Which country has best intelligency agency

There goes Mr America.You won its true CIA and i think they are invincible when it comes to national security.Hivi how are they interconnected with secret service? Manaake kimovie-movie huwa sielewi kabisa.

That's classified information.
 
It is very good question, countries are generally unwilling to divulge how large the intelligence operations are, so getting a true answer is at most a best guess so for me i would go for Israel...THE MOSSAD.

Without a doubt CIA inaongoza, kwa kuwa ina resources nyingi zaidi kulikoi intel agency zote duania. CIA ina uwezo mkubwa wa eavesdrop, satelite, na human resouces katika kila capital duania, na inaweza kupata info yoyote katika muda mfupi sana. Ya pili ni Mi-6 kwa msaada wa Mi-5, kutokana na sababu za kihistoria na kuwa na teknolojia za kisasa, msaada toka US na racial mix yake. FSB(former KGB) iko weak kutokana na kuwa na resources kidogo, lakini iko way better kiliko Mossad katika kila angle. MOSSAD huwezi kuilinganisha na CIA, Mi-6 na FSB. MOSSAD uwezo wake umeegemea kwenye hisani ya CIA, na ni limited katika eneo la mashariki ya kati na imelenga zaidi kwenye defence na operation za assasination, inajitahidi pia kwa kuwa na sophisticated eavesdroping techs and surveilance kwa ajjili ya ulinzi wa nchi, msaada wa US. ISI ni nzuri sana kwa human intelligence, may be better than MOSSAD, CIA na Mi-6 on that aspect only, lakini pia iko limited kwenye eneo la Indian subcontinet na kidogo kwenye baadhi ya nchi za kiarabu na UK, hata CIA, Mi-6 na FSB wanategemea msaada wa ISI kwenye human intel za eneo hilo. SO overall CIA iko way far than any intel org, MOSSAD haiikaribii CIA hata kidogo, iko kwenye mguu mmoja na ISI, CIA haina mwenza, labda FSB na Mi-6 na Mi-5 kidogo. Wanaiona Mossad ni better ni wale wenye messianic thinking and believes.
 
Yaani Israel iko overrated sana. MOSSAD toka lini ikawa iko juu ya CIA? Or for that matter Israel toka lini ikawa juu ya USA?

Or wait....ni Israel ndiyo inayoipa misaada US.....never mind. Nilisahau.....
 
Mkuu NN unajua kuna watu wana messianic thinking and believes. Kama utakuwa umewasikia viongozi waandamizi wa Israel hivi karibuni wakiuongea na media unaweza kujua wazi kuwa they are worried. Na wamesema wazi kuwa America is a leader and must lead in intelligency matters. Nilikuwa nasmikiliza former Israel PM E Olmert, former IDF chief na former MOSSAD chief na Shinbet chief, hata rais wa Israel naona wote they are in the same page. Isipokuwa Netanyahu ambaye anaonekana kama idot. Olmert alisema kitakachoamuliwa Washington ndio kitafanywa Tel Aviv, na kabla ya kufanya wanayotaka kwanza wanaomba go ahead Washington, not otherwise. Ukiangalia kwa undani utaina kuwa MOSSAD na Shinbet ni kama CIA in 50s na 60s, kwa hiyo wanaosema MOSSAD ni best au wanaojaribu kuilinganisha na CIA, they do not know what they are talking about.
 
Wajameni walio juu kuliko wote ni Wayahudi!.

September 11 waliiona na waliitip CAI ikadharau!.

Ikatuma signal kwa Wayahudi wote wanaofanya kazi kwenye TT not to report to job that day!. None of them died!.

Ingekuwa Osama ni target yao, asingechukuwa muda wote huo!.

Mpaka sasa sijafanikiwa kuona anyother operation kama 90 Min at Entebbe!. Ile ya Osoma jamaa walivizia na kunyatia ka wezi!.

Zaidi ya yote hao ma best brains kwenye kila kitu ni hao hao Jews hata kama ni raia wa nchi zao!.

Kwenye intelligence Jews wanatumia Mind over Matter ya kwenye ESP! (extra sensory prespiration).
 
Mpaka sasa sijafanikiwa kuona anyother operation kama 90 Min at Entebbe!. Ile ya Osama jamaa walivizia na kunyatia ka wezi!.

Zaidi ya yote hao ma best brains kwenye kila kitu ni hao hao Jews hata kama ni raia wa nchi zao!.

Kwenye intelligence Jews wanatumia Mind over Matter ya kwenye ESP! (extra sensory prespiration).

Mkuu intel gathering inahitaji raslimali nyingi sana na uwezo mkubwa sana. CIA waliijua sepetemba 11 si kama waliambiwa na Mossad, wao ndio waliiambia Mossad kuwa inawezekana target ni wayahudi ndio maana wale wayahudi hakwenda kwenye TT. Operesheni ya 90 minutes in Entebbe haikuwa sophisticated na by large part ulikuwa msaada wa Kenya. 90 minutes in Entebe ilikuwa ni sawa na bank robbery, na kwa nchi kama Marekani ingeweza kupiga simu tu na kumwambia Idi Amini achia hao watu angewaachia. Mkuu sijui inajua best brains ngapi na kusema wanaofanya kazi huko kwao ni jews, na sijui kama unajua kuwa Mossad wenyewe walikuwa wanamtafuta Osama lakini walishindwa kumkuta. Mossad ni nzuri lakini si nzuri kama watu wanavyofikiri, ina weaknesses nyingi tu za wazi. kubwa kabisa ni kuachia mkuu wa nchi auawe mbele yao(tofauti kabisa na style ya Kennedy). Kutokana na ability yake, uwezo wake scope yake na resources zake iko mbali sana kuifikia CIA, Mossad is in the same footing with ISI, may be slightly better or less than that, lakini haiifikii hata Mi-6, leave alone CIA.
 
Yaani Israel iko overrated sana. MOSSAD toka lini ikawa iko juu ya CIA? Or for that matter Israel toka lini ikawa juu ya USA?

Or wait....ni Israel ndiyo inayoipa misaada US.....never mind. Nilisahau.....

WAKE UP MAN...

Wasikilize hawa wanaoujua ukweli ulivyo USA VS ISRAEL who controls who ?

Henry Ford said this:

"If after having elected their man or group, obedience is not rendered to the Jewish control, then you speedily hear of "scandals" and "investigations" and "impeachments" for the removal of the disobedient. Usually a man with a "past" proves the most obedient instrument, but even a good man can often be tangled up in campaign practices that compromise him. It has been commonly known that Jewish manipulation of American election campaigns have been so skillfully handled, that no matter which candidate was elected, there was ready made a sufficient amount of evidence to discredit him in case his Jewish masters needed to discredit him."
Charles Lindbergh said this:
"Their greatest danger to this country lies in the Jewish ownership and influence in our motion pictures, our press, our radio, and our government.
Admiral Thomas Moorer, Chairman of the US Joint Chiefs of Staff under Ronald Reagan said this:
"I've never seen a President -- I don't care who he is -- stand up to them [the Israelis]. It just boggles the mind. They always get what they want. The Israelis know what is going on all the time. If the American people understood what a grip those people have got on our government, they would rise up in arms. Our citizens certainly don't have any idea what goes on."
William Fulbright - US Senator and Chairman of the US Foreign Relations committee - said this before a national audience:
"Israel controls the United States Senate. We should be more concerned about the United States' interests."

Presidential candidate, Patrick Buchanan said:

"The United States Congress is Israeli occupied territory."

Angalia media coy,ambazo kwa namna moja ama nyingine zinamilikiwa na JEWS, bado huamini kuwa Amerika ni Koloni la ISRAEL, hao CIA unaowasifia nani atakuwa anawamiliki kama si mmiliki wa hilo koloni ????

USA-MEDIA UNDER JEWS CONTROL: ABC, NBC, CBS, CNN, UPN, The Washington Post, The New York Times, The Wall Street Journal, The New York Daily News, Time Magazine, Newsweek, People Magazine, US News and World Report and countless other media
 
Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!
 
Wajameni walio juu kuliko wote ni Wayahudi!.

September 11 waliiona na waliitip CAI ikadharau!.

Ikatuma signal kwa Wayahudi wote wanaofanya kazi kwenye TT not to report to job that day!. None of them died!.

Ingekuwa Osama ni target yao, asingechukuwa muda wote huo!.

Mpaka sasa sijafanikiwa kuona anyother operation kama 90 Min at Entebbe!. Ile ya Osoma jamaa walivizia na kunyatia ka wezi!.

Zaidi ya yote hao ma best brains kwenye kila kitu ni hao hao Jews hata kama ni raia wa nchi zao!.

Kwenye intelligence Jews wanatumia Mind over Matter ya kwenye ESP! (extra sensory prespiration).

Kama wako juu hivyo iweje Hitler awakaange kama korosho kwenye mavinu ya gesi?

Hawana lolote hao jamaa na bila ya Marekani kuwakingia kifua wangekuwa washaangamizwa na Waarabu.
 
September 11 waliiona na waliitip CAI ikadharau!

Source please

Ikatuma signal kwa Wayahudi wote wanaofanya kazi kwenye TT not to report to job that day!. None of them died!.

Source please

Mpaka sasa sijafanikiwa kuona anyother operation kama 90 Min at Entebbe!. Ile ya Osoma jamaa walivizia na kunyatia ka wezi!.

Hahahaaaa wewe jamaa ni juha kabisa! Yaani kweli raid on Entebbe nayo ni ya kuishobokea hivyo? Iddi Amini alikuwa na nini yule? Yaani wewe jamaa ni zero kabisa. Hayo majeshi ya Amini hata sisi tuliyanyuka seuze Israel kwa msaada wa Marekani? Uwe unaona na haya basi kutoa hoja za kijuha kama hii. Khaaaaa!!!!!
 
Mi nawakubali Pakistan (ISI) Ndio bora kuliko yote duniani.
2. Mossad (Israel)
3. M16 (uk)
4. CIA (USA)
5. Mss(China
6.BND (GERMAN)
7. FSB (RUSSIA)
8. DGSE (FRANCE)
9. RAW (INDIA)
10. Asis (Australia)
 
Hahahaaaa Pakistan? Haya bana.....ila umenikumbusha enzi zile tuko wadogo. Kuna watu walikuwaga wanasema eti jeshi la Tanzania na makomandoo wake ni kali zaidi kuliko hata jeshi la Marekani
 
Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!
inawezekana jamaa Hana akili kabisa, lakini ana akili nyingi kuliko Wamarekani, pamoja na kukabiliwa na deni kubwa sana la nje lakini hawana ubavu wa kusitisha mabilioni kwenda Israel, kwa nini watu wengi hamtaki kuamini wala kuelewa kuwa Jews ndiyo huamua muelekeo wa marekani, that being the case Where is AMERICA'S CIA'? Jibu ni rahisi sana CIA is under Jews control also?! Who is American ? If ever there is one . . .
 
Hakuna kitu kama hicho. Wamarekani allies wao wote wa muhimu huwapa misaada mikubwa sana. Israel sio nchi pekee ipokeayo misaada ya Marekani. Hata South Korea na Taiwan pia hupokea na kama isingekuwa Marekani kuwakingia kifua China na North Korea zingekuwa zishaanzisha timbwili huko Taiwan na South Korea.

Jews kuamua mwelekeo wa Marekani ni moja ya urban legends tu. Hakuna ukweli wowote ule.
 
Tumeona rating mbalimbali mlizotoa wakuu.
Mimi siyo mtaalam wa haya lakini ni interesting kujua:
- nani kamrate nani ili iweje? kwa wenzetu hata kukipa rating fulani chombo chako nao ni mkakati, hawafanyi tu
- hivi CUBA wamesurvive vipi sebuleni mwa hasimu wake mkubwa bila inteligensia kali? - just curious!
 
Back
Top Bottom