Which country in Africa has the most beautiful women?

waongo hawa wa uganda,kenya hamna ki2,ujue wazungu wanaweka vigezo vyao kwa kuzingua kuwapromote wao waonekane warembo,wao urefu ka mlingoti,asiwe na kalio kwa kuwa hawana,na mifupa mingi ndo mana nch number moja mpaka 3 zina midada mibaya yenye maumbo mabovu ka ya wazungu,jaman ki2 kalio umbo safi,lenye ufuta ndo ye2 na nch ya tz n moja ya top 10 kwa warembo nini bna!nenda s afr,rwnda,tz,swaziland,nigeria vyombo 2pu
 
Waethiopia na wasomali then wanafuatiwa na Rwanda kisha waswana kwa mbali Tz hatuwezi kukosekana kuna makosa ya uangaliaji hata hivyo uzuri unatambuliwa na anayeungalia.
 
what i believe mchumba wangu shz the most beatifull girl ever walked on ths earth ......


kizuri kimo machoni
 
IMG_4403.jpg
 
Hapa tazama totozi ya kinyarwanda,
 

Attachments

  • anatafuta mchumba.jpg
    anatafuta mchumba.jpg
    63.8 KB · Views: 149
Tazama totozi ya kibongo, yaani kaweka na mikorombezo yote na ndo mshindi tena jijini
 

Attachments

  • Bongo.jpg
    Bongo.jpg
    71.9 KB · Views: 682
Kama Cape Verde ingekuwa namba moja hii research ingekuwa relevant kwangu..
 
Tazama totozi ya kibongo, yaani kaweka na mikorombezo yote na ndo mshindi tena jijini

HA! Cynthia Kimasha?! when was this? amekuwa miss nini!??
Duh...this is good to see..alikuwa jirani yangu kipindi fulani kule Chuo cha Ushirika, sasa MUCCoBS....wow!
muda unaenda!!!
 
Eti ni kweli majibu haya? WHICH COUNTRY IN AFRICA HAS THE MOST BEAUTIFUL WOMEN?[+] ballot by LCDcreated Fri Nov 10, 06Ethiopia 25%somalia 19%South Africa 14%Nigeria 6%Kenya 5%Rwanda 3%morocco 3%Ghana 2%Cape Verde 2%senegal 2%egypt 2%Western Uganda! and Rwanda 1%cameroon 1%zimbabwe <1%congo <1%Botswana <1%algeria <1%liberia <1%Swaziland <1%Sudan <1%Sierra Leone <1%guinea <1%Badonkadonk <1%tunisia <1%zambia <1%angola <1%namibia <1%malawi <1%Lesotho <1%the country of zambia <1%burkina faso <1%
wow!somali19%.am proud
 
Kuna dada yenu mwingine hapa ha ha ha Born in 1986, Zakia Ramadhani, ni Miss University Zanzibar
 

Attachments

  • Miss University Zanzibar.jpg
    Miss University Zanzibar.jpg
    8.6 KB · Views: 90
Wametumia vigezo gani ku determine hili? Ukiniuliza mie namba one ni wa sauzi, wa pili ni waSom, watatu Rwanda then ethiopians kisha hao wengine na warundika pamoja.. coz kama mtaamua tweke picha hapa za totoz wa kikenya tumake comparison na wabongo, mie nitaweka picha nyingi sana, just to dimistify the thought that our women are not fiiine

Kwa mara ya kwanza naweza kukubaliana nawe lolz!
 
Tazama totozi ya kibongo, yaani kaweka na mikorombezo yote na ndo mshindi tena jijini

HA! Cynthia Kimasha?! when was this? amekuwa miss nini!??
Duh...this is good to see..alikuwa jirani yangu kipindi fulani kule Chuo cha Ushirika, sasa MUCCoBS....wow!
muda unaenda!!!


huyo ni miss DUCE

hacheni kuchakachua weka miss tanzania sio vyuo vikuu
wasomi wengi wa kibongo wamechoka
 
Waethiopia na wasomali then wanafuatiwa na Rwanda kisha waswana kwa mbali Tz hatuwezi kukosekana kuna makosa ya uangaliaji hata hivyo uzuri unatambuliwa na anayeungalia.
Kama huna "nigger" mentality kuwa uzuri ni kuwa 'light skinned' utakuwa sawa. Kama unaangalia archuitecture zaidi Tz tunao warembo wengi ingawa wenyewe hawajitambui. Waethiopia na Wasomali wengi wamekeketwa. Hakuna milango wala pazia. Utaishia kuangalia sura tu na kuumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom