Whats your Best Song About Love, If you had to choose one...

Lie about us kama mnaiba!...Why does she stay na Thank you kama unakua mistreated!...Stick wit u na I'm glad kama umezama kweli!...Go on girl kwa kaka aliyetendwa!...Break up to make up kwa anaetamani kurudi kwa mpenzi!!Ntarudi ya bongoflava...ngoja nifikirie!
 
Asali wa moyo-Inspector...Mapenzi ni ya wawili-Maunda Zorro!...Nataka uwe wangu-Prezzo!
 
Kwahiyo wala nisihangaike?Nikiitwa huko itakuaje sasa na giza limetanda?

Ukiitwa huko basi huna ujanja itabidi tu ulipie LUKU vinginevyo unaweza kuvunja mguu au mkono kuingia kukiwa na giza LOL!
 
Ukiitwa huko basi huna ujanja itabidi tu ulipie LUKU vinginevyo unaweza kuvunja mguu au mkono kuingia kukiwa na giza LOL!
Hahaha mi naona anaeniita huko ndo alipie coz hata nikija ulizwa nlichokua nafuata huko sitajua!Ngoja nibaki sebleni mie...ili hata nikihitaji msaada uweze kunisaidia!
 
Hahaha mi naona anaeniita huko ndo alipie coz hata nikija ulizwa nlichokua nafuata huko sitajua!Ngoja nibaki sebleni mie...ili hata nikihitaji msaada uweze kunisaidia!

Lizzy naona hunitakii mema mwenzio ndiyo yatakuwa yale yale LOL!

Back
Top Bottom