Whats up peopleeee

wallah i cant understand ur words,,,, i only comfused here since when i start to read ur thread,,,, but what makes me happy u are realy dj babu,,,, keep it up,,
and look what we have here
nilham mtoto ka wewe inatakiwa niongee goti moja likiwa limepigwa
kama vipi nini nicheki juu kwa juu
 
wallah i cant understand ur words,,,, i only comfused here since when i start to read ur thread,,,, but what makes me happy u are realy dj babu,,,, keep it up,,

unajua nini nilham mi ka vipi nini one on one utanielewa tu
hebu ntonye basi we wa umangani nini?
 
kijana you better slow that shit up.......still wondering why god havent taken your life like your signature says?
 
we dj babu usije ukatutukana tuu...lakini hapa mi sina mbavu wallah kwa kucheka..ulisomea wapi kazi hii???.
hus mwana wa ninyooooo
inakuwaje mazee na presume we shortie au?
kama vipi halaaa mi nko single halafu nasakanya kidizaini
 
we dj babu usije ukatutukana tuu...lakini hapa mi sina mbavu wallah kwa kucheka..ulisomea wapi kazi hii???.

woooooow mi ndo niko ma xcited balaa kwa kuni appreciate
sasa kama vipi halaaa if ya fill me
nakutengenezea mistari yako
 
a a,,,, noo,,,, i dont want my boy,,, tanx,,,, mi staki mistar hiyo ninayosoma imenitosheleza,,,,

yalaa habibiiii
mi babu natafuta bibiiii
halafu umenikata maini na nini unajua? yaani ulivo niita my boi nini mi nimekubali kichizi yaani
long time kivile sijaitwa na shortie ki hivyo
 
o ooo...... kwaheri,,, unisameh lakin,,,, naona we uko kibiashara sana,,,,
yalaa habibiiii
mi babu natafuta bibiiii
halafu umenikata maini na nini unajua? yaani ulivo niita my boi nini mi nimekubali kichizi yaani
long time kivile sijaitwa na shortie ki hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom