Which is a best OS mobile phone?

Yoso

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
340
239
Kati ya hizi Symbian OS, Android OS, BlackBerry OS na Window mobile
wadau naomba mwenye ujuzi na hili naomba anielimishe ikizingatiwa kuwa
hapa ni HOME OF THE GREAT THINKER natanguliza shukurani.
 
Mimi nilikuwa mtumiaji mkubwa sana wa iPhone ambayo inatumia iOS, hivi karibuni tulibishana sana na rafiki yangu yeye alikuwa anatumia Android OS (Ice-cream sandwitch version) kwenye Samsung Galaxy S II, mwisho tuliishia kubadilishana simu ili kila mmoja atest ya mwenzake.

Kwakweli nimehama toka iPhone, saiv natumia Android OS kwenye Google Nexus S, na nina uhakika hamna OS inayoishinda Android kwa sasa. Symbian ilikuwa zamani enzi zile Nokia ipo juu ya simu zote, Blackberry OS is okay (but I dont think its the top on the line), Windows Mobile - Hapa kwa kweli niseme tu mimi sio mpenzi wa Windows, na nikisikia Windows tu akili yangu inaniambia iko dhaifu kwa virus na hii ni kutokana na experience niliyoipata na Window based OSs kwenye computer mpaka nkahamia Linux na Mac Os.

Ngoja tusubiri na wengine watoe maoni yao juu ya hili.
 
Asante mkuu Sniper kwa maelezo yako ni kweli hata mimi ni nimewahi
kutumia Android OS ktk simu dhaifu ya IDEOS nilipenda sana OS hasa
kwenye Aplication Market kwa sasa natumia BB OS kwenye curve 8520
ambayo sijaipenda.
 
Mie natumia iphone 4 na galaxy s2.
Kwa kweli IOS naiona ipo juu zaidi ya Android.hapa naisikilizia iphone 4s na kuachana na android hii.
Ukitaka kuifurahia iphone watakiwa kuijail break.
OTIS
 
Yani Android Os sijaona zaidi labda tusibiri Blackberry os10. NA boot2gecko but android noma many apps, freedom to customize,really fast, affordable, open source
 
Umewahi kutumia iOS...na apps zake???
 
Android OS isthe best followed by iOS.
Tizama hizi kwa ranki,
Android, iOS, Mawmo, Symbian, Windows, WebsOS, Grada, Bada afu ya mwisho BlackBeryy(YA MWISHO)
 
Mimi nilikuwa mtumiaji mkubwa sana wa iPhone ambayo inatumia iOS, hivi karibuni tulibishana sana na rafiki yangu yeye alikuwa anatumia Android OS (Ice-cream sandwitch version) kwenye Samsung Galaxy S II, mwisho tuliishia kubadilishana simu ili kila mmoja atest ya mwenzake.

Kwakweli nimehama toka iPhone, saiv natumia Android OS kwenye Google Nexus S, na nina uhakika hamna OS inayoishinda Android kwa sasa. Symbian ilikuwa zamani enzi zile Nokia ipo juu ya simu zote, Blackberry OS is okay (but I dont think its the top on the line), Windows Mobile - Hapa kwa kweli niseme tu mimi sio mpenzi wa Windows, na nikisikia Windows tu akili yangu inaniambia iko dhaifu kwa virus na hii ni kutokana na experience niliyoipata na Window based OSs kwenye computer mpaka nkahamia Linux na Mac Os.

Ngoja tusubiri na wengine watoe maoni yao juu ya hili.

HAPO HAPO! Sniper nina galaxy S2 lkn sijaweka ICS nyinyi mmewezaje jamani?
 
jamani Android ni kiboko yaani apps zake ni balaa kama komputer vile ina support usb host cable yaani ni flexible vibaya.
 
android ndo jiwe..wew wa iphone una hera ya ku buy apps? Iphne ni kwa mbele na co bongo.
 
Mimi nilikuwa mtumiaji mkubwa sana wa iPhone ambayo inatumia iOS, hivi karibuni tulibishana sana na rafiki yangu yeye alikuwa anatumia Android OS (Ice-cream sandwitch version) kwenye Samsung Galaxy S II, mwisho tuliishia kubadilishana simu ili kila mmoja atest ya mwenzake.

Kwakweli nimehama toka iPhone, saiv natumia Android OS kwenye Google Nexus S, na nina uhakika hamna OS inayoishinda Android kwa sasa. Symbian ilikuwa zamani enzi zile Nokia ipo juu ya simu zote, Blackberry OS is okay (but I dont think its the top on the line), Windows Mobile - Hapa kwa kweli niseme tu mimi sio mpenzi wa Windows, na nikisikia Windows tu akili yangu inaniambia iko dhaifu kwa virus na hii ni kutokana na experience niliyoipata na Window based OSs kwenye computer mpaka nkahamia Linux na Mac Os.

Ngoja tusubiri na wengine watoe maoni yao juu ya hili.

Mkuu mimi ilinichukuwa muda mwingi sana kuwaelimisha watu ambao wako-windows centric kubadilisha mawazo, wengi kwao Computer (pc) ni Windows/OS na application programs zake, uwambii kitu. OS ya windows haiko dhaifu kwa virusi tu hata code zake wakati mwingine zinaletwa kwenye market ziko half cooked-Bill Gates anategemea watu watakuwa wana-update OS yake kwa ku-patch matatizo ya OS yake kwa njia ya mtandao-na kibaya zaidi patches zake zinakula MB chungu nzima na huwa zinaji-update kwenye backgroung bila mtumiaji kujua kinacho endelea! mwisho wa siku mtu anajikuta ame-exhaust bundle aliyo wekewa na Service Provider unajikuta unaingiza tena mfukoni kununua nyingine-ni kero sana.

We sema Bill Gates ana bahati sana kwa kuwa hakuna mtu ambaye huwa anamlalamikia kuhusu upuuzi wake huo, alafu Bill Gates ni mtu ambaye huwa hataki ushindani wa kibihashara, applications programs zake nyingi aliwahibia vijikampuni vidogo vyenye watu wabunifu sana; anafanya jueri hiyo ukijuwa kwamba akipelekwa mahakamani atawalipa fidia-jueri ya Pesa.

Kuhusu ni OS hipi ni nzuri kutumika katika mobile-phones, watu ambao wako concern na hilo ni wale wenye ujuzi wa kiufundi ambao wanataka ku-tinker around na simu zao, lakini majority ya watumiaji hawajali sana ni OS hipi hiko under the hood, personally I prefer open sorces software to Proprietary stuff that muzzles innovation. I can tell you Android OS is a KILLER OS the world has ever known, thanks to Open Source Community.
 
Asante sana wadau pia nilikuwa napenda kujua nini
maana ya kufanya JAILBREAK na ROOTING kwenye simu?
 
kwa mbongo Android ni kali kinoma, i own Android phone vilevile nina iPhone4... Ila kwa mtu mwenye pesa na ana credit card iOS haina mfano ni kali mbaya.... Umeuliza khs rooting, hiyo ni kwa Android OS ambapo ukifanya rooting u.aweza kuaccess Bootloader ambayo ndo main system unaweza kuweka OS mpya zaidi na illegal softwares... Jailbreak nayo ni hvo hvo sema yenyewe ni kwa iOS i.e iPhone au iPad
 
Nimewahi sikia Amndroid ndio kila kitu. Je simu zip zinaikubali? Na vp kuhusu gharama?
 
Back
Top Bottom