Which should be official JamiiForums Language?

smile=rejao alichokiunganisha mola? umeelewa au nikuandikie kiinglish cha kushoto kama iyo heading?
Hahahaha! Khaa! Msamehe ndugu yangu aliteleza hapo juu. Ona alivyoungama kishujaa hapa chini. Huo ndio Unanaume sasa.

Babu hapa una chakuongea? smile my heart bit! nilikuwa namtania tu babu hapo juu!!
 
Nilitaka nikusaidia lakini Hamad!....kaona kameshatia timu tayari. Kaone hapo chini. Adhawaiz twenzetu jukwaa la wakubwa nadhani hakana access ya kuingia kule.
Inabidi tu niopt kule...maana huku kwingine kote anaibuka tu ka mzimu!
 
Office language- lugha ya ofisini
Official language-lugha rasmi
Sidhani kama kuna kosa la lugha hapo. Mtoa mada anashauri wafanyakazi wa JF wawe wanatumia kiingereza katika shughuli zao wanapokuwa ofisini.

Mwita you are real great thinker...instead of discussing the topic they discuss the heading.....they are loosers of their own portfolios.
 
smile=rejao alichokiunganisha mola? Umeelewa au nikuandikie kiinglish cha kushoto kama iyo heading?
hiii kitu hadi invisible ameshtuka huko mafichoniinvisible eeh mfikishie ujumbe na paw
 
Hiyo heading yako tu, inafanya hoja yako isiwe na mashiko na Kiswahili ndio kiwe lugha kuu ndani ya JF. "office language" Khaa!

Hivi viinglish tunavyovisoma humu, mi naona ni heri tukienzi kiswahili chetu.

JF ni ya watanzania, na Kiswahili ni Lugha ya Taifa la Tanzania.

Kiswahili ni lugha ya Taifa!


Babu niko pembeni yako...
asante:poa
 
mi naona kiingereza kihalalishwe iwe lugha rasmi ya taifa kwa sababu kiswahili kinadharauliwa sana mpaka serikali inakidharau kwa sababu kila mahala job enterview zinaendeshwa kwa lugha ya kiingereza hata serikalini sioni umuhimu wa kiswahili
 
Kisambaa, kibondei, Kizigua na kipare ndio zingekuwa lugha rasmi!!!! sababu ntakupeni kwene PM
 
My take. English should be official language, simply

First

Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)

Second

Its lovely and sexy language compared to Swahili language ( Sexy)

Third

Its language of our last rulers before independence ( 50 years of Uhuru) lol
who are you by the way????
 
Ukisikia mtu wa Tanga mjini na maeneo ya pangani hasa pale Mchuzi wa Nyoka utapenda lafudhi na lugha yao! Waulize watu wanaoenda Tanga ndio utajua kwanini mapenzi yalianzia huko! Lugha mwana anaongea kama vile ndio mko kule nanihiii kuleee! Ngoja watoto walale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom