Which should be official JamiiForums Language?

kaluun

Member
Nov 21, 2011
28
1
My take. English should be official language, simply

First

Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)

Second

Its lovely and sexy language compared to Swahili language ( Sexy)

Third

Its language of our last rulers before independence ( 50 years of Uhuru) lol
 
Hiyo heading yako tu, inafanya hoja yako isiwe na mashiko na Kiswahili ndio kiwe lugha kuu ndani ya JF. "office language" Khaa!

Hivi viinglish tunavyovisoma humu, mi naona ni heri tukienzi kiswahili chetu.

JF ni ya watanzania, na Kiswahili ni Lugha ya Taifa la Tanzania.

Kiswahili ni lugha ya Taifa!
 
kudos babu Asprin
 
Umemaliza...sina cha kuongezea, ngoja niendelee tu na gahawa yangu hapa.
 
My take. English should be official language, simply

First

Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)

Second

Its lovely and sexy language compared to Swahili language ( Sexy)

Third

Its language of our last rulers before independence ( 50 years of Uhuru) lol

'Heading' umeiandika wewe halafu habari umeikopi kutoka sehemu ndiyo maana haina neno JF katika maneno yake yote.
 
Hiyo heading yako tu, inafanya hoja yako isiwe na mashiko na Kiswahili ndio kiwe lugha kuu ndani ya JF. "office language" Khaa!

Hivi viinglish tunavyovisoma humu, mi naona ni heri tukienzi kiswahili chetu.

JF ni ya watanzania, na Kiswahili ni Lugha ya Taifa la Tanzania.

Kiswahili ni lugha ya Taifa!

khaaa......basi kama itakuwa hivyo.......
 
Office language- lugha ya ofisini
Official language-lugha rasmi
Sidhani kama kuna kosa la lugha hapo. Mtoa mada anashauri wafanyakazi wa JF wawe wanatumia kiingereza katika shughuli zao wanapokuwa ofisini.
Hahahaha.....wafanyakazi watumie "sexy" language........ kulaaleki. Hivi mamods si kuna vidume na videmu?
 
EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY. Nimetumia lugha unayoipenda ili unielewe kwa uzuri! 28-58 Over
 
My take. English should be official language, simply

First

Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)

Second

Its lovely and sexy language compared to Swahili language ( Sexy)

Third

Its language of our last rulers before independence ( 50 years of Uhuru) lol

.....office Jamii Forum Language!
Vague!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom