jacksonmjuni
Member
- Jul 24, 2011
- 6
- 1
naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree, tofauti yake ni nini kwa hao graduates with th same and similar degree?