Where is CUF?

ccm kiboko nawaambieni, wameweza kuwaficha na almost kuwaua kabisa cuf, jamaa wana mikakati mzito sana
 
umesema CUF? Hakipo kwa msajili. Kule kuna CCM B.




Hakuna mshindwa hapa, sisi sote kitu kimoja --Maalim Seif
 
CUF wapo bize wanaandaa strategy za uchaguzi ujao kimya kimya bila maanadamano wanaenda door to door huko visiwani
 
Wanajishughulisha na "Mke mkorofi Chadema ambaye alikata kuolewa bungeni" baba yake akamlazimisha wakae pamoja kwakuwa hana uwezo wa kujikimu na anapenda ulaji akakubali.

Wako bize wanamlea mke mdogo chadema bungeni
 
Am just curious...............

1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?

Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??

Mwanamke akishaolewa huwa anakuwa chini ya mumewe, kwa hiyo nyie ni akina nani mnayemuulizia mke wa mtu!

Sasa hivi ameshaungana na Mumewe ccm wamekuwa mwili mmoja, kwa hiyo anachozungumza ccm ndicho hicho hicho cha cuf.
 
Mwanamke akishaolewa huwa anakuwa chini ya mumewe, kwa hiyo nyie ni akina nani mnayemuulizia mke wa mtu!

Sasa hivi ameshaungana na Mumewe ccm wamekuwa mwili mmoja, kwa hiyo anachozungumza ccm ndicho hicho hicho cha cuf.

CUF wamemeoa CCM Zanzibar, Wakamoa Chadema Bara (bungeni) japo ndo hii ilikuwa ya lazima..

Sasa CUF wana wake wawili wako bize sana wanawahudumia wake zake (chadema bara na CCM visiwani)
 
CUF wamemeoa CCM Zanzibar, Wakamoa Chadema Bara (bungeni) japo ndo hii ilikuwa ya lazima..

Sasa CUF wana wake wawili wako bize sana wanawahudumia wake zake (chadema bara na CCM visiwani)

Mkuu hivi Osama bin laden ameuawa kweli au ni propaganda tu.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Is dead. Sasa hivi wanapanga taratibu za mazishi.

CCM ni kiboko cha Wapinzani; Baharini CCM ni papa, CDM ni korekore, CUF samaki mshale, vyama vilivyobaki ni dagaa. Hivyo mwisho wa siku papa atawala samaki wote. CDM msimcheke CUF inabidi mlie kwani kifo chenu chakaribia
 
Aisee, aisee....majibu haya ni very interesting...am just not sure whether yanatoka kwenye credible sources or not.....teh! teh! teh!
 
wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa znz kwa ajili ya kuchukua nchi rasmi ktk uchaguzi ujao baada ya kuwa hatua nzuri wamefika ya kuwemo ktk serikali..

Na wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa Tanganyika baada ya kugundua kuwa kura zao nyingi zimeibiwa na chadema na ccm ktk uchaguzi uliopita,walifanyiwa rafu mbaya na chadema na ccm,na wamekamata ushahidi wa uhakika kabisa,sasa wanaangalia ktk kutenegeneza Muungano wa ukweli wa vyama vya upinzani ili kuing'oa ccm bara ama angalau kuchukua viti kwa asilimia 50 kwa 50 ili zipatikane nguvu nyingi za kuweza kuwaondoa hawa mafisadi wa ccm... \

KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWA

Nawaombea huko kujipanga kwao kuwe kwema maana hizi taaruifa za kwenye mkutano wa majuzi wa Maalim na watendaji wachama wakimlalamikia kuwa amepunguza ungangari na pia serikali ya umoja inaonekana imemeza nguvu za chama hicho, si za kupendeza hata kidogo. Maalim ameshakiri kwua nguvu zake zimepungua (kutokana na maradhi? Umri au kuwekwa serikalini?), hivyo, CUF wanapaswa kujipanga kweli, si masihara
 
Back
Top Bottom