What's the strangest thing that's happened to you on the bus?

Kuna siku late 90's nilikuwa nasafiri kwenda mwanza kwa njia ya kati....nimekaa siti ya watatu na hao wenzangu ni mtu na gf wangu....kufika manyoni porini gari likaharibika so tulilala hapo...usiku jamaa si wakaanza shughulika...kushuka kwenda nje ni giza na hatari...kubaki ndani napo mtihani...usitake kujua nilifanyaje
 
I was 16 at that time and one man I had never seen before (who looked like he was in his 50s) sat besides me and

asked me if i wanted to go to his house and watch Tom and Jerry. He was very strange. What's the strangest thing

that's happened to you while on the bus?
smile.gif
or anywhere?

aisee tom and jerry is the be all and end all...i would watch it anytime of the day...i love the programme...
 
Kuna siku late 90's nilikuwa nasafiri kwenda mwanza kwa njia ya kati....nimekaa siti ya watatu na hao wenzangu ni mtu na gf wangu....kufika manyoni porini gari likaharibika so tulilala hapo...usiku jamaa si wakaanza shughulika...kushuka kwenda nje ni giza na hatari...kubaki ndani napo mtihani...usitake kujua nilifanyaje

Kama vile nataka kujua ulifanyaje
 
Kitu kibaya kuliko vyote,
ile nimechelewa kupata daladala kule mbeya nikitokea job kukiwa na magari ya milango miwili
nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, kufika home nimechelewa kidogo lol, jamaa alishauti ile mbaya
kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na hasira, ule ujauzito kesho yake ukaharibika,
nikiwa kwenye magari hayo hayo natoka uyole kwa dr. sijabaji ili niende meta hosp.
nilikuwa nableed ile mbaya, miguu yote ikalowa blood, lol, ngoja nilie kwanza.
Poleeee. Usilie, ni maisha tu, it was meant to be. get a comforting :hug:
 
i was in a daladala going to school and this dude akifikiria mimi zoba kama yeye akawa ananipa mchongo wa kwenda kuiba supermarket..skia wimbo wake " Dogo unaonekana mjanja kweli, sasa skia (tukiwa tumepaki daladala katika kituo flani kilichopo karibia na supermarket) unaiona ile supermarket?? twende tukawalize, wewe nipatie kama buku mbili hapo halafu mimi naingia ndani kama nataka kununua vitu, wewe unanisubiri nje kucheki noma , naiba then tunasepa zetu" akifikiri nitampatia buku mbili yangu then asepe aniache mataa..jinga kweli..
 
KOJO lilinibana...toka MWENGE kwenda posta...foleni...nikaona isiwe shida...nikalimwaga kwenye kona flani...ndani ya DALADALA!
 
kitu kibaya kuliko vyote,
ile nimechelewa kupata daladala kule mbeya nikitokea job kukiwa na magari ya milango miwili
nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, kufika home nimechelewa kidogo lol, jamaa alishauti ile mbaya
kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na hasira, ule ujauzito kesho yake ukaharibika,
nikiwa kwenye magari hayo hayo natoka uyole kwa dr. Sijabaji ili niende meta hosp.
Nilikuwa nableed ile mbaya, miguu yote ikalowa blood, lol, ngoja nilie kwanza.

dah ebana pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom