Where is CUF?

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Am just curious...............

1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?

Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??
 
Habari nilizopata toka kwa mjumbe mmoja wa CUF Taifa toka Tanga ni kwamba wanategemea kufanya mkutano mkuu hv karibun na agenda yao kuu ni kumchomoa Mh seif hamad ktk cheo cha ukatibu mkuu kwan haonekan kufanya kaz za chama hvyo kukizorotesha chama. Tusubiri tuone
 
kwishineee kufa tupa kule chezaa na njaa nini, kitu CDM bana viongozi wake wanajiweze mziki mnene, huku iringa leo ninoma
 
Biashara ya wanasiasa ni kushika madaraka, awe wa chama chochote kile. Wakishashika hayo madaraka, yanawalewesha, ulevi wa madaraka ni mbaya kuliko ulevi wa gongo.

Tusiwashangae CUF, tazameni hata waliopata umeya tu wa vyama vingine, tayari tunasikia wengine wameshafanya ofisi zao (za umeya) kuwa ni vijiwe vya kupigia soga.

Lisemwalo lipo, kama halipo, laja.
 
wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa znz kwa ajili ya kuchukua nchi rasmi ktk uchaguzi ujao baada ya kuwa hatua nzuri wamefika ya kuwemo ktk serikali..

Na wanajipanga na kueka mikakati mipya kwa upande wa Tanganyika baada ya kugundua kuwa kura zao nyingi zimeibiwa na chadema na ccm ktk uchaguzi uliopita,walifanyiwa rafu mbaya na chadema na ccm,na wamekamata ushahidi wa uhakika kabisa,sasa wanaangalia ktk kutenegeneza Muungano wa ukweli wa vyama vya upinzani ili kuing'oa ccm bara ama angalau kuchukua viti kwa asilimia 50 kwa 50 ili zipatikane nguvu nyingi za kuweza kuwaondoa hawa mafisadi wa ccm... \

KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWA
 
Am just curious...............

1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?

Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??

wanaomboleza kifo cha kiongozi wa mtandao wa Al Qaeda.
 
Am just curious...............

1. Wanajipanga??
2. Wanapangana?
3.Wanashangaa?

Coz kuna habari ya sintofahamu, makamu wa kwanza wa rais Zenj, ambaye ni katibu mkuu inasemekana anaskip vikao vya chama!!!! Mtatiro naye simuoni akiitisha press conf,,prof wa Uchumi sijui kasafiri??? Where is CUF??

Is dead. Sasa hivi wanapanga taratibu za mazishi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom