Whats your Best Song About Love, If you had to choose one...

Jf kiboko 24/7 kuna wadau hope leo pia mtakesha online

MR namkumbuka jamaa mmoja (alikuwa mwanachama mpya wakati huo) nadhani mwanzoni mwa 2010. Baada ya jitihada zake (nadhani) za kulikuta jamvi limelala (maana kila akiingia alikuta jamvi linadunda tu) akaamua kuuliza hivi watu hapa jamvini wanalala saa ngapi maana kila akiingia kwa mategemeo ya kutokukuta mtu alikuta watu bwelele hahahahahahaaa wakamjibu jamii ni 24/7 ukiondoa zile siku za kwikwi za hapa na pale. Nadhani leo pia itakuwa 24/7 kama kawa. Ila usijaribu kuingia huku ukiwa mbwii unaweza kufanya madudu na kuwaachia watu kicheko kikubwa sana kwa miaka mingi ijayo.

 
Kenny Lattimore -for you
Tamia-who do you tell
Xscape-Do you want to
Mary J blidge-Not goin' cry
Luther Vandross-Here and now
All 4 One-Not ready for goodbye

Naikubali sana yenye RED
 
Jamani mimi nina wimbo wangu kila nikiutafuta siupati kokote..Naupenda sana. Uliimbwa na Abdul Misambano, nadhani unaitwa Asua...

Nikiusikia nakuwa kama nimemeza piriton!

Jamaa mjanja!
Uliimbwa na Jasmin Taarab ya Burundi.
Nae akaiba ...lakin ulimtoa...hadi akajulikana.
Mtunzi wake jamaa nmemsahau jina...siku za karibun alihojiwa bbc.
 
Glen lewis - fall again

huu wimbo ulikuwa ni soundtrack kwenye movie ya made in manhattan
 
im missing you
any song with those three words in any language is my favorite love song :party:
 
Happy New Year AD,

Hope uko mzima sana na jamaa hawajathubutu kukuchakachua!!

hahahahah lol Shikamoo Babu ...
asante kwa wishes za New year ..
Hope u new year is going well so far..

mi ni mzima kabisa babu..
na kuchakachuliwa ni mambo ya kawaida tu babu siku hizi....
lakini nakushukuru kwa malezi mema uliyonipa hawakufanikiwa .ahahhaha lol

HAAPY NEW YEAR...
 
Recently, "When a Woman loves".. R Kelly's live performance..

 
Last edited by a moderator:
Awwww FL I really dig 'if u r not the one' wow memories of my first job and my first love!
If I were Shelock Homes, I would say you fell in love when you had your first job around or after 2002; Mmmh Was the Guy Luck!!!!, :embarrassed:
If you're not the one then why does my soul feel glad today?
If you're not the one then why does my hand fit yours this way?
If you are not mine then why does your heart return my call?
If you are not mine would I have the strength to stand at all?

I never know what the future brings
But I know you're here with me now
We'll make it through
And I hope you are the one I share my life with
 
Back
Top Bottom