"When people think of Italy, after the mafia and pizza, they think of AC Milan"

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Milan is one of the most successful clubs in the
world with 7 UEFA Champions league titles, making
it the second most successful in Europe in terms of
UEFA Champions trophies and 19 Serie A titles
making them the second most successful club in
Italy. On top of this they, among other clubs like Barcelona and Manchester United, are well known
in developing soccer nations like the United States The most internationally-decorated football club in
the world, Milan's is without doubt the best. Its
1989 team was voted the best club side to ever
play the game by a poll of experts conducted by
World Soccer magazine. It has had lots of the
world's biggest football legends play for it, including Van Basten, Rijkaard, Altafini, Weah,
Baresi, Maldini, Baggio, Ronaldo, Mtakatifu Ronaldinho, Kaka,
Crespo, Inzaghi, Ibrahimovic, Nesta, Pirlo and many
many others ambao kama nikiwaorodhesha hapa basi inaweza kuchukua page zaidi ya 10.
 
AC Milan is the best! Nobody stands in the way when they're playing
their best game.
They have also won the second most champions
league cups in history, behind only Real Madrid, but
they got a head start with five in a row at the
beginning. AC almost beat Barcelona and barca got away with a tie against them. AC Milan should be
numero uno nel mondo!
 
Milan has all the best players and almost every
soccer player dreams of joining it first one is kaka
second nasri third tevez fourth cristiano Ronaldo
only if Jose mironiouh would come to ac Milan
which he will if he wants to win titles Milan have won more trophies than any other
football team in the world. Should be numero uno!

Dah Najivunia kuwa shabiki nguli wa Milanelo...
 
Is the best football team in the world. This team
have wrote the history of the italian football and the
european football. Is the history of this sport. In the
last 25 years AC Milan has won more UEFA
Champions League of all other clubs. milan is the succesful football club on earth..
milan plays attractively, nothing I can say. milan is
just the best ever and will be scudetto by the end of
this season, milan per sempre (||| )
 
The best footbal team in the world, ''il
club più titolato al mondo'' this italian team is the
best! The player like Van Basten, Ibrahimovich and
kakà are a lot famous The Most Successful Club In The World!
I forgot how I fell to Milan, cause since I know
football, Milan is the only one in my heart... Only Red
and Black, Rossoneri, Il Diavolo Rosso...
 
KWA TAARIFA YAKO...
Inaaminika kuwa kila shabiki wa Soka hapa ulimwenguni ni shabiki wa AC Milan
 
BIANCONERI PER SEMPRE. mkuu ila game ya leo Napoli hawakawii kutuharibia sherehe wale.Naukiwa upo vizuri ukakubali kufungwa tu, ndio unageuzwa jamvi tena.
 
bologna mie nshajizoelea mwaego...
Vipigo mpaka na wanaojifunza ngumi, kazi kwako sasa.
 
Nguvu hii ingetumika kwenye klabu zenu za nyumbani tungekuwa mbali sana.
Mtu anavyoipenda Milan utafikiri kazaliwa huko Palermo sijui Piacenza? Kumbe wa Maneromango kwa Mlimia Dole...
 
Ha ha ha mkuu umeuwa, bora hata angewahi kufika hapo mjini milan kununua moka na suti.. Lakin hamna kitu hawa ndo tunawaita MASHABIKI MAANDAZI
 
Hata thread ya Yanga humu muandishi ni Gang Chomba...sasa sijui kimekukurupusha kipi?
Au unataka nikuandikie na thread ya Abajalo ambayo mimi ni kiungo mkabaji?
 
Nguvu hii ingetumika kwenye klabu zenu za nyumbani tungekuwa mbali sana.
Mtu anavyoipenda Milan utafikiri kazaliwa huko Palermo sijui Piacenza? Kumbe wa Maneromango kwa Mlimia Dole...
tatizo kwetu kila m2 mjanja na kujuana sana,mimi niliwahi kucheza soka ila listi inapangwa kwa kuangalia usoni,na hiyo imetufanya wengi nikiwemo mimi pia kulikataa soka la nyumbani,halina malengo mtu/meneja au bosi anapanga kikosi chake kila siku hichohicho hata mchezaji hana nidhamu ila kisa anajua kucheza mpira wa jukwaa anabembelezwa na kupewa namba,kufagiliana ndio mana tunaamua kushangilia soka la nje kuliko soka la kufagiliana,nilikuwa shabiki mzuri sana wa soka la nyumbani miaka ya 90,ila sasa wapi,mfano mzuri tungekuwa na miundo mbinu ile mechi ye2 vs msumbiji tusingeweza poteza nyumbani kwenda Ghana 2008 hata kwa msaada wa refa,mifano mizuri unaona Sauzi korea 2002 world cup mpk semi final,au angalia nchi za kiarabu,eg angalia leo utaona kampeni wanaoweza kufanyiwa hata TP Mazembe na Esperance kule Tunis,hata wakipita klabda penati au away goal maana walidroo 0-0 Lubumbashi,kwahiyo usimlaumu kushangilia AC Milan,tatizo ni miundo na kufagiliana kwa wa2 nchi ye2,ndio mana hata Jay alisema ukitaka kuwin bongo cheza dili na wa2 magwiji hata kama una kipaji chako kama hauna dili na magwiji kinakufa,Hasheem Thabeet imemtoa alipokuwa Nje USA unadhani bongo angecheza bila kuwa na kifua nani angemsapoti,wapo wabongo kibao nje wana fani zao,bongo walikosa wa kuviendeleza sababu ya sera za kujuana na sasa wengine wapo mbali si ajabu ukasikia racing santander,oviedo,salamanca,deportivo alaves,hercules,sabadell wanawika sema mikausho mikali hawajitangazi kuwa ni watz kwanini kwa sababu mbalimbali na wengine wakikumbuka inatia uchungu.
 
Ha ha ha mkuu umeuwa, bora hata angewahi kufika hapo mjini milan kununua moka na suti.. Lakin hamna kitu hawa ndo tunawaita MASHABIKI MAANDAZI

MK thread hiyo nimeiandika nikiwa katika barabara ya Turati mjini Milan.
We kaa hivyohivyo tu
 
Guti kama hawatokuelewa wewe basi hawatomuelewa hata Mungu aliewaumba.
 
MK thread hiyo nimeiandika nikiwa katika barabara ya Turati mjini Milan.
We kaa hivyohivyo tu

Kaka basi naomba unisamehe.. Vp unanunua saa kwa Giorgio Armani au. Au dinner suit dukani kwa mzee Guccio Gucci ? Ukiwa unarudi bongo nishtue nikuagize moka hapo shop ya Giuseppe Zanotti na mashati ya Cesare Paciotti !....
 
Haya bosi wangu, nasubiri updates za ESPERANCE na TP Mazembe
 
mkuu Gang chomba mambo yote yako kwa the bianconery Juventus! Hii timu naizimia sana! Unamkumbuka gianluca vialli, pablo nedved, nicola amoruso, zinedine zidane, sasa hivi tupo on top tunagawa vipigo balaa, forza juve!
 
Mkuu Chimungulu heshima mbele.
Awali ya yote napenda kukujuza kuwa wikiendi hii unachezea kichapo toka kwa ngoma ngumu SSC Napoli Musica.

Then naiheshimu Juve, nawaheshimu waumini wa Juve kwenye hili jukwaa akina Companero, Viper, Bologna, Ndetichia, myao wa tunduru na wengine wengi.

Lakini Milan ni Baba la soka Duniani.
 
HAYA SASA, JUVE NDIO HAOOOOOO. KAZI KWAKO SASA GANG CHOMBA. FForza juventus.
 
Back
Top Bottom