Whats wrong with Pinda?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Huyu mheshimiwa amekuwa kama vile Lowassa kila kukicha yuko safari hivi saa ngapi anakaa ofisni na kufanya paperwork?

Halafu I am still tryying to figure him out..lakini sijui but something is not right with him and how he works

kama huamini tembelea website ya ofisi yake...hakuna kitu zaidi ya ma speech kibao na hakuna policy paper yoyote mle je hii ni reflection ya Pinda au vipi?

Halafu mbaa zaidi huyu anaongoza serikali inayotia fora kwa ku flip flop...mara misamaha ya mashira ya kidini imefutwa, next minute anasema imerudishwa, one minute sijui mahakama ya kadhi next minute anakuwa bubu

kama serikali sijui vipi nina wasi wasi hata yule mwenye degree feki (waziri wa Fedha..bwana MKULLO) hamheshimu kabisa huyu Pinda..haiwezekani waziri akatoa tamko zito bila kutaka ushauri ofisi ya Pinda

something is not right about the man....Lowassa alikuwa na mapungufu yake lakini leo tunaona shule kila kata japo zngine hazina walimu lakini shule zipo.Pinda ukitaka nikuone uko serious na hii issue ako ya Kilimo, then waambie hao jamaa waweke strategy za kilimo cha kisasa then i might think you are trying to be serious

ekfiuc.jpg
 
Last edited:
Mimi niliwaambia watu kwenye acceptance speech yake huyu bwana bomu, kuanzia kisuti cha kupigana ngwala mpaka hotuba.

Tatizo GT unaiangalia celebral part ya PM Tanzania ambayo kwa miaka ya karibuni aliyekuwa anaifanya alikuwa Warioba tu.Tanzania PM ni mtu aliye overly political na paperwork hata hazijui, you are lucky if he is reading the papers - after all he is the news why should he read the papers?.

Pinda ana represent the lower end of that line, si msomi celebral kama Warioba, si alwatan cosmopolitan kama Lowassa, si champion wa wakuja/ commoners kama Sokoine, si mwanasiasa kama Malecela, si statesmanlike diplomat kama Salim, si policy wonk kama Msuya si chochote, si baba mdogo wa taifa mwenye roots za enzi za uhuru kama Kawawa yupo yupo tu.

Worse still si strategic thinker, ni zimamoto tu na hata kuzima moto kwenyewe hawezi anaropoka ueni wanaoua albino, effectively suspending the rule of law.

Na hapo ndipo alipo baada ya kusoma sheria na kuwa shushushu wa Ikulu miaka lukuki na kuingia bungeni. Je angekuwa simpleton wa mtaani tu?
 
Nadhani si vyema kutathmini utendaji wa mtu kwa kukaa tu ofisini.
Mh.PM yuko makini sana katika utendaji wake ndio maana utaona uwezo wake wa kujibu hoja za papo kwa papo.

Kwa mtazamo wangu Mh.Pinda nafanya kazi vyema na he deserve to that post.
 
Give Credits where it deserves....

GT for once i differ with you.... hivi Pinda akikaa pale ofisi yake from January - December how will he know what is happening on the ground???? Who said paperwork can only be done when you are seated in the office??
Inakuwaje ukafanya comparison ya Pinda na Lowasa? Hivi hujui mtendaji mkuu kwenye ofisi ya waziri mkuu kuhusiana na masuala ya serikali za mitaa kipindi cha Lowasa alikuwa ni Mh. Pinda?? Sasa hizo shule unadhani Lowasa alizijenga bila kwenda kufanya ziara maeneo husika??????

Sometimes i think we Tanzanians dont deserve anything good as we do not know what is good or bad... Samahani sana mkuu but Great thinkers dont think the way you do.... Be reasonable
 
Na wala hashindani na JK kusafiri nje ya Nchi kwenda kuleta wataalam wa MVUA! Jamaa yuko na WAKULIMA huko mikoani kila mara. Anajitahidi kuitumia KATIBA tuliyonayo kila anapojibu maswali. Ukipata nafasi ya kuonana naye anasikiliza sana. Sio mtu wa kuagiza kupitia luninga. Anafuatilia mambo kwelikweli.
 
''a fast-truck'' pm.tumsamehe bure YEYE!tatizo ni aliomuweka
 
Pinda ni mchapa kazi mzuri hilo linaeleweka uliza watu serikalini.

Na anasifika sana kwa kufuatilia mambo kuhakikisha yanapata utekelezaji wenye ufanisi.

Kuhusu kufanya ziara sioni tatizo kwani watanzania wote tunamuhitaji mpaka vijijini maana akikaa dar tu analetewa ripoti ni rahisi sana kuwekewa taarifa zisizo sahihi.
 
Mimi niliwaambia watu kwenye acceptance speech yake huyu bwana bomu, kuanzia kisuti cha kupigana ngwala mpaka hotuba.

