Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #61
GT,
Sijui kama umenielewa. Naomba kwanza nirudie nilicho sema: Fareed Zakaria, kwa sababu ni mgeni aliyepewa kazi kubwa Newsweek na Uraia, uchambuzi wake wa foreign policy unakuwa wa kuuma na kupuliza kwa sababu, kwa mawazo yangu, anaogopa backlash ya kuonekana hana allegience na US kuliko India.
Sasa, ili upangurue hoja yangu kwa kutumia mifano ya watu kama Zakaria, kama ulivyo jaribu kufanya, ilibidi unipe mifano ya watu kama Zakaria, ambao wanaongea huru wakikosoa siasa ya nje ya Marekani.
Bahati mbaya watu ulionitajia nao aidha wana sapoti Siasa za Marekani au hawasemi lolote kuhusu siasa za Marekani. Zbigniew Brzezinski alikuwa foregn policy hawk, na tunajua Siasa ya nje ya Marekani is mostly hawkish. NI hii military industrial complex ya kuwa polisi wa dunia. Kwa hiyo mfano uliotoa, sana sana una sapoti pointi yangu mimi. Mgeni ambae anashindwa kuwachana wenyeji wake. Sijui unanielewa?
Na Morgenthau, kama unamwongelea Hans Morgenthau, yule alikuwa ni theorist wa foregn policy za dunia kwa ujumla. Hajulikani specifically kwa kuichana Siasa ya nje ya US. Alikuwa anaichana zaidi Nazi Germany. Tena yule ndio cha mtoto, cha mtoto kabisa ambae asinge thubutu kuichana US policy. Kwa sababu wakati anakimbia Unazi kuja US, Marekani ndio ilikuwa inawaokoa wayahudi katika vita vya dunia. Na yeye, kama Einstein, asingeweza kuikosoa American foregn policy.
Sasa, achana na Fareed Zakaria. Angalia huyo samaki mkubwa mwingine: Lini umesikia Einstein, ambae alikuwa anaongelea sana Siasa, lini ulisikia anakosoa Marekani, zaidi ya kuiimbia sifa kwamba anapenda wanavyo jenga nyumba za mbao?
Mkulu files hizo nimecheki zinanipa error,naomba ucheki kama ipo sawa utuwekee vema.
Hizi rapidshare nenda kwenye sehemu ya free ..download part 1..kisha subiri 1 hr download part 2 kisha zitransfer kwenye MY DOCUMENTS then hamishia kwenye MP3 player yako au unaweza kuburn kwenye CD
Release Date: October 17, 2006
Format: MP3
Audio: 48kbps
Publisher: RH Audio
ISBN-10: 0739334085
Language: English
Size: 126MB
Description: - The Audacity of Hope:
Thoughts on Reclaiming the American Dream
By: Barack Obama
PART1
http://rapidshare.com/files/99596561...ySpunkins1.rar
PART 2
http://rapidshare.com/files/99600823...ySpunkins2.rar
stay tuned for this
JK was elected to LEAD not to READ
DMJK was elected to LEAD not to READ
Reading informs the mind, which helps in decision making and leading.
Unless you advocate idiocracy, I cannot understand why you would not want a reading president.
DM
Does he know where he is taking us?
MKUU TARATIBU,imani yako ya KIDINI am sure inasema "USIMUITE MWENZAKO KWA JINA ASOLIPENDA" am sure kumuita kiongozi wa nchi jina hilo is not fair.........twende mbele tukirudi nyuma!!!!!! unasahau ile aya inayosema "tuwaheshimu viongozi wetu"????? ni mawazo tu mkuu.
I am not saying he should not read but it's not his main job. He must have read enough by the time he was elected.
Rumors has it that Mbeki was reading too much and in doing so he stumbled upon those wacky theories of HIV/AIDS being caused by poverty rather than viruses.
JK kama hasomi basi hataki tu, he has alot of time kwenye ndege! i bet kwa safari anazokwenda ingelikuwa kila safari anasoma kitabu sasa angekuwa ameshajaza shelf
NAONA UNAMPANDISHA CHART JAMAA YAKO KWELI ANA MDA COND WA KUSOMA TEXT ZA MEMBE.
Jk akiwa same mkoani kilimanjaro, aliomba udhuru kwenda kuangalia ze comedy ya akina masanja
You seem to entertain the idea that there is such a thing as "reading enough"
Msomi anatakiwa kuwa na tabia ya kusoma kila mara, kuongezea alipokuwa jana.Juzi wakina Friedman walikuwa wanasema "The World is Flat" and basically advocating for globalisation na deregulation, leo katika "Hot, Flat and Crowded" wanabadili mwendo na kutuambia serikali zina role kubwa katikaq "The Green Revolution".Sasa kama wewe unaaamini kuna such a thing as "kusoma vya kutosha" unapotosha dhana nzima ya usomi.
Waliosema elimu haina mwisho hawakukosea.
Kiongozi ili kuongoza vizuri inabidi awe na information, awe anachangamsha ubongo kwa kusoma.
with attitudes like these do we have the nerve to wonder when our leaders make a fiasco of our economy and everything else?