Whats happening!Siku hizi kila harusi nikiisikia Bi Harusi anakuwa anatoka Moshi au Arusha

inaonekana jamaa zako ndo wameolewa au kuoa toka pande hizo lakini kiukweli sehemu zote wanaoana tu sema Arusha na Moshi labda kitu kingine wnapenda harusi za kuonyesha sana .
 
Dah wakikusikia wenyewe utakimbia na nguo mkononi asee............But anyway how cheap? Hiyo cheapness yao iko angle ipi?

Cheapness yao ipo pale unapo fungandoa most of them wanakua wamejitosheleza kuanza maisha mfano wanakua na maisha yao kabisa.
Huumizi kichwa kutafuta vyombo na mahtaji menyi ya kuanzia maisha.... Oa kusini uone shughuri yake
 
Mimi kwa mtazamo wangu tu.....nadhani wanawake wa maeneo hayo wanakuwa wana mvuto kwa nje..namaanisha ni wazuri....nieleweke vizuri hapa wengi wao.....ingawa kwa experience yangu... Nawaona hawako vizuri sana katika mahaba..yaani they are not romantic...not at all....yale mahaba yetu tuliyoyazoea kwetu pwani na bara hawa watu hawana kabisaaaaa yaani ziro.....wanafikiria sana mambo ya pesa na material things....kwa hiyo watu wengi inakuwa rahisi sana kuvutwa na huo muonekano wa nje...wakiingia kwa kweli huwa hawaenjoy mahaba....kwa hiyo unaishia kusifiwa tu kwamba mwanamke wako ni mrembo na mzuri...but in reality......wewe mwenyewe ndio huwa unaujua ukweli....ndani huwa hawako romantic....na huwa wana presha sana ya kukupush ufanye mambo ya maendeleo hata kama anakuona huna uwezo huo.....unaweza kuishia kuwa mwizi ili umfanye akuone unafanya mambo ya maendeleo......hawanaga mapenzi ya kweli ila anakupenda kama unacho.....mahaba hakuna kabisa....

Iliwahi kunitokea,,,,na nina bahati mbaya nao kweli...cha kushangaza watu walikuwa wananiambia demu wako mkali aiseee... Kwa nini usihalalishe? Mimi nilikuwa naigiza sana ..lakini ukweli nilikuwa naujua mimi kwamba anienzi kama nilivyozoea kuenziwa huku kwetu bara...

Cha kushangaza nikaanza kutafuta mwenye mahaba kinmya kimya...nikagongana na binti mmoja anavutia sanaa...kumchunguza anatokea wapi nikashangaaa ananiambia anatokea ule mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote africa....nikaona nna bahati mbaya sana.....now ndio namsoma soma...ila yeye ni mdogo sana kwa umri....na namuona kama yuko tofauti...ni mpole na anasikiliza zaidi...hajawahi kuongelea mambo ambayo yalinifanya niwadisqualify ndugu zake niliowahi kutoka nao kabla.....kama ananivutia kiasi....
 
inaonekana jamaa zako ndo wameolewa au kuoa toka pande hizo lakini kiukweli sehemu zote wanaoana tu sema Arusha na Moshi labda kitu kingine wnapenda harusi za kuonyesha sana .
hawawakuti watu wabukoba hawa ni showingshowing nshomile!!!!
 
nani anataka kuwa mtumwa wewe huoni watu huku wanavyolalamika wanawake wanawategemea mpaka chunvi we chunguza ,reasn behnd ni kwamba most of them thee wife material,na wana spirit ya independent wanaweza kustand alone sometimes wana vision fulani anaweza kukushauri na ukafanikiwa tofauti na hawa pimbi wengine wewe ndio unakuwa unatoa mawazo tutututu hana wazo wala challenge kabisa.unamwoa mwanamke amejitosheleza japo ni mdogo sana so unakuwa na pakuanzia.hawatetereki hovyohovyo na mengi mengineyo mimi siwajui vizuri.
 
TUACHE UTANI WANAWAKE WA KICHAGA NI WANGAIKAJI KATIKA KUTAFUTA CHAPAA PIA NI WAVUMILIVU:A S angel:
 
Mchaga, muarusha, wenzangu wa kule babati(a.k.a rough road) na mto wa mbu they are very cheap na wanaume wanawapata kirahisi sana kuliko msukuma yeye atakuzungusha zungusha sana mwishowe unakata tamaa....

Mkuu kule ni ng'ombe kwenda mbele, jamaa akipiga hesabu ng'ombe hana anaamua kukimbilia cheaper
 
Cheapness yao ipo pale unapo fungandoa most of them wanakua wamejitosheleza kuanza maisha mfano wanakua na maisha yao kabisa.
Huumizi kichwa kutafuta vyombo na mahtaji menyi ya kuanzia maisha.... Oa kusini uone shughuri yake

Mkuu umenitisha ina maana wote wanahamia kwako wanajifanya wanakuja kuwasalimia?
 
Eti jamani nisaidieni kujua hili, kwenye siku za hivi karibuni karibu harusi 75% nilizohudhuria au kusikia basi bi harusi wanatoka Arusha au Kilimanjaro. Kunani huko siku hizi wanaume wote wanakimbilia pande hizo?
Arusha tuna watoto wakali mkuu usipime
 
Chagga si ndi wanabeba jina la Album Tz. Now, ...wamewafunika WAhaya. Hadi kwenye Mambo yetu yale

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

hehehe mambo yetu yaleeeee yahlaaa sie vijana wa Pwani inabidi tuhamie huko atiiii
 
.....But anyway how cheap? Hiyo cheapness yao iko angle ipi?
Labda anaangalia 'total life cycle cost'...wategemezi wachache, watafutaji etc! Ingawa hizi generalizations na stereotyping zinaweza kuleta shida sana hizi!
 
Mchaga, muarusha, wenzangu wa kule babati(a.k.a rough road) na mto wa mbu they are very cheap na wanaume wanawapata kirahisi sana kuliko msukuma yeye atakuzungusha zungusha sana mwishowe unakata tamaa....
Tanzania nzima hakuna mwanamke cheap kama msukuma. ninapoongea hapa nipo kwa wasukuma naishi huko, haki ya kweli tangu nianze kutongoza wasukuma, si cha mke wa mtu au nini hakuna ambaye alishawahi kukataa. hadi huwa najistukia...zamani nilijua wagumu, lakini nimekuja kuona ni mojawapo ya wanawake malaya kupita kiasi, kuliko hata na wahaya na wanyakyusa ambao tumezoea kuwatukana...wasukuma noma....
 
Hapa mi nimejaribu kuangalia uelekeo naona kama watani wa jadi vile
sio kwamba wako serious na mada.
Ila kitu kikubwa ni kwamba hawa watu wa kaskazini wako makini sana na suala la
mikataba yaania ile ndoa na ndio maana unazisikia nyingi wengine wanaweza wakawa
wanavutana na kuhifadhiana ndani kimnya kimnya na ndio maana hawasikiki lakini
suala kubwa laweza kuwa elimu ndio inawapa msukumo zaidi pamoja na misimsmo.
BIG UP M4C
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom