Where are old sugar old big mummies?

Ama kweli maandiko yametimia.
 

Attachments

  • totozi.jpg
    totozi.jpg
    63.7 KB · Views: 98
Mimi ni mmoja wa wale walichoshwa na kukerwa na mabinti wadogo, wengi hawajatulia ni mapepe and they are after money and expensive jewelery. Nahitaji mwanamke mtu mzima, nitampa kipaumbele alieachika au aliye na mme lakini hana raha ya mapenzi. Only serious mamas are welcome, no games or dramas...
PM me...

eeh Dr love wee!
kwa hiyo wewe ndio utampa raha ya mapenzi sio eeh!
upo serious mwenyewe!
 
HTML:
umri gani haswa unaangalia????
I know u don't fit there baby...............unfortunately you'r stack with me ..............hahah
On a serious note............. hili wimbi siju limetoka wapi hahhhhhhhh
 
I know u don't fit there baby...............unfortunately you'r stack with me ..............hahah
On a serious note............. hili wimbi siju limetoka wapi hahhhhhhhh

mmmmmhhhhh na mi ngoja nikajitafutie babu mwenye miaka 90....( halafu wataniita Gold digger)
itabidi unisamehe baba watoto...
kwa sababu kama ndo style iliyoingia sitaki kupitwa na wakati...
yote haya ni kwaajili ya pesa tu si dhani kama kuna mapenzi yeyote
 
Back
Top Bottom