What's your best love song?

Hapa ndo utagundua waliotamba enzi za 'Pekosi' na wanaotamba enzi za Diamond . . .
 
Nimeache 1-0, wameongeza lingine?

Nimeona presha inapanda nikaja kulala tu.

Yaani hapa nshapiga pasi jezi yangu 'Lampard' kwa matangazo kesho.

Dah utakuwa umezisahau...zipo nyingi sana km Rojamila...Adrada...lol
Kibaoooo....
BTW..Chelsea yuko juuuuuuuu
 
I swear-all 4 one!,i'll be thinking about u-london beat,mi wa zamani bana!

hawa majamaa wakuitwa All 4 One ni soo sana,
pia kuna ile ngoma yao "As beautiful as U"
kwenye ile album yao ya "Not ready for goodbye"....
Sijawatafuta mda mrefu hawa watu wangu
 
Somebody is sleeping in my bed - Sisqo

Nyie ndio mnaosababisha watu wajitoe kwenye makundi kwa kuwapa vichwa....
Hiyo Kong's ni ngoma ya Dru Hill,
ngoja nkuongezee nyingine.... "These are the times" au "How deep is ur love"

Kama unampenda Sisqo basi unaipenda "Incomplete" , "Enchantment passing thru" (hizi mbili zipo kwenye Unleash the Dragon) ,
"Without U" (hii ni tamu sana ipo kwenye album ya Return of the Dragon).
 
Kuna watu kama

Glen Lewis
Anthony David
K'jon
Anthony Hermilton
Tank
Dwelle

kwa kuwataja wachache, ila wanafanya usimamizi mzuri sana kwenye kubakiza classic soul na R n' B.....
Nyimbo zao tamu sana kama we ni mpenzi music hzo.
 
Unleash the Dragon niliipenda yote kwa kweli.
hadi leo bado ninayo, tena si cd nina tape kabisa.

return of the dragon nilipenda baadhi ya nyimbo.

Back
Top Bottom