Which country in europe has the most beautiful women?

wee hata sio wote wanaokuja tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!

yaani huyo mama yako ningekuwepo ningempa zawadi....
Naona wengine walishangaa,maana wabongo wengine wanaona wazungu kama miungu wadogo lol
 
na mimi nilitaka kusema labda sababu ya umasikini ila nikasita kwa kuwa mbona sisi ni masikini kuliko wao na bado tuna upendo?

nyumba kubwa
hata sisi wabongo baadhi ulofa umetubadilisha
roho ,
binafsi naamini umasikini unachangia mno mtu kuwa na roho mbaya.ingawa wapo watu maskini wenye roho safi
 
Huyo atakuwa kaburu huyo maana ndio wana tabia ya kuleta dharau hata kwenye nchi za watu.

Wee hata sio wote wanaokuja Tanzania wanabadilika na kua na heshima...nakumbuka siku moja (a few years back) nilikua na mama supermarket tumechukua vitu vye vizuri tumesimama kwebye que tukisubiria kulipa ghafla akaingia mmama wa kizungu...harakaharaka akachukua alichofuata kilikua kitu kimoja tu alafu akaja akasimama mbele yetu.Weee mama alimwakia mpaka nikaogopa....kakaanza kuapologize uongo ila ilibidi asubiri wote aliowakuta wamalize kabla nae hajapata nafasi ya kulipa!!
 
lakini tushajiuliza kwa nini tunadharauliwa au tunakimbilia tu oooo rangi zetu,sijui nini.
 
Out of topic kuna visiwa vinaitwa Trinidad na Tobago yani nimejua mwaka huu. Ni nchi ndogo sana duniani ila ni very rich. Namuomba Mungu anijalie nikipata pesa nikatalii. Yaani wana among busiest airport duniani. Kama wapenda geography google mtaona. Kuna sehemu mbili za kwenda duniani huko na Seashells. Sasa nimekonnect na story baada ya kujuana na mdada anayetokea huko ana roho nzuri sana nikasema ngoja ni google hiyo nchi anayotokea nilichoka. Very beutiful, rich and small.
 
out of topic kuna visiwa vinaitwa trinidad na tobago yani nimejua mwaka huu. Ni nchi ndogo sana duniani ila ni very rich. Namuomba mungu anijalie nikipata pesa nikatalii. Yaani wana among busiest airport duniani. Kama wapenda geography google mtaona. Kuna sehemu mbili za kwenda duniani huko na seashells. Sasa nimekonnect na story baada ya kujuana na mdada anayetokea huko ana roho nzuri sana nikasema ngoja ni google hiyo nchi anayotokea nilichoka. Very beutiful, rich and small.

nenda ukatalii ujionee mwenyewe...
Seycheles mfano wana rate kubwa ya afya za watoto kuliko usa...
 
Don't let them make you feel responsible for being inferior. Ni wao na ukoloni wao wametufanya tuwe hivi tulivyo. Tukianza kuongea hapa hapatoshi na ni kisiasa zaidi. Nyerere alikataa wasituletee masharti yao lakini umeona wanavojua kubana. If they could let us be tusingekuwa masikini hivi. Kwa ujumla wana create lots of discourses ili tuone kuwa sisi ni wajinga, hatuwezi kufikiri hence they are thinking for us. Waliotaka kujinasua kama kina Gadafi unaona kinachowakuta. Wakishamtoa basi wa libya wanakuwa chini ya directives zao. Hawa ni watu?

lakini tushajiuliza kwa nini tunadharauliwa au tunakimbilia tu oooo rangi zetu,sijui nini.
 
Out of topic kuna visiwa vinaitwa Trinidad na Tobago yani nimejua mwaka huu. Ni nchi ndogo sana duniani ila ni very rich. Namuomba Mungu anijalie nikipata pesa nikatalii. Yaani wana among busiest airport duniani. Kama wapenda geography google mtaona. Kuna sehemu mbili za kwenda duniani huko na Seashells. Sasa nimekonnect na story baada ya kujuana na mdada anayetokea huko ana roho nzuri sana nikasema ngoja ni google hiyo nchi anayotokea nilichoka. Very beutiful, rich and small.
Sikujua kwamba ni matajiri....
 
Kwa data hizi inaonesha wazuri zaidi ni "blondes", lakini kwa mapenzi yangu, wanawake weusi au "brownskins" ni wazuri zaidi. Kwa sababu hiyo, ninabaki na Waafrika kwanza, wakifatiwa na walatini (the Mediterranean: Spain, Portugal, Italy, France, Greece, Malta,Turkey.... and Latin American women).
 
Na hiyo dhana ndo aliyotaka kuendeleza Hitler...kutengeneza taifa la watu “safi“ tu la watu wenye nywele za blonde na macho ya blue!!
 
Mi naonaga wanawake wa uk wazuri wana miguu mizuri ila ndio hivo tena ubaguzi kwa kwenda mbele
 
Unataka tujue kuwa uko ulaya??? Unaangalia Nchi au roho na moyo wako unapopenda acha ushamba dogo vipi wewe?? Ohhh sory nime lala nakunywa Valuu mixer na Safari

Wewe piga kelele lakini mimi niko UK na hiyo hiko wazi hapo juu kwenye account yangu
na wala hiyo sio big dili wewe bado huko zamani kama ubabaika na nchi.
wengine hawata hawata elewa kwa nini lakini wewe umeathika na imani yako (avatar)

user-online.png
lifeofmshaba
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Location : London
Posts : 594

Rep Power : 22

[h=2]
icon1.png
Re: Which country in europe has the most beautiful women?[/h]
hii ni kweli kabisa kwa kuzingatia UK haipo maana wana wanawake vituko

jmn kusema ukweli wanawake wa latin america ndio wa ukweli balaa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom