Where is YNIM?!

Oyaa dogo...naona umezinduka eeh....jana ulikunywa nini? Kangala...?..chibuku...? Komoni?...kimpumu?...au your all time favorite..gongo? lol..

Haya dogo ushindwe wewe tu sasa maana mi mwenzio nahisi nimeanza kupigwa chini kidogo kidogo maana haiwezekani eti Cupcake wangu ai-miss njemba ingine....kwa hiyo usilaze damu...changamkia totoz hiyo...

Ni kwamba you are selling me out kwa crack head YNIM?....ooh i see ok!.
 
Haya dogo ushindwe wewe tu sasa maana mi mwenzio nahisi nimeanza kupigwa chini kidogo kidogo maana haiwezekani eti Cupcake wangu ai-miss njemba ingine....kwa hiyo usilaze damu...changamkia totoz hiyo...[/QUOTE]

Mambo ya zali la mentali....lol
 
jamani kaniuliza tuu kama nipo! .....balantata seems like he is a pastor dont you think!

ahahahahahaaa...eti he seems like a pastor? yaani uko naive kiasi hicho? angalia hiyo avatar yake uone alivyo suave....shauri yako wewe mchekee chekee tu....
 
Huyo mtu aliyemuweka kwenye aviatar simpendi kwa sababu alikuwa kwenye prison break huyo jamaa akawa anataka kumuua Tony scorfio na kaka yake..then mahony akaja kumuua....
 
Hahahaaaaaaaaaa...unamzungumzia hitman Wyat a.k.a Cress Williams..jamaa alikuwa na roho mbaya kimbwa ndani ya PB,lakini katika real life ni bonge la mpole
 
yeah huyo huyo alikuwa na roho mbaya sana i hated him aisee!...yaani duh alivyokuja kushikwa yeye alikoma kuringa...yaani alikuwa hata hata roho ya huruma anauwa vibaya kweli kweli....ila all in all mimi anayenifurahisha ni yule m-mexico sijui atarudi tena alikuwa side ya scorfio na kaka yake...kila akijua wanafanya kitu lazima apige cross kwanza...

Namwambiaga cupcake kila jumatatu aangalie hataki....ila siku hizi kidogo he is getting there...that is a nice show ever!
 
Fernando Sucre
 
Kama yule Rev. Kishoka ni wa kuogopa mno...akishavaa suti yake ya pink anakuwa p.i.m.p na mambo ya kanisa yanatoswa!!! Kaa nae mbali.....

Ohoooooo,kumbe upo!!!!,umeibukia wapi weye....Hope 'umeshavaa miwani',mimi si mchungaji kiviile ila kama alivyosema Kelly I look like Mchungaji...Mwaga ishu mpwa
 
Kama yule Rev. Kishoka ni wa kuogopa mno...akishavaa suti yake ya pink anakuwa p.i.m.p na mambo ya kanisa yanatoswa!!! Kaa nae mbali.....

hhahahaha!...i doubt kama Rev Kishoka ni Pimp i think he is a respected reverend!...wengine wazushi tuu mfano jeremiah wright!
 
Back
Top Bottom