Genderi Senior Member Dec 26, 2011 102 17 Oct 7, 2012 #1 Sometimes the questions are complicated and the answers are simple [h=2] [/h]
Nazjaz JF-Expert Member Jan 20, 2011 7,684 8,832 Oct 7, 2012 #2 Mpwechelo nje nje, mtoto wa mchungaji hapo jukwaani akiwaonyesha waumini wa kanisa la baba yake kuwa muziki sio UHUNI
Mpwechelo nje nje, mtoto wa mchungaji hapo jukwaani akiwaonyesha waumini wa kanisa la baba yake kuwa muziki sio UHUNI
mtumishidc JF-Expert Member Mar 7, 2012 513 181 Oct 7, 2012 #3 Nazjaz said: Mpwechelo nje nje, mtoto wa mchungaji hapo jukwaani akiwaonyesha waumini wa kanisa la baba yake kuwa muziki sio UHUNI Click to expand... mtoto wa mchungaji?assssshiiiiindweeeeee!
Nazjaz said: Mpwechelo nje nje, mtoto wa mchungaji hapo jukwaani akiwaonyesha waumini wa kanisa la baba yake kuwa muziki sio UHUNI Click to expand... mtoto wa mchungaji?assssshiiiiindweeeeee!
Wilbert1974 JF-Expert Member Feb 10, 2011 1,632 478 Oct 7, 2012 #6 Mmmmh, mi naona kama mechi ya mavazi imeKATAA vile! Ngoja wataalam watuambia... Ila huo mkono hapo nao sijui alipatwa MUASHO nini?
Mmmmh, mi naona kama mechi ya mavazi imeKATAA vile! Ngoja wataalam watuambia... Ila huo mkono hapo nao sijui alipatwa MUASHO nini?
tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 Oct 7, 2012 #8 Kama nguo imeshindwa, mkono hautaweza
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Oct 7, 2012 #9 tatanyengo said: Kama nguo imeshindwa, mkono hautaweza Click to expand... Kwani alipovaa hakujiona? Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
tatanyengo said: Kama nguo imeshindwa, mkono hautaweza Click to expand... Kwani alipovaa hakujiona? Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,142 13,216 Oct 8, 2012 #11 Hapa mbona tulishapita miaka mingi tu iliyopita? siwezi kuweka hapa sababu ya maadili