Davis Elisa Mosha ni nani?

Nenda Msaranga, au uliza pale Kiborloni nani asiyejua aliyemtoa Davis Mosha kiakili, Davis asingekuja Chalinze kama si huyo mjomba wake na Davis ana kubali hilo. Uchangamfu wa Davis ukamkutanisha na familia ya JK, na ametumia uhusiano huo vizuri.
The man is not political ambitious neither nor criminal or popularity, yuko busy na biashara zake, hata mkimgusa ana clean record of accounts.

Mkuu Mbwa-Haruki alias William Mrema yupo choka Mbaya hapo kibaha, ile Petrol Station yake pale Msaranga kwa Mbwa ruki imeshakufa long time...
there is untold story behind Davies current wealth....

Lengeri
 
Mkuu mama pia kamsaidia sana.....je unamkumbuka Marehemu Frank Lyatuu......Thats his man! Mkuu wa kaya nakumbuka baada ya kuingia madarakani alimpa scania mbili jamaa na kumtema...

Mkuu namkumbuka sana Frank, si yule jamaa polisi walimpiga risasi Arusha wakisema ni Jmabazi??

Lengeri
 
Mkuu Mbwa-Haruki alias William Mrema yupo choka Mbaya hapo kibaha, ile Petrol Station yake pale Msaranga kwa Mbwa ruki imeshakufa long time...
there is untold story behind Davies current wealth....
Lengeri

Bila shaka hapa ndipo ulikuwa unakusudia kwenda, sasa kwanini usimalizie tu badala ya kunyata? funguka tu mara moja kieleweke,........
 
Tetesi zingine ni kwamba ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya mafuta ya dalbit...kiukweli chalii anayo hela
 
Mkuu namkumbuka sana Frank, si yule jamaa polisi walimpiga risasi Arusha wakisema ni Jmabazi??

Lengeri

Ni kweli , sema alikuwa anatafutwa sana na polisi na kutafutiwa sababu ya shaba maana alikuwa na mtandao mkali sana....funda moja la ziada likamponza... so akapigwa risasi, namfahamu mama yake Frank ,
 
Nasisitiza, Davis Mosha siyo criminal as far as his current business is concerned! Ni mpenda michezo, na ana mlkono wa biashara. Ukitaka kujua yote haya nenda kwa mentor wake (ni mjomba wake huyu, ana jina la utani la 'mbwa haruki) yuko Kibaha picha ya ndege. Na hiyo petrol station aliyokuwa anafanyia ni ya huyo mjomba.

Ee bwana usitudanganye kwa hapa hakuna utajiri unaokuja kiharakaharaka bila ya mizengwe ya utapeli, ukwepaji kodi, mikataba feki ya serikali au ujambazi.
 
Ni pedeshee wa mujini kama walivyo akina Young millionea (Muzamil Katunzi),Chuma cha reli (Msofe),Balhabou(mzee wa dubai).Kusena(kijana wa UDA),Hassanol(kijana wa shaba)
Hahaha! nimeipenda hii Hasanoo-kijana wa shaba,sasa shaba yenyewe iwe ya halali sio ya kuiba ikiwa transit basi.
Kundi hili la Muzzamil,Msofe na Kisena siwajui lakini Balhabou kainuliwa na mafuta ya transit kuuzwa nchini-miaka ya 90 na Mosha alikuwa 'right hand' wake na akamuanzishia mtaji na kijana kweli kajiendeleza.Kabla ya hapo kuna muda Mosha alikuwa na yale majambazi ya Ahmed motorways-Mlandizi yaliyokwapua mabilioni benki kwa cheki feki na kesi kuisha kimazingira.
 
Huyu si kiongozi wa Yanga na business man. Kama alipata fedha kwa magumashi mbona ni utamaduni wa duniani kote kama hujasoma ni lazima ufanye magumashi ndio utoke. ''Mijitu ya kazi'' inaitwa hapa mjini.
 
Nenda Msaranga, au uliza pale Kiborloni nani asiyejua aliyemtoa Davis Mosha kiakili, Davis asingekuja Chalinze kama si huyo mjomba wake na Davis ana kubali hilo. Uchangamfu wa Davis ukamkutanisha na familia ya JK, na ametumia uhusiano huo vizuri.
The man is not political ambitious neither nor criminal or popularity, yuko busy na biashara zake, hata mkimgusa ana clean record of accounts.

Duuh! mkuu kama hujui kitu bora ungekaa kimyaa tu, hata mimi ninayemjua kidogo nasema unadanganya wanaJF
 
Duh...

Yaani kweli mnaweza kuzungumzia utajiri wa Davis bila kuwepo Ray wa Regency; Alex (Carlos) na Albert Marwa......

Haya bwana tuendelee...

huyu ndiye aliyekuwa akiomba baadhi ya matajiri wenzake wenye magari wajaze mafuta kweli petrol stesheni za dogo. ukizingua kwenye malipo dogo Davis anakuripoti, na Carlos wanavyomhanya na hela ya usumbufu lazima utatoa kwa ajili ya vijana wake wa kazi
 
Ni kweli , sema alikuwa anatafutwa sana na polisi na kutafutiwa sababu ya shaba maana alikuwa na mtandao mkali sana....funda moja la ziada likamponza... so akapigwa risasi, namfahamu mama yake Frank ,
dah kumbe unamkumbuka muzee ya nairobi....hv funda moja tu au ni mwanamke alimponza....lakini yule jamaaa du...kuna jamaa yangu alikua kila siku anaenda nyumbani saa kumi kwa sababu ya kumuogopa frank
 
Duh...

Yaani kweli mnaweza kuzungumzia utajiri wa Davis bila kuwepo Ray wa Regency; Alex (Carlos) na Albert Marwa......

Haya bwana tuendelee...
du hv mkuu hapo kwenye red nae yupo kwenye connection ya dogo?sidhani...someone has to prove it
 
Mosha nourished his capital the 'Tanzanian way of doing business' His fortune emanates from his hard work and commitment to his business. Hadaiwi na benki wala TRA na hatafutwi na polisi.
 
Mosha nourished his capital the 'Tanzanian way of doing business' His fortune emanates from his hard work and commitment to his business. Hadaiwi na benki wala TRA na hatafutwi na polisi.

acha upambe humjui huyu jamaa waulize watu wa pwani wanamjua vizuri..
 
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki

Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...

Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake

Lengeri

Sasa wewe vipi ???? unauliza wasifu wake wakati tayari umesha tupa historia yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!????
 
Jamaa kweli si cha kitoto..kile kiota pale KB kipo muda na uongozi wake umesimama..Ameona mwanga muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom