Which country in Africa has the most beautiful women?

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Eti ni kweli majibu haya?

WHICH COUNTRY IN AFRICA HAS THE MOST BEAUTIFUL WOMEN?

[+] ballot by LCD
created Fri Nov 10, 06
Ethiopia 25%
somalia 19%
South Africa 14%
Nigeria 6%
Kenya 5%
Rwanda 3%
morocco 3%
Ghana 2%
Cape Verde 2%
senegal 2%
egypt 2%
Western Uganda! and Rwanda 1%
cameroon 1%
zimbabwe <1%
congo <1%
Botswana <1%
algeria <1%
liberia <1%
Swaziland <1%
Sudan <1%
Sierra Leone <1%
guinea <1%
Badonkadonk <1%
tunisia <1%
zambia <1%
angola <1%
namibia <1%
malawi <1%
Lesotho <1%
the country of zambia <1%
burkina faso <1%
 
Wametumia vigezo gani ku determine hili? Ukiniuliza mie namba one ni wa sauzi, wa pili ni waSom, watatu Rwanda then ethiopians kisha hao wengine na warundika pamoja.. coz kama mtaamua tweke picha hapa za totoz wa kikenya tumake comparison na wabongo, mie nitaweka picha nyingi sana, just to dimistify the thought that our women are not fiiine
 
Eti ni kweli majibu haya?

WHICH COUNTRY IN AFRICA HAS THE MOST BEAUTIFUL WOMEN?

[+] ballot by LCD
created Fri Nov 10, 06
Ethiopia 25%
somalia 19%
South Africa 14%
Nigeria 6%
Kenya 5%
Rwanda 3%
morocco 3%
Ghana 2%
Cape Verde 2%
senegal 2%
egypt 2%
Western Uganda! and Rwanda 1%
cameroon 1%
zimbabwe <1%
congo <1%
Botswana <1%
algeria <1%
liberia <1%
Swaziland <1%
Sudan <1%
Sierra Leone <1%
guinea <1%
Badonkadonk <1%
tunisia <1%
zambia <1%
angola <1%
namibia <1%
malawi <1%
Lesotho <1%
the country of zambia <1%
burkina faso <1%
Data hizi si za kweli ukiondoa number 1 na 2. Hakuna ubishi wanawake wa uwanda wa Abysiania ambalo linachukuia sehemu kubwa ya Ethioopia na Somalia ndilo linaloongoza kwa wanawake wazuri wa sura, rangi na maumbo kutokana ni mixer ya damu kati ya jamii za kiajemi enzi za Queen of Sheba. Wa pili kwa uzuri ni Jamii za Semi Nilotic wakiwemo wanyarwanda na Jamii wa wafugaji.

Haiwezekani Nigeria na Hata Afrika Kusini wakawa juu yetu!.
 
Wametumia vigezo gani ku determine hili? Ukiniuliza mie namba one ni wa sauzi, wa pili ni waSom, watatu Rwanda then ethiopians kisha hao wengine na warundika pamoja.. coz kama mtaamua tweke picha hapa za totoz wa kikenya tumake comparison na wabongo, mie nitaweka picha nyingi sana, just to dimistify the thought that our women are not fiiine

Ukiweka wanawake wa kijaluo, kuluiya na kikuyu si tutakimbia hii thread manake wanatisha kwa sura Kibaki anawafunika...
 
kwa haraka haraka nazikubali nchi hizi...ethiopia,eritrea,somalia,rwanda,south africa,angola,na TZ.
 
Hu utafiti umetumia vigezo gani?
Somalia, Ethiopia na nchi za ukanda huo zina watu wa jamii moja tu (wajii unaofanana) hata kama wana makabila tofauti same case kwa Rwanda (Watusi ama Wahutu)
hapo ni tofauti sana na nchi kama Tanzania zenye mchanganyiko wa makabila yenye wajihi tofauti, ukifanya utafiti kwa kuwachukua Warangi ama Wameru tu basi Tanzania unaweza kuishindanisha na Nchi hizo za Abyssinia

huu ni utafiti wakijinga mno unaopambanisha vitu visivyofanana
 
Rwanda full stop.

Seriously, what do these ladies have??!!! urahisi wa kutoa ngono? tabasamu-la kinafiki-usoni? maumbo yasiyojua kukatika viuno?
WHAT IS IT?
I have come across so many of them..lakini nimeshindwa kujua, huu uzuri unapimwa on what basis?
 
Eti ni kweli majibu haya?

WHICH COUNTRY IN AFRICA HAS THE MOST BEAUTIFUL WOMEN?

[+] ballot by LCD
created Fri Nov 10, 06
Ethiopia 25%
somalia 19%
South Africa 14%
Nigeria 6%
Kenya 5%
Rwanda 3%
morocco 3%
Ghana 2%
Cape Verde 2%
senegal 2%
egypt 2%
Western Uganda! and Rwanda 1%
cameroon 1%
zimbabwe <1%
congo <1%
Botswana <1%
algeria <1%
liberia <1%
Swaziland <1%
Sudan <1%
Sierra Leone <1%
guinea <1%
Badonkadonk <1%
tunisia <1%
zambia <1%
angola <1%
namibia <1%
malawi <1%
Lesotho <1%
the country of zambia <1%
burkina faso <1%

Mie Ethiopia naamini ndiyo KITOVU CHA UZURI WA WANAWAKE (SURA) KATIKA AFRICA YETU.....Nakubali kukosolewa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom