Where is your high school sweetheart (mpenzi wako wa high school)

Kutokana na comments za wengi yaonekana maloveee ya high skul ni kupass time 2,no future.mamito Madame B uko poa?hv ulilala kwel manake mie libeneke lilinishinda.

Ah wapi Ciello.
Ile natoka Masai Club saa 10 Alfajiri kabla sijaenda Home kuna rafiki zangu wamenipigia simu kuwa kuna Bar inafunguliwa leo J2 kule Mitaa ya Railway Morogoro.
Nikaenda Home fasta kuchange Nguo.
Hapa nilipo niko kwenye Abood naelekea Morogoro ili niende Quater za Railway nikapombeke.
Pombe zitaniua jamani uwiii.
Vp mamito mzima?
 
Last edited by a moderator:

nko poa bibie, hongera kwakula bata ila usisahau kunibebea dompo 1.
 
Last edited by a moderator:
Ah wapi Ciello.
Ile natoka Masai Club saa 10 Alfajiri kabla sijaenda Home kuna rafiki zangu wamenipigia simu kuwa kuna Bar inafunguliwa leo J2 kule Mitaa ya Railway Morogoro.
Nikaenda Home fasta kuchange Nguo.
Hapa nilipo niko kwenye Abood naelekea Morogoro ili niende Quater za Railway nikapombeke.
Pombe zitaniua jamani uwiii.
Vp mamito mzima?

Uzinduzi mwema! Hehehe sipati picha za promo zilivyo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
....Asprin usiendelee kuniliza bhana.
Atakufaje na huo wakati alikuwa anapima oil kwangu?

Ni Ajali tu ambayo nami niliponea chupuchupu kwani nilizimia Wiki 2.
Baada ya kuzinduka nikakuta tayari washamzika.
:rip: mjanja wangu.

Asante papito!

pole mwayego
 
Ah wapi Ciello.
Ile natoka Masai Club saa 10 Alfajiri kabla sijaenda Home kuna rafiki zangu wamenipigia simu kuwa kuna Bar inafunguliwa leo J2 kule Mitaa ya Railway Morogoro.
Nikaenda Home fasta kuchange Nguo.
Hapa nilipo niko kwenye Abood naelekea Morogoro ili niende Quater za Railway nikapombeke.
Pombe zitaniua jamani uwiii.
Vp mamito mzima?

yaani hizo pombe nadhani zikikuona unakuja tu ile alcohol percentage inarudi zero....
maana naona upo stable hadi sasa kitu ambacho ni imposibo aisee....
wasalimie Moro, waambie Bongo kimenuka...
 
Last edited by a moderator:
sijui hata yuko wapi, ngoja nipekue makabrasha hapa google labda nitampata...

teh!! Baby watu8, kumbe umehifadhi contacts zake? mbona mie uliniambia nisiwasiliane naye na hutaki kusikia nikampiga kibuti jumla?
 
Last edited by a moderator:
teh!! Baby watu8, kumbe umehifadhi contacts zake? mbona mie uliniambia nisiwasiliane naye na hutaki kusikia nikampiga kibuti jumla?

mpenzi hata sina kontakti za yule mdada....pengine mpaka nisearch google..
Baby mimi na wewe forever hakuna wa kututenganisha....sogea karibu nikupe kiss la huba laaziz
 
Last edited by a moderator:
mpenzi hata sina kontakti za yule mdada....pengine mpaka nisearch google..
Baby mimi na wewe forever hakuna wa kututenganisha....sogea karibu nikupe kiss la huba laaziz

watu8 me like you the way unavyoshow love
 
mpenzi hata sina kontakti za yule mdada....pengine mpaka nisearch google..
Baby mimi na wewe forever hakuna wa kututenganisha....sogea karibu nikupe kiss la huba laaziz

am here darling...nivute kwako niwe wako milele..............
 
yaani hizo pombe nadhani zikikuona unakuja tu ile alcohol percentage inarudi zero....
maana naona upo stable hadi sasa kitu ambacho ni imposibo aisee....
wasalimie Moro, waambie Bongo kimenuka...

Ha ha ha ha ha
watu8 usiombe uwe mlevi,hata kama pombe ziko Mbali kiasi gani lazima uzifate.
Nahs aliyeniroga kafa jamani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom