Who deserves credit for Lowassa's resignation?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
The fall of Lowassa: CCM, Opposition compete for credit
By Sunday Citizen Reporter

The ruling Chama Cha Mapinduzi and the Opposition are each claiming credit for this week's ignominious exit of former prime minister Edward Lowassa and two cabinet ministers.

Outspoken MP for Karatu (Chadema) Dr Willibrod Slaa told the Sunday Citizen on Friday that the opposition parties in the National Assembly were the ones who initiated the move to probe the controversial agreement that granted a briefcase firm, Richmond Development Company, the tender to supply emergency electricity.

Dr Slaa said CCM members of Parliament simply jumped into an initiative of the Opposition geared at ridding the nation of corrupt leadership.

They ruling party politicians gave the nod to the Parliamentary Select Committee because they didn't have an option. Would you expect them to keep mum on such an important issue?

He said CCM legislators have a well-known tradition of partisanship, supporting their own when they were wrong even on matters of grave national interest.

Did you see how people celebrated on learning of Lowassa's offer to resign? That was an indication that people are fed up, and the CCM camp realised their partisanship could spell doom for them; so they decided to play smart in order to lure wananchi back to their party, he said.

According to Dr Slaa, Tanzanians elect personalities, and not parties; so anyone who appears to spearhead people�s interests can win their votes.

On his part, CCM Publicity Secretary John Chiligati said his party always stood for public interest, unconditionally, and that the ruling party deserves credit for its stance that pushed Lowassa to step down, followed by former Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi and the Minister for East African Cooperation Dr Ibrahim Msabaha who was Karamagi's predecessor in the energy ministry.

He said his party is proud of its MPs for standing firm on the Richmond investigation report that recommended the resignation of Lowassa.

This is typical of CCM. Traditionally we are a party that puts national interest first, he boasted.
 
The credt system is so high schoolish, the job is done and thats paramount.

But I would go with Slaa and say it is the opposition and the media.CCM MPs, save for a very few, were very complacent in tune with the policies of "Kulindana"
 
The credt system is so high schoolish, the job is done and thats paramount.

But I would go with Slaa and say it is the opposition and the media.CCM MPs, save for a very few, were very complacent in tune with the policies of "Kulindana"

I do agree with you that it is very childish but both parties are trying to position for 2010's election.
 
The credt system is so high schoolish, the job is done and thats paramount.

But I would go with Slaa and say it is the opposition and the media.CCM MPs, save for a very few, were very complacent in tune with the policies of "Kulindana"



Muhimu kwangu ni Nchi kuwa imeokolewa ikiwa inataka ufunikwa na gharika kuu maana gharika ilisha kuwepo .Ni kweli Wapinzania nawapa pongezi lakini muhimu Tanzania .Wote wanalipwa pesa zetu sisi Watanzania
 
Who deserves credit for Lowassa's resignation?.........ofcourse JF!! kila kitu kilianzia hapa na nyanga akapenyezewa Dk Slaa.........naye akaenda deep na kuibuka na mengi zaidi....

Tujipe hongera JF jamani!!!.......JF idumuuuuu!!!!
 
The fall of Lowassa: CCM, Opposition compete for credit
By Sunday Citizen Reporter
This is typical of CCM. Traditionally we are a party that puts national interest first, he boasted.

Hivi hawa waungwana huwa wanatafakari lakini wanachokiongea? hivi hawaoni kama wananchi wameshapevuka na ile dozi ya valium imeanza kupungua!
Haya ndiyo kama yale ya SITTA, baadae akija kuulizwa ataruka kimanga.
 
Sijui ni nani kati yao. Ila ninachokumbuka ni kuwa wakati wapinzani walipoona wameshindwa bungeni wakaanza kutembea mikoani kuwaeleza wananchi kuhusu ufisadi ( sijui kwa bajeti ipi). Serikali ilitumia mamilioni (hela zetu) kutuma mawaziri kukanusha. Sasa CCM wajaze wenyewe kama kweli hawana hata aibu kuthubutu.
 
The fall of Lowassa: CCM, Opposition compete for credit
By Sunday Citizen Reporter


On his part, CCM Publicity Secretary John Chiligati said his party always stood for public interest, unconditionally, and that the ruling party deserves credit for its stance that pushed Lowassa to step down, followed by former Minister for Energy and Minerals Nazir Karamagi and the Minister for East African Cooperation Dr Ibrahim Msabaha who was Karamagi's predecessor in the energy ministry.

He said his party is proud of its MPs for standing firm on the Richmond investigation report that recommended the resignation of Lowassa.

This is typical of CCM. Traditionally we are a party that puts national interest first, he boasted.


Chiligati self-praise is for losers. Be a winner. Stand for something. Always have class, and be humble.

"A man is not finished when he's defeated; he's finished when he quits."
-Richard Milhous Nixon
 
This is typical of CCM. Traditionally we are a party that puts national interest first, he boasted.

National interest kwa CCM ni msamiati ambao haupo hata kwenye kamusi zao. Hii statement nahisi aliitoa akiwa baa baada ya kupiga mbili tatu, mpaka muundiwe tume na kuchunguzwa ndio mnajua kuwa kuwa kuna national interest? Kilichonikera zaidi ni hilo neno 'FIRST', nahisi labda kuna elements za 'lost in translation' hapa hakyanani.
 