Tatizo GT unaiangalia celebral part ya PM Tanzania ambayo kwa miaka ya karibuni aliyekuwa anaifanya alikuwa Warioba tu.Tanzania PM ni mtu aliye overly political na paperwork hata hazijui, you are lucky if he is reading the papers - after all he is the news why should he read the papers?.

Pinda ana represent the lower end of that line, si msomi celebral kama Warioba, si alwatan cosmopolitan kama Lowassa, si champion wa wakuja/ commoners kama Sokoine, si mwanasiasa kama Malecela, si statesmanlike diplomat kama Salim, si policy wonk kama Msuya si chochote, si baba mdogo wa taifa mwenye roots za enzi za uhuru kama Kawawa yupo yupo tu.

Worse still si strategic thinker, ni zimamoto tu na hata kuzima moto kwenyewe hawezi anaropoka ueni wanaoua albino, effectively suspending the rule of law.

Na hapo ndipo alipo baada ya kusoma sheria na kuwa shushushu wa Ikulu miaka lukuki na kuingia bungeni. Je angekuwa simpleton wa mtaani tu?

duh mzee ulivyoua!

dah yaani hata mimi sikutegemea
 
Pinda anamfaa JK
kwa ajili raisi hutakiwi kuwa na mtu ambaye atang'ara kuliko yeye
pinda na JK wakiwa sehemu JK ndio anapata attention
na pinda anakubali kama JK ni bosi wake, na hata pinda akiiba ataiba kidogo
sio sawa sawa na yule sijui mmasai/mmeru...
ambaye anajiona yeye ni bora kuliko JK na yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule ccm..
yule mmasai pamoja na kampeni zake za kichini hata kaa auone mwanga wa kisiasa TZ tena. he is dead and buried.
atashinda tuu hicho kiti cha ubunge, na kuna mtu anaandaliwa kwa ajili ya kuchukia jimbo lake 2015.
 
Unamwongelea Mh. Lowassa, ni bora kumtaja jina lake kuliko kuandika kwa ku-refer kabila yake, tone ambayo inaleta ukabila. Kufanya hivyo kuna undermine point ulizodhamiria kuweka. Thanx.
 
Nadhani si vyema kutathmini utendaji wa mtu kwa kukaa tu ofisini.
Mh.PM yuko makini sana katika utendaji wake ndio maana utaona uwezo wake wa kujibu hoja za papo kwa papo.

Kwa mtazamo wangu Mh.Pinda nafanya kazi vyema na he deserve to that post.

Makini kwa lipi alilofanya tangu ateuliwe kama Waziri Mkuu!? :confused: Hebu yaweke hayo aliyoyafanya kama Waziri Mkuu ili tuone kama yanaonyesha umakini wowote. Huyu naye kama boss wake hastahili kurudi 2010.
 
There is nothing wrong with pinda .(Honest man )na mshukuru kwa kuwatowa Gizani viongozi wangu wa SMZ bila ya yeye mpaka leo wangekuwa bado wamelala usingizi mzito ,kwa mara nyingine nasema Mzee pinda asante kwa kuwa mkweli kwani hao wengine walikuwa wakiwalahai SMZ kwa maneno matamu kama asali.
 
Alivyosema ueni wanaoua albino, hii kauli nayo unaihesabu katika kusema kwako "There is nothing wrong with Pinda"?

Vipi aliposema "Muacheni Mkapa"?

Alivyomuita waziri wake ignorant publicly na ku undermine collective responsibility je? Mtu unamuita waziri ignorant halafu unamuacha kwenye cabinet!

Asivyojua collective responsibility PM anakwenda on record publicly ku advocate serikali moja!

Pinda is the sort of chap who is on record saying "Govt to take legal measures against officials fuelling conflicts" and at the same time he would engage in embarrassing, inefficient, undiplomatic, unstatesmanlike word dueling with the SMZ.Thats Pinda for you.

Pinda is on the record lamenting that "Good leadership is lacking", while providing none himself.

Huyo ndiye Pinda, Waziri Mkuu aliyejaribu kuji distinguish kwa kujiita "mtoto wa mkulima" katika nchi ambayo karibu kila mtu ni mtoto wa mkulima.

I guess we have different standards.
 
Blue Ray,
Your description of that esteemed gentleman is almost perfect. I could add a little descriptive prose myself but I believe it would, as they say, simply end up on the cutting room floor. The idea that this self serving snout in the trough waste of oxygen that could be put to better use fanning the flames that burn Chama Cha Mapinduzi in a hell of their own making, claims to be a man of the people is galling to say the least.

Mwanzoni nilitaka ku compare Pinda na ma clown waliopo ple ofisini kwake with Disneyland lakini nikagundua kuwa it would have been an insult to Disney and Mickey Mouse. I have not been to any Disney theme park but understand they are clean, well organised and profitable, all the things we could have been...ukilinganisha na waziri mkuu na wale ma footsoldiers wake ambao they are good at nothing but flip flopping
 
Back
Top Bottom