Where is the craddle of human being...

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
Wapendwa wana jukwaa la elimu,nina maswali mengi kuhusu chimbuko la binadamu,baadhi ya maswali hayo ni , -je,chimbuko la binadamu ni arusha ? -kufuatana na elimu ya biblia tumeumbwa kwa udongo,wakati ukienda kwa wana-akiolojia wanasema chimbuko letu ni nyani kwani tunafanana nao kwa asilimia 99 ktk dna composition,ukweli ni upi?
 
chumbuko la binadamu ni kufanya mapenzi.....mtu anapata mimba, mtu anazaliwa...mwisho wa habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom