Where does a woman's money go??

Asante sana kwa kusema jana ulimpa demu wako ela, yani hii imenijulisha wewe ni jinsia gani maana kila siku uwa nataka kukuuliza ila nachelea unaweza kasirika.

kwani ulikuwa unafikiri nini??
 
Pesa yao nyingi wanaonga hao, si mchezo. Wakishapenda wanaiba ata ya kupeke sokoni!!!
 
kuna female na male thread??

sijawahi sikia hii !!

Mkuu haina noma pamoja sana mimi nilitaka jua jinsia yako na nashukuru nimeijua.

Hawa pesa yao nyingi inaishia kwenye vpodozi.
Kama wameolewa inaishia kwao wanawake wana moyo sana wa kusaidia kwao hasa ndugu zao na wazazi wao ndiyo maana kama we mwanaume sio mwangalifu unaweza kuta kwako kumejaa ndugu zake mwanamke wakati ndugu zako hawakanyagi.
 
kama hii......
kiatu.jpg
 
Acheni hiyo bwana, tunalipa bills zetu kama nyinyi, tunasave pia. On top of that then comes the shoes fetish, handbag fetish, nguo and vipodozi, hii inakuwa ni hesabu ya muzee/buzi :)
 
am soo strange...mie hela yangu inaishia kny FOOD...i love food jamani,i can eat anything....am obese and still eats,lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom