MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Mimi nilikuwa (na bado ninao) utabiri kama huo tangu pale JK alipoingia madarakani kwa mara ya pili. Nabaki na matumaini kuwa utabiri huo utatimia kwani hata wao kwa wao wameanza kuchokana, achia mbali Watanzania ambao wamekuwa wakifanya mazoba katika kona, na sasa wameamka vya kutosha kiasi kwamba ile nyimbo yao ya kulazia mtoto - Tanzania Kisiwa cha Amani - hakuna anayezisikiliza tena.Mimi nimeanza kuangalia uwezekano wa kuaccelerate their exit. 2015 is becoming too far nowdays.