Where is YNIM?!

hivi wee cupcake una ma cousin wangapi? maana YE cousin wako....kibabu mwanakijiji naye cousin wako, nanihino nae cousin wako....yaani usikute hata mimi kwa wengine huwa unaniita cousin....

hahahaha! ...wewe utakuwaje cozin wakati nipo nakutangaza hapa eeeh kuwa you are my cupcake/pumkin....

mwanakijiji ni real cuzin you know that cupcake lakini...YE ni cuzin from different mother..na huyu ni cuzin wa kweli kabisa mdogo wake na my cuzin mwenye ile shughuli inayokuja.
 
mweeee....hawa ma cuzin hawa...
 
hahahaha! ...wewe utakuwaje cozin wakati nipo nakutangaza hapa eeeh kuwa you are my cupcake/pumkin....

mwanakijiji ni real cuzin you know that cupcake lakini...YE ni cuzin from different mother..na huyu ni cuzin wa kweli kabisa mdogo wake na my cuzin mwenye ile shughuli inayokuja.

am i missing something here,kumbe wengine mnajuana humu,me i thought tutakuja kujuana tukisha ikomboa tanzania wakati tunagawiana kazi in the motherland.anyway kama kujuana ruksa basi my heartfelt wish would be to know KELLY.
 
kwa nini unataka kumjua kelly?
 
am i missing something here,kumbe wengine mnajuana humu,me i thought tutakuja kujuana tukisha ikomboa tanzania wakati tunagawiana kazi in the motherland.anyway kama kujuana ruksa basi my heartfelt wish would be to know KELLY.

Me i have few cuzin's in here lakini siwajui watu wengi sana...and i am flattered to hear that you want to see me....but this is what i will tell you kabla hujanijua mimi you need to know my cupcake first!...and i think you know who cupcake is!...if not then do your research.
 
Last edited:
Wee cupcake, mahaj hotel ndo nini? Au ulitaka kusema Taj Mahal?

yeah cupcake hiyo hiyo Taj Mahal hotel iliyopigwa bomb juzi juzi hapa...nilikuwa najitahidi sana kukumbuka jina lake...thank you for correcting me...you are so sweet.
 
CUPCAKE or kikombecake,i just wish to know you,for i am flattered by your cool,calm and collected flow in this thread which leads me to think you are the same in really life and hence worth knowing
 
Taratibu unaanza, ooh namiss anavyotype, ooh he is so funny..before you know you have been swept off of your feet!
 
Man, that's what I'm scared of....

Kumbe na wewe umeona nilichokuwa nafikiria mimi. Huyu Cupcake naona anataka kunichezea akili yangu. Wee mwache tu aendekeze huu mchezo wa ku-flirt na huyu YNIM....
 
Mmmmh mie nipo tu "nyongo mkalia ini" wa Nyani Ngabu, nimejaa tele kama pishi la mchele....na-enjoy maisha, nafanya ile kitu waswahili wanasema, "ukitaka kula haramu basi kula tembo." Nadhani unanielewa......nikukandamiza tu kwa kwenda mbele, na sija-pull Mchambuzi wala Kadampinzani!! Nipo hapa hapa mpaka kieleweke na wasiopenda wakajinyonge! LOL...

Wananipakazia, mie sinywi "mbuksa"/mataputapu kama wanavyosema hao haterz....usisahau kumwanzishia NN thread ya kumpongeza kwa posts zake 8000 zilizojaa pumba na mwambie anyoe hiyo midevu kwani viwanda vya nyembe havijafungwa.

Oyaa dogo...naona umezinduka eeh....jana ulikunywa nini? Kangala...?..chibuku...? Komoni?...kimpumu?...au your all time favorite..gongo? lol..

Haya dogo ushindwe wewe tu sasa maana mi mwenzio nahisi nimeanza kupigwa chini kidogo kidogo maana haiwezekani eti Cupcake wangu ai-miss njemba ingine....kwa hiyo usilaze damu...changamkia totoz hiyo...
 
Hell no sijasema YNIM ana hela ila nasema tuu the waya navyoongea he sound like him pia i feel like anafanana na dave chapelle....Mimi nina cupcake wangu for better for worse kama ile movie (dang leo nimekuwa slow nasahau hata jina la movie)

Movie moja hivi mtu na demu wake walipendana hadi wamekuwa really old walikuwa nursing home...very nice movie i forgot its name gain...i dunno whats wrong with me leo nakuwa so slow kufikiria..

...Inaitwa THE NOTE BOOK
 
Back
Top Bottom