Whatsapp messenger with dual sim card phone?

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habari zenu wadau Naomba kuuliza je Whatsapp Messenger inaweza ku work Kwenye Simu yenye Double Line?? Asanteni.
 
jamani nawezaje kujua simu kama Ina OS ya android na ni Orijino japo ina Laini Mbili.???
 
Hiyo ndo list ya supported phones..maybe kuna mwendelezo...
 

Attachments

  • shot_057_2013_02_22.png
    shot_057_2013_02_22.png
    27.4 KB · Views: 58
Back
Top Bottom