Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Nikikuambia kuwa ukipima tena hospitali nyingine, namaanisha kwa mashine ingine, na ingine , ingine, na...Mhusika sio mgonjwa na hajisikii vibaya kwa namna yoyote,aliamua tu kufanya uchunguzi wa kina wa afya yake.Vipimo alivyofanyiwa vinathibitisha kuwa mwili wake uko "fit" kwa maana ya kwamba "organs" zote zinafanya kazi bila hitilafu yoyote, na pia hana maradhi yoyote yatokanayo na "bacteria" wala "virus".Ni kwamba tu "White Blood Counts" zilikuwa chini ya 4000 japo ni juu ya 3000!
Ni kwamba yeye anataka tu kuimarisha zaidi hiyo afya yake kwa kuuwezesha mwili wenyewe uzalishe "maaskari" wa kutosha!
waweza pata majibu tofauti?
Mesej ni kuwa hizi mashine zinatoafutiana napia zinatakiwa kufanyiwa service na calibration from time to time.
I again I say medics does not treat lab results, they treat patients.