Where the Earth farts!!!!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 61222
Si wengi wamefika mahali hapa, lakini hii sehemu ambayo ipo obout 2000metres above sea level.
Hapo kuna harufu ya carbon dioxide na traces za carbon moxoxide, watu hawashauriwi kukaa muda mrefu sana hapo kutokana na gases hizo.
Hata leo ukipita utakuta wanyama wadogo waliokufa kwa kukosa hew, ila gesi hiyo sasa inakuwa capped kwa matumizi ya binadamu.
Hapo wapi wakuu?
 
Be careful buddy, only in very low concentrations, reread your notes!

nasoma kemia tangu shule ya msingi mpaka leo hii, nalala naamka na medicinal chemistry, lete proof kuwa ina harufu....ni harufu gani? iyo harufu inatokana na element gani kati ya carbon au oxygen?
 
masopakyindi
Si wengi wamefika mahali hapa, lakini hii sehemu ambayo ipo obout 2000metres above sea level.
Hapo kuna harufu ya carbon dioxide na traces za>>>>>>> carbon moxoxide,<<<<<<<<< watu hawashauriwi kukaa muda mrefu sana hapo kutokana na gases hizo.
Hata leo ukipita utakuta wanyama wadogo waliokufa kwa kukosa hew, ila gesi hiyo sasa inakuwa capped kwa matumizi ya binadamu.
Hapo wapi wakuu?
 
Last edited by a moderator:

Carbon dioxide is colorless. At LOW concentrations, the gas is odorless. At higher concentrations it has a sharp, acidic odor.
At standard temperature and pressure, the density of carbon dioxide is around 1.98*kg/m3, about 1.5 times that of air.
SOURCE:Wikipedia

Furthermore, mkuu nimequote hilo suala la density kuwa 1.5 times that of air, tazama vizuri picha hiyo na utaone kuwa zile sehemu inapotoka hiyo gas ni majani tu yanaota mengine hayastawi kwa vilr the gas does not support life and it clings to the ground- maelezo kwa nini wanyama wadogo wanakufa pale.

Mimi nimechuka mwenyewe hiyo picha, and the smell, acidic and choking, was quite vivid- proof thst the concentration of CO[SUB]2[/SUB] was qite high.
 
masopakyindi
Si wengi wamefika mahali hapa, lakini hii sehemu ambayo ipo obout 2000metres above sea level.
Hapo kuna harufu ya carbon dioxide na traces za>>>>>>> carbon moxoxide,<<<<<<<<< watu hawashauriwi kukaa muda mrefu sana hapo kutokana na gases hizo.
Hata leo ukipita utakuta wanyama wadogo waliokufa kwa kukosa hew, ila gesi hiyo sasa inakuwa capped kwa matumizi ya binadamu.
Hapo wapi wakuu?
Every thinking person knows kwamba hiyo ni typo mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:
View attachment 61222
Si wengi wamefika mahali hapa, lakini hii sehemu ambayo ipo obout 2000metres above sea level.
Hapo kuna harufu ya carbon dioxide na traces za carbon moxoxide, watu hawashauriwi kukaa muda mrefu sana hapo kutokana na gases hizo.
Hata leo ukipita utakuta wanyama wadogo waliokufa kwa kukosa hew, ila gesi hiyo sasa inakuwa capped kwa matumizi ya binadamu.
Hapo wapi wakuu?

Ajabu hakuna alitoa jibu, na mimi nimefika hapo mahala.
 
Mkuu Masopakyindi, utwambombo?, Hapo ni kwetu Mwakaleli kwenye mlima Kyejo kupitia Masebe

Kikolo, momumo.
Umepatia kabisa, hapo ni kwenye slopes za mlima Kyejo.
Mlima huo baado uko active na kama utasikia tetemeko Rungwe mar nyingi hutokea sehemu hizi.
Ndaga malafyale!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom