..when ur ex is Getting Married!

Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???

Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee

Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.

Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu

mie mzima sana mpendwa mkonowapaka kubali mlishaachana cha muhimu jiweke mbali na huyo dada kuepusha matatizo utakayokujapata baadae vinginevyo Kongosho aendele kukusanya mchango kwa ajili ya kupigwa bomba!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie nawakumbusha tu wahahakikishe kitanda kiko imara
VInginevyo, nawatakia 'good lucky kwenye kuleta kadi ya muagano'

Kuna vitu vya mzaha lakini sio hili... kuwa ni mchumba wa mtu tena ndio unasambaza card unahangaika vitanda vingine.

Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???

Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee

Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.

Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
mkonowapaka umesoma post hii hapa juu? zingatia ama yale aliyosema Blaki Womani yasijekukuta...
 
Last edited by a moderator:
Hapa inaonyesha hata akiolewa mkikutana mtachapana tu!Duh nazidi kupata sababu za kujisikia fahari na ubachela wangu,sasa jamani naoa kweli hawa mabinti wa ukubwani kumbe kuna wakina Mkonowapaka huku pembeni wanakamua pia! Stress hizi za nini. Long live ubachela.
 
Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
Hahahaaah! Mkuu tutafanyaje ndugu yangu, tuingie tu hivyohivyo.
 
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???

Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee

Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.

Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu

hahahahaha Kongosho mwenye masikio na asikie...tena wanapanga kabisa unilete kadi home tufaidi khaaa mkonowapaka soma hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
kwani hao wanawake wanajikumbushia wenyewe? si na hao hao wanaume ambao tena wameshakuwa komitedi sehemu nyingine?
 
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???

Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee

Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.

Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
Kongosho nani kasema mume haumi?
 
Last edited by a moderator:
Hapa inaonyesha hata akiolewa mkikutana mtachapana tu!Duh nazidi kupata sababu za kujisikia fahari na ubachela wangu,sasa jamani naoa kweli hawa mabinti wa ukubwani kumbe kuna wakina Mkonowapaka huku pembeni wanakamua pia! Stress hizi za nini. Long live ubachela.
kumbuka na huyo mkonowapaka naye kaoa, naye mkewe atajisikiaje?
 
Last edited by a moderator:
kwani hao wanawake wanajikumbushia wenyewe? si na hao hao wanaume ambao tena wameshakuwa komitedi sehemu nyingine?

bora unsaidie maana naonekana kam mimi ndo initiator..........binti kachumbiwa huko hadi anaolewa......mwenyewe anataka alete kadi nimemwambia tukutane mgahawa amekataa..........anataka ailete nyumbani......
 
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???

Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee

Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.

Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu

sijaelewa apo juu.......bora wanamme kivp.........niondolee utata mapema...
 
Kuna utata hapo??

we Kongosho sababu leo ni mwanaume ndo maana unasema hivyo, subiri siku utakayokuwa mwanamke kama hujasema mume anauma zaidi, lol

Mmmh, hamna FP, mke akiliwa ni zarau kwa mme sana, ulishawahi sikia mke kaishiwa nguvu?? Lakini mke akiliwa tu, cha kwanza watu waanza kujiuliza 'nguvu' zake zime-expiry??
Na mwanamme akishaanza kushukiwa nguvu, anakuwaje piltoni??
Wee fikiria mie nije nikuchome mdomoni tena koromeo, utafyatua risasi
Ila nikikuchoma sikio, wakati bado unashangaa nini kimetokea, naomba msamaha
Kwa leo, natangaza mke anauma sana

Ila hata mme mtamu na anauma, afu inauma zaidi akila zinjatropasi, agrrrrr
 
it is precisely for the reason why u shuld enter marriage knowing full well utapitiwa mbavuni. sasa wewe wala usijali akikupa K wewe enjoy tuu. watu wenyewe siku hizi wanaingia kwenye ndoa kutoa mkosi tuu hamna lolote. hit that badly!!!
 
na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!

igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee IGWE igweeeeeeeeeeeeeeee kazi ipi hii ndio dunia bana hutaki unaacha bana
 
Last edited by a moderator:
it is precisely for the reason why u shuld enter marriage knowing full well utapitiwa mbavuni. sasa wewe wala usijali akikupa K wewe enjoy tuu. watu wenyewe siku hizi wanaingia kwenye ndoa kutoa mkosi tuu hamna lolote. hit that badly!!!

:behindsofa:
 
Kitachokuua ni kipi sasa? kama ulimpenda kwa nini ulikubali kumpoteza hapo awali

wewe uliona wa nini,mwanaume mwenzio kaona anamfaa kuwa mkewe,achana na dada wa watu unataka kumvurugia ndoa yake,HUMPENDI HATA KIDOGO!na huyo mdada kama bado hajajijua thamani yake kwako ni wa kuchezewa sio wa kuolewa namsikitikia!
 
Back
Top Bottom