Yaani hiki ndicho kitakachowauwa wananchi wa Tz. Eti kila chama kinataka kujigamba kuwa wao ndio waliomsababisha EL kujiuzulu, wote ni wajinga namba moja tu. EL kajiuzulu tu kumhifadhi rafiki yake JK, kwani mambo aliyoyafanya El yalikuwa wazi na Jk alikuwa anayaona tu, sasa kushindana huku kujifanya upinzani ndio bora au CCM ndio bora ni ujinga tu. Huko kujiuzulu kwa EL hakutoshi ni lazima na mali zake azirudishe na huo mkataba ambao bado watanzania wanalipa kila siku dola karibu elfu 50. je umeshatupiwa mbali au bado tu Tz inalipa. JK ni mjanja sana anajua anaongoza wapumbavu TZ ndio maana anamwachia mshikaji wake EL aondoke kimya kimya ili huo mkataba uendelee na hela watz waendelee kulipa tu kila siku, hela ambazo hawana kujiingiza kwenye mikopo tu kila kukikucha.
Je JK mbona hajasema lolote kuhusu huo mkataba ambao bado unaendelea?
Acheni wananchi kupumbazika kwa kujiuzulu kwa EL, muulizeni huyo JK vipi huo mkataba hizo hela tutazipata au ndio basi tena, tushaliwa?
 
Tangu Lowassa ajihuzuru Zimepotea $ ngapi kulipia umeme Hewa usio zarishwa wala kutumika?
Kikwete amefanya nini?
Serikali imefanya nini?
Bunge limefanya nini?
Wananchi wamefanya nini?

Tena wananchi ndo ilitakiwa tuje juu kweli kweli kwa kubebeshwa mzigo mzito wa Bill za umeme tusio tumia ili kufanya baadhi ya Watanzania na wageni kundelea kunenepa bila kufanya kazi.

Pengine lingekuwa jambao la maana kutia kiberiti mashine hizo zza umeme na ofisi za wahusika.

Inaelekea wananchi tunaridhika na bili za umeme wa kuwalipa IPTL RDC na wengine pengine kwa kudhani siku inakuja na sisi tutafaidi fedha za mikataba mibovu. Hii! Hii!

SISI wananchi wa Tanzania kwa matumaini hewa bwana hatujambo!!!

Tulikubali kufunga mikanda, huku tukiwa na matumaini makubwa, baada ya Vita ya Kagera matokeo yake ni umasikini wa kunuka. Sasa tunakubali kufunga mikanda kwa kulipa billi kubwa za umemem ili kulinda Himaya za Mafisadi akina Kikwete Lowassa Rosatam Karamagi Chenge Musahaha Masha Mgonja Balali na wengine wote.

Baada ya kulipa Bill hizo kubwa matumaini yetu WTZ ni nini?
Kwamab serikali ya TZ itatupa Refund?

Kuna siku serikali ya Tanzania itatuambia tujiandikishe upya kuomba uraia bado kwa ukondoo wetu tutakubali na kundele akulalamika kwa wake zetu tukiwa tumealalia vitanda vua kamba kwa ulofa.

Ngoja nifunge bakuli langu, labda ujinga huu ndo Umoja na Amani.

Serikali ya SISIEMU ni kibabu gagula MUMIANI.
 
Mimi nafikiri JF ndio ya kupongezwa, ingawa wanachama tulio wengi ni "invisible" kama mimi lakini hiyo ndio itakuwa "nature" ya "platform" hii kabambe siku moja itakuja kuwa taasisi ya nguvu.

Nafikiria kwamba siku moja JF itakuwa na televisheni yake na hata redio ili kuimarisha yale yote yahusuyo mawazo ambayo ni "liberal" na ambayo yatasaidia kuelimisha wananchi kwa undani kuhusu kuilewa siasa na uwingi wa uongo uliomo ndani yake.

Ukiangalia historia ya Yahoo, Jerry Young na rafiki yake David Filo, walianzisha hii "brand" ya "Yahoo" kama "hobby", baadae ikaja ikawa "global" kuwezesha watu kuwasiliana kwa njia ya mjadala halafu kuwezesha upatikanaji wa habari, kubadilishana na hata kutengeneza.

Haya yote nafikiri kwa asilimia 60 JF inafanza kwa sasa, na ntafurahi siku moja JF ikila sahani moja na "Brands" zingine kama Reuters na AFP kwa zile habari zake za kutanguliza msemo wa "Stay Tuned"
 
Problem ya CCM huwa wanazani kuwa there is nothing bad that can come out of the Opposition party ndo maana wanajikajaga.
After all suala who deserves credit its common sense kuwa Media na Wapinzani since CCM sers yao ya Kulindana ndo imewadiscredit.
Watumia ela za nchi kukrash hoja za wapinzania ambazo some of them bear the truth.
Ninachoshukuru ni kwamba CCM deep inside their heart wanajua utumbo walioufanya so far,otherwise PM asingejiuzulu.
Media,Opposition Kepp it up.Aluta Continua
 
Thank you opposition and media. CCM(Chukua Chako Mapema) are like that, huwa wanpenda kudandia Gari kwa mbele. Thus how there system is. Mwenye macho haambiwi tazama. Watanzania wa leo sio wale wa kupigia ukuta kura.

Tunasubiri wale walioitwa mafisadi wakasema wataenda mahakamani waende sasa. Au watambie kwanini sisi WaTz tusiwapeleke wao Keko??
 
funny thread, anyway this chilisource(Chiligati) guy is making a fool out of himself, it is perfectly clear who initiated the whole thing at the parliament, the opposition parties!!, the question is for these sisimizis, is the government gonna continue to pay those 152m per day or what??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom