Which country has best intelligency agency

Wasikie tu MOSSAD.Marekani sio wajinga kuwakumbatia hawa watu.Na kwa kiasi kikubwa achievement kubwa ilofikiwa na CIA hivi sasa imechangiwa sana na hawahawa ma-Jews
 
Mission ni nyingi...lakini ni za siri,ukitaka kujua wanavyooparate,tafuta movie ya Angelina Jolie ambayo ni true story inayoitwa A MIGHTY HEART uone jamaa mambo yao....
Mkuu Kaveli mimi nahitaji hiyo movie ntaipataje?
Naomba maelekezo...

Alafu hizo intelligence agencies huwa kigezo kikubwa ni pamoja na resources je kuna yoyote mwenye kumzidi resource CIA?
 
Hii movie kama una mtandao wa kudownload wa utorrent ukiitafuta hiyo movie unaipata kama huna tafuta wataalamu wa IT watakusaidia upate hiyo program utakuwa una download movie unavyotaka..ni uchumi wako tu wa kuweza kununua mb kwenye mitandao kwaajili ya mahitaji yako. Kingine mkuu kuhusiana na resource nakuunga mkono...lakini mimi sio shushushu na sipendi kuwa shushushu japo kuwa zamani nilifikiri ni big deal...sasa hivi I have other things in my mind kuliko kukaa nafuatilia watu wengine au kutaka watu waniogope au waniabudu.Kitu ninachofikiri kinachowafanya hawa jamaa wa Paistan wawe effective ni UNIQUE techniques zao za kufuatilia jambo.Hebu tafuta hiyo movie kwanza uiangalie halaf tutaendelea kuongea..
 
Sawa mkuu nimekupata ngoja niipate kwanza hiyo movie nitarudi, kuhusu hiyo app ya utorrent inapatikana hata playstore nimewahi kuinstall lakini ilinishinda namna ya kuioperate.. ngoja ntatafuta msaada lakini,

kazi ya ushushu hapa bongo kutafuta laana tu hata mimi sikushauri.
 
Siku hizi mweny technology ya juu ndiye mweny uwezo wa kujua mengi.kw sasa urusi na marekani wapo juu san kweny mambo ya technology
 
Back
Top Bottom