Which provider for BB service and why?

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Wana jf, naomba ushauri. Nina tumia airtel BB sevice kwa miaka mitatu sasa na kwa mwezi wanakata 35000 kwa mwezi na wanakata automatically ili muradi kuwe na salio.

Sina uzoefu na mitandao mingine.

Any idea cuz need to switch maana nasiki tigo wako cheap zaid japo cjui km wako reliablev
 
Back
Top Bottom