee...
 
Hahahahaaaa hii lorge yake yenyewe haina hata parking, anyway atarudi tena kufundisha mzumbe na hio hio PhD yake feki na hako katabia ka kula tunda la mzumbe girls ambao kwa upande mwingine mmmmmh micharuko mbya hapa mjini.
 
Hata hivyo inasemekana hajui kulipa mkwanja mzuri anapokula tundaz za wanafunzi na waandishi wa habari:doh:
 
Wakati nasoma, mtu akinyakwa somo moja au mawili analikiwa ana supplement ?/ SUPU,zaidi ya hapo anarudia mwaka au ana Disco. Sijawahi kusikia mtu ana Phd feki. Sasa huyu mheshimiwa sana alliambiwa yake Feki na kamua kurudi kitafuta nyingine kimya kimya. Naomba wana JF nisaidieni hii inaitwateje, ya kutangulia kujipa udakatari feki ukishitukiwa unaenda itafuata kwa kunyata. Nadhani akiipata ata back date ili amshitaki Msema kweli.
 
Wakati nasoma, mtu akinyakwa somo moja au mawili analikiwa ana supplement ?/ SUPU,zaidi ya hapo anarudia mwaka au ana Disco. Sijawahi kusikia mtu ana Phd feki. Sasa huyu mheshimiwa sana alliambiwa yake Feki na kamua kurudi kitafuta nyingine kimya kimya. Naomba wana JF nisaidieni hii inaitwateje, ya kutangulia kujipa udakatari feki ukishitukiwa unaenda itafuata kwa kunyata. Nadhani akiipata ata back date ili amshitaki Msema kweli.

Aki back date nayo inakuwa feki tena. Ufeki una sura nyingi mkuu, hata kudanganya tarehe kunahalalisha kitu kutambulika kama hakiko sahihi
 
Ni mbumbuu mmoja oops sorry alisema mbumbuu sio yeye eti ni Dr. Slaa au sio huyu nakosea?
 
Anhhh!, Ndo maana Wakenya wanatuona mambumbumbu, kwa sababu mwakilishi wetu ni PhD Uchwara.
 
Jamaa uyu namjua anatokea nkenge ambako hamna huduma yoyote ya jamii. Siku izi mzee wangu,yani baba amewapa world vision gari aina ya Toyota pick up ili waweze kufika uko kusikofikika. Jaman uwezi amini,kule kwao ni kama jehanamu. Ukitaka updates nitafute nkupe details za kule nkenge kwa dr.KAMAla.
 
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992 1995 ADV DIPLOMA
Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996 1997 MASTERS DEGREE
Humberside, Brandford University MSc. (Agricultural Development and Rural Finance) 1997 1998 MASTERS DEGREE
Mugana B Primary School Primary Education 1978 1981 PRIMARY
Rumuli Primary School Primary Education 1982 1984 PRIMARY
Bukoba Secondary School O-Level Education 1985 1988 SECONDARY
Ihungo Secondary School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL
Commonwealth Open University PhD in Economics 2002 2004 PHD

Source: Bunge la bongo!
Hii cv haina mvuto wala nini!
 
Peer reviewed papers and Journals please!!!!! He was a lecturer, isn't it??? Thesis title and specialisation???? (Nijuavyo mimi, hizi ndizo sifa za doctorate). Others, depending on whether he had opportunity include research projects in the capacity of PI or co-PI, International, Regional and National scientific positions held .....etc.

Mtu anayesema ana PhD, tumuombe kitabu (Thesis) yake ibandikwe hapa.
 
Source: Bunge la bongo!
Hii cv haina mvuto wala nini!

inaonekana jamaa alijipa udokta baada ya kusoma masters mbili kama hii CV ina ukweli. Nadhani ni breed mpya kabisa ya udaktari kwamba baadala ya kusoma PhD unasoma masters mbili teh teh!
 
PhD kwa njia ya Posta. Picha ya chuo chenyewe inakatisha tamaa (kama academy au college ndogo), jee taaluma si itakua taabani kabisa! kuna wanafunzi wake huku JF watoe maoni?
 

Attachments

  • kamala - Copy.JPG
    kamala - Copy.JPG
    30.1 KB · Views: 54
Aki back date nayo inakuwa feki tena. Ufeki una sura nyingi mkuu, hata kudanganya tarehe kunahalalisha kitu kutambulika kama hakiko sahihi

Hawa ni mabingwa wa kuchakavhua mkuu, mahakama zao, polisi wao. mimi namini Kamala angekuwa mtu mwingine yoyote leo angekuwa Segelea kwa kugushi vyeti.
 
Nimemfahamu Kamala akisoma shule ya sekondari Bukoba O level, kisha A level Ihungo sekondari. Alikuwa na kichwa kina charge vizuri sana shuleni. Shida yake ni mroho wa madaraka tangu shule na mtu wa kujipendekeza sana, huku akijifanya kujua kuliko wote.

Tatizo kubwa linalomkabili mara zote ni kujipendekeza na majivuno mengi sana. Ni mtu wa majivuno makubwa sana.

Familia yake si ya watu wenye uwezo mkubwa. Baba yake alikuwa ni mhasibu na alifariki miaka ya '70 na kumfanya yeye dada yake na mdogo wake mwingine wa kike, walelewe kwa shida sana na mama yao ambaye ni nurse mstaafu sasa. Muda mrefu kaishi mjini Bukoba na mama yao wakati akifanya kazi na wameishi kwenye kibanda cha miti na tope. Sina hakika sasa hivi kama kimeshaondolewa na kuwekwa hekalu. Wale walio Bukoba watujuze. Lakini Mungu aliijalia familia hii akili za darasani. Hata ndugu zake wawili walikuwa wazuri sana kichwani darasani.

Nkenge Kamala alipachikwa na watu fulani kwa pesa yao. Mmoja wa watu walio finance sana kampeni zake 2000 ni mtu mmoja aliyekuwa akiitwa Ruta ambaye alikuwa ni mhasibu wa wilaya ya Bukoba. Huyu bwana alikuwa na skendo nyingi za pesa ya halmashauri na alijitolea kufanya kila njia kifedha kuhakikisha huyu bwana Kamala anafanikiwa ili kufunika matatizo yake. Nyakati hizo huyu Bwana Ruta alikuwa amelazimika kuacha kazi na kampeni zile zilimuacha katika hali ngumu kifedha. Baadaye alirudi kazini tena kama muajiliwa katika nafasi ile ile kwenye wizara ya serikali za mitaa na sasa yuko mikoa ya kusini. Sina hakika kama alikuwa akilipwa fadhila au la. Nyakati hizo walitafuta kila namna kumuondoa Rwegasira aliyekuwa mbunge katika jimbo hilo. Kamala hakuwa anafahamika kabisa katika anga za Bukoba maana wakati huo Nkenge ilikuwa haijatengwa kama jimbo bali lilikuwa ni sehemu Bukoba vijijini.

Yaliyompata Kamala ilikuwa ni size yake maana baadae wana Bukoba na Nkenge walimuelewa na kumpa haki yake. Ni kweli ni mzinzi kupita kiasi na amejaa kiburi sana. Haya anayojaribu kuyasema kuhusu Dr Slaa ni muendelezo wa kiburi tu na kujifanya anajua kuliko wengine.

Kuna mengi kuhusu kamala. Naomba wengine wanaomfahamu waendeleze.
 
Back
Top Bottom