Tunaweza kweli kumuweka Dr. Slaa kwenye same league na akina Mkwawa.... nadhani bado inabidi aendelee na bidii zake za kuleta hoja za kuwabana mafisadi... lakini jamaa mpaka sasa anafanya kazi nzuri.Dr W P Slaa.
Huwezi ukawapima kwa kipimo kimoja heroes ambao wametoka katika tasnia tofauti
Kumpima Shaaban Robert na Mkwawa kwa mfano unalinganisha vipi?
Yaani katika kila fani who did best in that field, the ultimate achievement; mfano Shaaban Robert katika kukuza kiswahili; Fibert Bayi katika michezo; Baraka mwishehe kwenye music; Mkwawa ushujaa wake wakati wa ukoloni kutetea himaya yake e.t.c In short who stood up above the rest. Who motivated the rest, ni nani tunaweza kujivunia kama watanzania kwamba..... The Guy Made Us Proud....
Eboo!!!msimsahau kinjekitile ngwale, hasana omary makunganya, bwana heri na abushiri bin salim, hao ndio waliokua ma roll model wa mwalim nyerere.
Edward Said Tingatinga...Neno hero au shujaa tayari linaegemea kwenye 'waliopigania'. Ili kubaki na heading hiyo kunahitaji maelezo ya ziada kama haya uliyoyatoa hapa chini.
Nampendekeza Said(?) Tingatinga
Eboo!!!
Na huyu Mwanga aliewadanganya watu kua atageuza risasi kuwa Maji munamsifia? Nyiewatu vipi jamani? Mko serious au munatania?
mazuri gani kakufanyia huko nyuma?
Bibi titi moh`d
Mama yangu kwa kutonitupa na kunilea ijapokuwa baba alimkimbia
Mke wangu kwa kunipa mapenzi mazuri na utulivu wake unaonifanya nilitumikie taifa langu vyema
Baba yangu kwa kumpa ujauzito mama
Na watanzania wote kwa kutumia kodi zao zilizonifanya nisome na kufikia hapa
Nafikiri mmenipata kwani tutaendelea kubishana kafanyanini kakufanyia nini na kamwe hatutaweza wapata mimi mashujaa wangu ni hao hapo nilio wataja
martin kiyeyeu wa iringa